Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

sokomoko hujambo mwana ?
hii habari mbona ilishawekwa hapa mzazi ?

Usiwe umvivu kada soma vizuri hiyo habari kwenye thread ya Rostam Azua kizaazaa utaona ni habari mbili tofauti.

Ahsante kwa ujembe wako lakini kuwa makini.
 
kahawa-1.jpg
 
GT

hao ndio maa-ARBAB wa pwani bwana,jioni wapata kahwa na kashata za shisha(chicha).

halafu unaona kofia zilivyodenguliwa hizo?huo mkao wa kofia kila mmoja una maana yake yakhe usione tu watu wavaa kofia.
 
-KAMATI TA UONGOZI YA CC YAMZUIA
-MWENYEWE ASEMA ALIJIAANDAA KUSEMA
-ATAMBA ANA VIELELEZO KAMILI

Kamati ya uongozi ya chama cha mapinduzi imemzuia mbunge wa Igunga Rostam Aziz kuwasilimisha maelezo yake binafsi bungeni kwa muda wa mwaka mmoja.

Kikako cha kamati kilichofanyika jana uamuzi huo umechukuliwa kutokana na kile kinachoelezwa kulinda maslahi ya chama ((UFISADI))...

KABLA YA KUFIKIWA UAMUZI HUO ROSTAM alikabidhi maelezo yake binafsi kwa spika kabla ya kufikiwa uamuzi huo..

Habari zaidi zinaeleza hatua hiyo imezusha gumzo bungeni kunani mbunge afikiwe tamati hiyo na hivyo kuingilia uhuru wa mbunge akiwa bungeni...habari zaidi zinasema jamaa mmoja alie karibu na Rostam amesema hatua hiyo imefikiwa kulinda heshima ya bunge na si chama peke yake ...[mmmhhhh PATAMU HAPO....]

KIKAO HIKO KIMEAFIKI ROSTAM ASIWASILISHE MAELEZO YAKE BINAFSI BUNGENINA HABARI ZAIDI ZINASEMA MBUNGE HUYO AMEAKATAA UAMUZI HUO NA HIVYO KUAPA KUSAFISHA JINA LAKE KWA KUELEZA UKWELI HALISI UKIWA NA VITHIBITISHO..HATUA HIYO ILIFANYA MH ROSTAM KUONDOKA DAR ES SALAAM NA KUREJEA DAR ES SALAAM BAADA YAKUONA HAKUNA UHAKIKA WA KUWEZA KUWASILISHA TAARIFA YAKE BUNGENI... HABARI ZAIDI ZINAELEZA MAELEZO YA ROSTAM YANGEWEZA KULETA MTIKISIKO ZAIDI YA ULE ULIOTOKEA KWA LOWASSA mmmmh hh mi chichemi hapa
inaelezwa kuna mambo makubwa yanafichwa katika hili na hivyo kuleta mgongano wa kimaslahi na wengine kukiri maelezo yake nyangeitikisa nchi vibaya sana......,hatua ya kulazimisha kuandika maelezo yake ilimshangaza sana baada ya kumuuliza spika je waliokuwa wanatoa mada kwenye swala la richmond walimwandikia barua na kujibiwa akamuulize waziri mkuu ...yeye amepokea oda toka kwa waziri mkuuu pinda....

JAMANI PINDAAAA PINDA PINDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA ANGALIA NDUGU YANGU WATAKUPINDISHA KUMBUKA ULICHOAPA SIKU UNACHAGULIWA MI SIPO...KWENU WANA JF;KWANINI WAMEMNYIMA NINI KIKO NDANI NA PINDA UMEFANYA NINI MWENYE JIBU ANAKARIBISHWA.......

MBIU:::::::::::UFISADI USAFISHWE BUNGENI

UFISADI SI KUIPA PESA EPA HATA KUMYIMA MTU HAKI YAKE!!!
 
Hivi kazi tutaanza kufanya lini maana nipolitiki tuuuuuuuuu!!!! kila siku, wajameni hii nchi ina laana????
 
Duh spika kwa nini amewakilisha hoja kwa Pinda ,ndio sababu ya kumwomba maandishi ! .Yaani hoja zinajadiliwa kwanza na CCM na kuangaliwa kama zima maslahi kwa chama ndio iwe vile!Jamaa wanajiabisha mpaka basi na tutasikia tu alichotoka kusema huyo bwana .
 
Kwa mara nyingine tena CCM imeonyesha woga kuumbuka! Walitoka Butiama kwa mikogo, kumbe ni mafisi! ukweli ni vibaka watupu!

Kama kuna watakaodai wao ni CCM asili ni wapinga Ufisadi, basi nao waondoke na kuanzisha chama chao na kuwaachia mafisadi CCM koko!
 
Kwa mara nyingine tena CCM imeonyesha woga kuumbuka! Walitoka Butiama kwa mikogo, kumbe ni mafisi! ukweli ni vibaka watupu!

Kama kuna watakaodai wao ni CCM asili ni wapinga Ufisadi, basi nao waondoke na kuanzisha chama chao na kuwaachia mafisadi CCM koko!
Kwa kweli hiyo itakuwa ndo njia pekee ya kuinusuru Tanzania yetu. Wale wasio mafisadi wajitoe na kuanzisha CCM yao safi huku wakiiacha CCM mafisadi. Inatia huruma hata inafikia kipindi mtu unakosa hamu ya kufwatilia yanayofanywa na Chukua Chako Mapema kwa kugopa kufa kwa STROKE.
 
Hivi nini kifanyike kuondokana na hiki kichaka kilichoficha kila uozo katika nchi hii.

Kuna kazi ya kufanya hapa, tumesema wakati akina ule Katiba ya nchi inaandikwa challenge zilikuwa ni ndogo, sasa hivi challenge ni kubwa mno. Bila kuangalia Katiba upya hakutakuwa na Maendeleo ktk Tanzania. Maendeleo yatabakia kwa viongozi wa CCM tu basi. Watakuwa wanakula kwa niaba ya watanzania.

Wakati mwingine hawa jamaa wanatuletea aibu na kuonekana hatufai katika ulimwengu huu. Mkuu Rev. nafikiri hiyo ndio solution
 
Kwanini spika alitaka kuyaona maelezo hayo kabla RA hajayatoa mwenyewe bungeni? Je ndio utaratibu wa Bunge wa kawaida au vipi, mimi sielewi? Halafu vilevile kuwapa washauri wayapitie kabla hayajatolewa bungeni sijui kunaashiria nini zaidi ya kutaka "kufukia mashimo" as it were, sasa akikubali kutoa version watakayompa halafu akaamua kutoa original wakati anajieleza itakuwaje? Sisi tusubiri tu kuona tamthiliya nyingine!
 
Hapa kuna kitu labda sijaelewa, katika kikao cha bunge kilicho pita bunge lilipitisha RA aje bungeni atoe maelezo yake(kwa kuwa hakuweza kutoa maelezo hayo kwa mwakyembe).

Hivi kumbe ilikuwa ni hoja binafsi?
 
Nafikiri bunge bado liko na haki ya kudai maelezo hayo kama yalivyoombwa na bunge si kikundi cha watu fulani kutoa maamuzi kwa niaba ya wabunge wote,Subiri watakapouliza na pia hakuna siri ya watu wawili.
 
Back
Top Bottom