KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
sokomoko hujambo mwana ?
hii habari mbona ilishawekwa hapa mzazi ?
hii habari mbona ilishawekwa hapa mzazi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sokomoko hujambo mwana ?
hii habari mbona ilishawekwa hapa mzazi ?
Ibara 15:1
Kwa kweli hiyo itakuwa ndo njia pekee ya kuinusuru Tanzania yetu. Wale wasio mafisadi wajitoe na kuanzisha CCM yao safi huku wakiiacha CCM mafisadi. Inatia huruma hata inafikia kipindi mtu unakosa hamu ya kufwatilia yanayofanywa na Chukua Chako Mapema kwa kugopa kufa kwa STROKE.Kwa mara nyingine tena CCM imeonyesha woga kuumbuka! Walitoka Butiama kwa mikogo, kumbe ni mafisi! ukweli ni vibaka watupu!
Kama kuna watakaodai wao ni CCM asili ni wapinga Ufisadi, basi nao waondoke na kuanzisha chama chao na kuwaachia mafisadi CCM koko!