Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Jamani kumwachia huyu mwendawazimu kupigana hii vita wote tutaonekana wendawazimu tuu na mafisadi watashinda,kila akifungua mdomo ndio unagundua tunadeal na mwehu pale!
 
Aidha kwavile hata watoto wadogo mitaani wanalia naye nchi nzima kwamba ndiye fisadi anayeimaliza nchi yao, basi hata yeye atangulie mahakamani kama alivyoshitaki MwanaHALISI, kiyama kitamfuata tu. Saa ya ukombozi ni sasa!

Mbona wewe Mtikila umewashitaki mwanahalisi mahakamani tena ukapewa pesa za kufungulia kesi na Rostam ?

Unafiki wako utakumaliza mwaka huu, Mungu yupo upande wa haki hivyo jiandae na wewe kuitwa na kuzomewa kuwa ni fisadi tuu.
 
Mtikila,kuna kazi kubwa sana mbele yako ,zile nyingine uzirudishe pia na haswa zile ulikuwa unapewa ili kuhakikisha kuwa Gazeti la HOJA linaandika yatawekwa hapa hadharani.
 
Kuna point fulani na ujumbe nimeupata toka kwenye huu ujumbe, ila Mtikila ajaribu kutumia lugha nzuri, mataahira, sidhani kama ni sahihi hasa ukizingatia yeye ni mtumishi wa Mungu (japo sina uhakika), pili ameshapoteza imani kwa wananchi, na tena anazidi kutudhihirishia kuwa na yeye ni ama mmoja wao au alikuwa na lengo la kuwa pamoja nao ila mambo yamegeuka. Kwanini haya yote yaanze kuonekana leo hii, baada ya Sakarir kumuumbua?
Mtikila be honest, siasa imekushinda sasa, kilichobaki nondo hizo wape wengine waendeleze libeneke.
 
Mkuu ngwangwa karibu sana jamvini, hiyo hotuba inamakubwa, madogo yanauafadhali.
Hivi Mtikila amewahi kufanya kazi gani vile? usalama wa taifa au siyo?
 
Mtikila karusha mawe hapa. Sijui amekaa akaandika halafu akasoma? Huyu RA kweli ni rafiki yake maana naona anamjua vizuri. Sasa Mtikila tutafurahi kama utampeleka mahakamani kwa maswala uliomtuhumu.

Uraia wake nafikiri unaweza kuwa sababu ya kwanza pamoja na ufisadi. Tanzania mara nyingi wazawa wamelala usingizi, watu wengi wanaofanya mambo ya ajabu unakuta si watanzania halisi. Kuna haja ya kufuatilia madai ya mtikila kuhusu uraia halisi wa RA.
 
Mtikila anamwaga point nyingi sana hapa nafikiri Rostamu kama alifikiri kusema milioni tatu alikuwa amemaliza sasa inawezekana akawa amewasha moto ambao hataweza kuuzima.

Hawa watu inawezekana si raia wa tanzania nafikiri tufuatilie RA amesoma wapi? na hao ndugu zake wamesoma wapi anaweza kupatikana kirahisi sana.
 

Je, serikali ya JK ina interest ya kutaka kufuatilia hayo? Documents zote ambazo zinaweza kumfunga RA ziko mikononi mwa serikali na wao sidhani kama wana nia ya kuchunguza hayo yote kwa kuwa ni mtu wao.

Hilo swala la uraia lina utata mkubwa sana na linahitaji umakini mkubwa kwenye kulifuatilia. Ila serikali ya Bongo kwa double standard siwawezi, ukienda kinyume nao ndiyo utawaona wanavyokuja kazi na madai ya uraia lakini kama uko nao swala la uraia halipo. Muulize Jenerali Twaha Ulimwengu na Marehemu Nabwa.
 
Adui wa Adui yako ni RAFIKI YAKO. Bila kujali kama Mtikila anaTUMBUKIAMO shimoni mwa UFISADI, maadamu anampatia RA habari zake, sisi kwetu poa. Acha wenyewe kwa wenyewe WAMALIZANE. Nasubiri Kikwete, Lowassa na RA wakianza kuzipiga hapo PATANOGA maana nafkiri Kikwete itabidi atumie Mashushu wake na UJESHI wake aanze kutembeza UIBILISI ili kulinda mfuko wake maana hawa akina Mama ndogo wako wengi na wao Vipodapoda na vimanukato wanavihitaji kwa wingi. Heee, MASIKIO yanawasha.
 
hivi kwanini Rostam alisema suala la watu wasioheshimu ndoa zao akijua mengi ya JK na ushemeji wao?
 
hivi kwanini Rostam alisema suala la watu wasioheshimu ndoa zao akijua mengi ya JK na ushemeji wao?

Mzee Mwanakijiji,

Samahani hebu fafanua kidogo hapa, una maana Rostam na JK mmoja wao anaenda na dad wa mwenzake? Ni JK au yeye Rostam?

Asante kwa ufafanuzi?

