Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchungaji mwongo... risiti imetaja church mzee wangu mwanakijiji!
mmhmhhmhmhmh.... hakuna kitu hapa Tanzania... Mtikila si wa-kuaminika kabisa
Bubu ataka kusema,
Hoja zako ni dhaifu sana! Maana ni kama hizo fedha zote... zimeenda kwa Rostam... kama huo ndio ushahidi kweli mnaongea upupu mtupu!!!>.. Poleni sana... kama ndio ushahidi wenu!
Mtikila na deni lake... hajasema alitakiwa arudishe lini? Jamaa ni msaniii
Mtikila na deni lake... hajasema alitakiwa arudishe lini? Jamaa ni msaniii
Baadhi ya Mahojiano ya Mtikila na Mwanakijiji.(Siyo direct quotation)
Mwanakijiji:Kuna taarifa kuwa umepewa shilingi milioni 3 na Rostam.
Mtikila:kaanza kueleza habari za Ufisadi, Richmond, Dowans, EPA ....
Mwanakijiji: Hayo tunajua tangu siku nyingi, je umepewa hela na Rostam
Mtikila: Ndiyo..kweli..nilikopa ,nilikuwa na shida ,.unajua Rostam rafiki yangu tangu siku nyingi..HIYO RISITI ROSTAM AMEFOJI
Mwanakijiji: Kwa nini uende kumuomba Rostam? huji kuwa umecompromise standard? watu hawatakuamini tena.hukuwaona watu wengine wa kwenda kuwakopa??
Mtikila:Hapana nikipewa napokea ila zisiwe kwa masharti ya kumsafisha, mara anaongelea mambo ya Manji,Milioni 3 nilimwomba aniazime na kuwa nitayarudisha.Kesho nitazungumza
kuwa kwa sababu nimesaini siyo rushwa.
Mwanakijiji:Unaonaje umrudishie fedha zake?
Mtikila:fedha nimemuazima kitambo sana kabla mambo hayajamfika shingoni.Sipawsi kuwa na maadui maana mimi ni mtu wa Rohoni.Mara kaenda kwenye mambo ya ushirikina bungeni.
.......................................................................
Mwanakijiji:TUNASUBIRI KESHO
Mtikila:Mwanakijiji umesahau... umesahaukuna kamati ya kupambana na wanaoporamali za nchi.Hata wakati Balali alipokufa Rostam alienda Marekani, kufanya nini? sijui.
END.
NIMECHOKA .......
Mzee Mkjj umevamiwa studio nini hahahah (joke)
Mtikila na deni lake... hajasema alitakiwa arudishe lini? Jamaa ni msaniii
Just as i said here, this guy is a thug and he will choose the few waandishi he likes. So do it as waandishi wa ulaya, flock at the hotel, akishuka tu garini kabla hata ya kwenda ndani mbaneni maswali na mhakikishe kama hajibu basi mnaingia naye. Kama atalala hotelini basi mkae mlangoni wa chumbani kwake au mwa hilo chumba cha press!
Yale maswali niliyoyatoa hapa muulizeni huyo fisadi.
Asha
Pamoja na kuliita Bunge "kijiwe", Rostam aliishatamka kuwa Bunge ni sawa na "Ze Comedy". Tatizo la huyu jamaa ni kuwa hakai Bungeni, yuko busy kutoa statements kwenye vyombo vya habari anavyomiliki kama vile RAI (kifupi cha Rostam Aziz wa Iran). It is disgusting kuwa Wasukuma wa Igunga wamempa hata "uchifu"! Ama kweli pesa inatesa!
Rostam ni kweli familia yake imefanya biashara muda mrefu sana, lakini:-
1. Haibadili ukweli kuwa, wakati wa uchaguzi alikuwa akipewa hela za kampeni na Iran, kwa sababu yeye ni Mtanzania mwenye asili ya Iran, na ndiyo maana hata uwaziri aliukwepa kwa sababu wafadhili walimwambia Mkapa wazi kuwa akipewa uwaziri wa Fedha basi hakutakuwa na msada toka kwa wazungu.
2. Nilisema wazi kuwa Rostam anatoa hela Iran, haikupita muda gazeti maarufu huko London likarudia maneno yangu, Rostma na muungwana wakasema watalishitaki lile gazeti, je waliishia wapi?
Sasa mtu kwa aliyefanya biashara toka mwaka 1852, ilikuwaje kwenda Iran kuchukua hela za kmapeni? Ilikuwa ni kwa mtaji gani? Alipewa ngapi?
3. Ni kweli alianza biashara toka mwaka 1852, lakini Richimonduli na Dowans imekuwaje sasa amezihamishia kwa Manji, bila kufuata sheria zetu za Jamhuri za kuhamnisha mali au kampuni? Na kwa nini amezihamisha majuzi baada ya wabunge kuanza kuja juu? Kilichomshinda kwenda kwenye kamati ya Mwakyembe ni nini hasa mpaka sasa anaita waandishi aliowalipa tu na kusema taarabu?
Mbona kampuni zake zingine kama Vodacom hajahamishia kwa Manji? Halafu mbona zamani alikuwa haongei in public sasa hiii nguvu mpya ameipata wapi?
Au ana wasi wasi kuwa ameshikwa pabaya?
The next thing tutamuomba aseme majina ya viongozi wote waliwahi kupewa hela na yeye, hiyo ndiyo itakuwa siku ya kilio cha damu kwa taifa letu, maana ni kuanzia Upinzani mpaka CCM, aliowahi kuwapa hela, wa kwanza kabisa Mzee Ndejembi, alimpa shillingi millioni kumi kwa ajili ya kugombea uenyekiti wa CCM Dodoma na mpaka leo anamdai hajalipa!
Rostam ni fisadi tu, lakini siku zinafikia ukingoni, maana ukiona wananza kuongea sana wakati zamani walikuwa kimyaa ujue chini kuna moto!