Katibu Tarafa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2007
- 989
- 54
Mwafika jike mimi I warned you guys hapa kwamba Ballali hatashitakiwa na wao waliomba kifo chake kama cha Mbatia leo wanaanza kumtupia mzigo. CCM laana sana nyie watu .Sasa This Day wameanza upya wakati System wanakaa vikao wanapanga kwenda US ku compromise na Ballali asiongee .Lakini wamesahau kwamba wamesha mbomoa sana sana kitaifa na kimataifa hadi washinda hoi kuamua kugawana shamba lake kwa jina kuitwa Fisadi lakini walio husika wako kimya .Sasa mchezo umeanza. Hawajui pa kuanzia maana wanataka kukaa na ndugu zake wapewe ujumbe ili waende kwa Ballali nalo wanaliona la moto ndugu zake hawana habari tena . JK alifaya kwa sifa lakini ataona moto wake . Ninawaamini this day sina mashaka nao hata kidogo . Tuendelee .
Mimi nina imani na this day kabisa kabisa .Sijui wewe unasemaje .
Kwa taarifa yako rekodi hazionyeshi kwamba auditing ya EPA account mwanzilishi kwamba ni Dr. Slaa... Mwanzilishi wa Account ya EPA kukaguliwa kwa undani ni serikali yenyewe!!! ingawa sikulaumu kwa kuwa vyombo vya habari vilihalalisha hivyo kama walivyosema Rostam alikuwa Mweka Hazina...Nina taarifa kwamba Ballali hakuwa kuwa mwanamtandao na mambo yalianza kuvuja slowly baada ya Ballali kuomba returns toka kwa RA juu ya mamilioni yetu yalio enda huko Usalama sijui wapi na mengine wakakimbia nayo ndipo uchuro ukaanza hadi watu nje wakajua kwamba kuna ufujaji. Watu walisha kusema Slaa ni kichaa sawa na Mrema .Lakini Mrema aliyasema haya long enough wakatumia usanii wa aina ya Masatu kusema wanataka ukweli . Leo kaja Slaa wakasemna ni uongo tena hapa hapa ubaoni watu walidiriki kusema ni uzushi na fitina leo here we are .Na This Day nasema endeleeni naelewa msemalo ila mnasema kwa hatua .
Yes, nchi imeparanganyikiwa!!!
Sio tena kusoma na kujaji habari specific kujua ukweli wake au uongo wake!!! bali kusoma na kuelewa/kutoelewa kwa imani kila habari ya chombo fulani!!!
"eeeeh tate nanee!!!
Du! au sijui maana ya Imani!!! Kazi kweli kweli!!!
Currently Active Users Viewing This Thread: 49 (28 members and 21 guests
Imani zikpo nyingi, hata CCM wanaamini hawakutumia ufisadi katika ushindi wao wa kishindo! tuta shuhudia imani nyingi tu mwaka huu
Haya jamani position ya Rostam from 2002 to date ni:
http://www.tanzania.go.tz/pdf/ORODHA%20YA%20VIONGOZI%20WA%20KITAIFA.pdf
Mweka hazina wa CCM 2005/06
http://ipp.co.tz/ipp/nipashe/2005/01/09/29537.html
I rest my case manake ndio nimeshakwama hapo tena.....
Kwa taarifa yako rekodi hazionyeshi kwamba auditing ya EPA account mwanzilishi kwamba ni Dr. Slaa... Mwanzilishi wa Account ya EPA kukaguliwa kwa undani ni serikali yenyewe!!! ingawa sikulaumu kwa kuwa vyombo vya habari vilihalalisha hivyo kama walivyosema Rostam alikuwa Mweka Hazina...
Dr. Slaa alikuwa mwanzilishi kwenye akina deep green finance issues etc...
Ungekuwa unasoma btn the lines ungejua ndio maana Dr. Slaa anataka Twin Tower na Kagoda & deep green zifanyiwe kazi maana yeye ndio hapa anaweza score... huko kwenye EPA ni government yenyewe...
Hii story ni ya kiuchokozi na kam tuantaka kufanikiwa vita hii dhidi ya ufisadi na mafisadi ni lazima RA awekwe karibu ili kuweza kumtoa nyoka pangoni.