Njimba
 

Samahani sana wajumbe kwenye mjadala huu tunaokwenda kuujadili. Kuna kipindi kingi huwa najaribu kufuatilia maisha ya mafisadi na kukuta kwamba wale wanaoiba na kujenga ama makanisa au misikiti huwa wanatetewa na watu wa kwao. Sijui hili limekaaje.

Mimi nimefurahishwa sana na mwito wa kanisa la Lutheran la kumakana Rostam Aziz. Kwa kuwa haikuwa haki yake kulitumia jukwaa la dini kulelezea maswala yake ya kisiasa. Kama ilikuwa ni kuchangia tu, angechangia na akazungumza machache yanayomhusu yeye na imani na si yanayomhusu na yale ya bungeni ambayo alizuiliwa kuyatoa huko kwenye mjengo. Chonde chonde kama aliwajengea msikitiki isiwe sababu ya kumtetea. Huyo hatufai kabisa Tanzania.
 

Mtikila kweli ni political entertainer namvulia kofia. Pamoja na yote ya kuvuta mshiko kwa Sakarir bado jamaa mi namkubali hasa pale ninapokuwa nahitaji kucheka du!!! jamaa sijui anatoa wapi maneno haya yaani hapa sina mbavu
 
Udhaifu wa Mtikila hauninyimi kuchukia ufisadi wa RA.
Matusi ya Mtikila hayanifanyi nisamehe uonevu ambao uafrika wangu umefanyiwa na waarabu RA akiwa mmoja wao.

Acheni tu mi ntalia bure!!!!!!!!!!!!!
 
Ile kauli ya SINCLAIR KUWA JK NDIYE MWENYE KAULI YA MWISHO INAJIDHIRISHA HAPO CHINI.

KWANI LABDA ALIYEMPA RIPOTI YA MADINI ALIMWAMBIA KUWA NI KWELI UAMUZI WA JK NI WA MWISHO.

NA KUTOKANA NA UKWELI KWAMBA KAMA MAHAKAMA KUU ISIPOTOWA UAMUZI WA KUHUSIANA NA KESI HIYO YA KINA MTIKILA...Basi ni kweli ile kauli ya SINCLAIR KWAMBA UAMUZI WAO YEYE NA JK NI WA MWISHO ITATIMIA!

SO NI MUHIMU KWAUNGA MKONO HAO PILCOM....


NB:Tusisahau kuwa hiyo PILCOM SI MTIKILA MWENYEWE!

Na kama sijakosea..Walisema kuwa kuna wabunge wengine wa ccm watakaojiunga nao!

Huu ndio muda wa kufanya yale yanayotakiwa kufanywa!

NI MUHIMU KUSIMAMIA UPANDE WA HAKI NA HIVYO BASI..PILCOM SI MTIKILA...NA HII NI KAMA ILIVYOELEZWA HAPO CHINI....

KAMATI YA KUPAMBANA NA UPORAJI WA NCHI
 
Na hivyo basi...Hakuna mwananchi asiyewakilishwa kwenye PILCOM na hivyo tuache UMBEYA na kutowa sapoti kwa wazalendo!

Mbona mnamlaumu Mtikila na mmeiacha familia ya mwalimu iliyokataa kumkana Mkapa?

Mbona hamusimamii UPANDE WA HAKI?

KUNA WATU WANA WAZIMU HUMU NDANI AMA NI MAPEPO?

Hatutaki watu wa kutuvuruga na MIMI NIMESHASEMA SITOKUBALI!

Kwani tulijifunza mengi sana kwenye enzi za Mrema na NCCR MAGEUZI!

Na kama haya yanayotokea sasa hivi ambayo hayana tofauti kubwa sana na ya wakati ule yakiachiwa yaendelee...Basi TUMEKWISHA!

TULIFANYA MAKOSA MARA YA KWANZA NA TUKAINGIA UTUMWANI...SASA NI KIPI KINGINE MNATAKA NYIE MADHALIMU?
 
Bank nazo si zimejaa ufisadi uleule? ukienda mweusi upati ukienda mweupe hata bila bond unapewa unazopenda sio unazohitaji. Upo hapo?
 
Hivi huyo mtikila anachunga nini????

Ni mchungaji au mtungaji???

Mi namuona ni dalali wa siasa tu!!!!
 

Hili swala si jepesi sana kama mnavyoona , haihitaji ushabiki hapa.Kitakachoweza kumzuia Rostam kwenda mahakamani ni wenzake wakimshauri.Otherwise akienda mahakamani wengi wetu tunasema na vithibitisho hatuna,Japo walitakiwa na wanatakiwa wawe na vithibitisho.Sumaye ilikuwaje???.Swaala la kusema tutachanga haya magazeti tayari tunayachangia kwa kununua kila siku.kubenea asitake kuandika nakala ya kuonewa huruma hili ni yeye na Rostm.Akiwa na ushahidi aeleze umma ushahidi hupo kwa jinsi hii nitatoa mijihela mingi.Na unaonyesha wewe ni mmoja wa watanzania wachache ambao wako tayari kujitoa kupigania hali hii.Swali ni wko wangapi kama wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…