Huyu RA anahusika na ufisadi huu na haswa ule wa Kagoda ambao alikuwa ameziweka ofisi za chama kule msasani kwake na hapo ndipo ilikuwa hazina ya CCM kwa wakati wa kampeni za 2005.
Someni kwa makini na pia kuna haja ya kuangalia ni kwanini hiyo story ikawa hivyo sio kuangalia kwa makengeza ,by the way hiyo 2005 ROSTAM alikuwa na cheo gani huko CCM kilichomwezesha kuwa mjumbe wa timu nzito ya kampeni?
Angalieni wajumbe wengine wote wa hiyo timu walikuwa na vyeo ndani ya CCM huyu alitokea wapi???
Naomba maelezo ya connection yanayoeleweka, maana nimepitia sehemu nyingi nimeona ziko kiimani tu!!!... nisaidie nitaelewa tu kama kuna logic,Hii story ni ya kiuchokozi na kam tuantaka kufanikiwa vita hii dhidi ya ufisadi na mafisadi ni lazima RA awekwe karibu ili kuweza kumtoa nyoka pangoni.
Huyu RA anahusika na ufisadi huu na haswa ule wa Kagoda ambao alikuwa ameziweka ofisi za chama kule msasani kwake na hapo ndipo ilikuwa hazina ya CCM kwa wakati wa kampeni za 2005.
Someni kwa makini na pia kuna haja ya kuangalia ni kwanini hiyo story ikawa hivyo sio kuangalia kwa makengeza
Nakumbuka alikuwa Mjumbe wa NEC, kama walivyokuwa wajumbe wengine wengi!by the way hiyo 2005 ROSTAM alikuwa na cheo gani huko CCM kilichomwezesha kuwa mjumbe wa timu nzito ya kampeni?
Angalieni wajumbe wengine wote wa hiyo timu walikuwa na vyeo ndani ya CCM huyu alitokea wapi???
Mpaka kieleweke,
Asante sana kwa kuuliza maswali ambayo mwandishi wa story ya Thisday anataka watanzania wajiulize. Unajua ccm walijua kuwa kifo cha Mbatia na "Balali" vingemaliza hii skendo na kuitupa kapuni bila kujua kuwa hapa JF kuna watu hawalali mpaka kieleweke!
Ahsante mama, wewe uliongea na Mwenyezi Mungu kwamba Marehemu Mbatia (RIP) angekufa kwa kifo gani?
Naomba na kukushauri utubu kwa Mungu wako!!! unatenda dhambi kubwa sana!!!
Ahsante mama, wewe uliongea na Mwenyezi Mungu kwamba Marehemu Mbatia (RIP) angekufa kwa kifo gani?
Naomba na kukushauri utubu kwa Mungu wako!!! unatenda dhambi kubwa sana!!!
Kama Kiingereza changu hakinipi kiwi ya macho; nikisoma katikati ya mstari naelewa hivi:
1. Rostam anatuhumiwa na This Day kuwa alihusika kwa kuwa alikuwa ndani ya kamati ya watu 22 ya kampeni ya uchaguzi ya mwaka 2005.
2. Yeye anasema hakuwa mweka hazina wa CCm mwaka 2005, bali marehemu mama Mbatia.
3. no 3 hapo juu halina ugomvi kwasababu nafasi anayosemwa nayo sio ya uweka hazina bali ya kwenye kamati ya kampeni ua uchaguzi.
4. kumuingiza marehemu kwenye hili ni kutaka kuizika hoja dhidi yake.
5. This Day sio wajinga; naamini wanajua wanachoandika, na naamini Rostam kwa kujibu alivyojibu kajiingiza mtegoni.
6. Jibu la Rostam linarudisha mjadala wa kifo cha huyo mama. pengine ilishanukia kuwa iko sooo, kama wanavyosema This Day kuwa wengi wa watuhumiwa wanasingizia kampeni; kama ndivyo, marehemu peke yake ndiye alijua ukweli kama zilitumika kwenye kampeni au la; au kama ziliingia kwenye account ya CCM au la; ndio maana kifo chake ni ahueni kwa wengi. Si ajabu baada ya kifo chake kuna mafaili hayapo ofisini kwake.
7. Guys, lets read between the lines and digest the information. Iko habari nzito hapa