Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Sasa kama hawa jamaa hawajulikani na hawataki kujitaja nani alifungua kesi? Na kama uuzaji wa mitambi hiyo umezuiliwa na mahakam hili dili jipya na Tanesco lilianzia wapi? Na kama Tanesco ndio wabaya wao, waliwezaje kufanya majadiliano ya kuuziana mitambo (ambayo imezuiziwa na mahakama)? Jamaaa wanajikanganya na ndio maana watakuwa wanafanya kila kitu usiku au ndani ya selo!
Siku zoote nimekuwa nikiamini RA is one of the smartest crooks we have in TZ lakini inaonekana si kiiivyo!!!!!!! With this one, jamaa ameplay so low!
Well mitambo ya dowans inauzwa na hii inaonekana imewekwa jana kwenye alibaba.com maana watu tumekuwa tukiitafuta details za DTL siku nyingi kwa kugugo na only this morning tunaiona hii ikiambatana na press release (Soma mwananchi hapo chini) iliyotolewa jana hiyo hiyo na Dowans. Soma mwenyewe uangalie hizo details za muuzaji halafu tell me kwamba je ni kweli hapa kuna uuzaji au changa la macho.
Mauzo (Bofya hapa mbele): On sale - Dowans Tanzania Ltd - Energy,
How do u sell stuff that is worth $100m (as quoted from Dowans)
1. Huna Address?
2. Mtu wa kumpigia anasema call me?
3. Simu yenyewe imekaa kimazabe mazabe au kimagumashi?
4. Company details hamna?
5. Hamna picha
KWA KIFUPI HUYU JAMAA SASA ANATAPATAPA. ETI HUU NI USHAHIDI KWAMBA WALIKUWA WANAUZA SI KWA TANESCO TU. But why ianze kuonekana kuanzia leo asubuhi????????
Dowans yaibuka na kitendawili
Mwananchi Tanzania News Paper
Kutolewa Mwali kunaanza kuwaumiza kichwa... don't worry my dear ones...
companero... kuwadokeza kidogo tu... tumepata nafasi ya kuzungumza na mmiliki wa Dowans....
companero... kuwadokeza kidogo tu... tumepata nafasi ya kuzungumza na mmiliki wa Dowans....
yule wa Costa Rica..
Hii ni kwasababu nchi haina kiongozi serious ingekuwa wakati wa Mwalimu , kwanza angeishataifisha hiyo mitambo na R/A na EL wake wagekuwa mahabasu period. watu ni vilaza ukiacha huo utaalamu wa wizi ,alafu wanataka kudistabilize nchi nafikiri ushauri wa Mzee Ndesamburo wa kuwanyonga adharani kama China ufanyie kazi na nchi ipate kuendelea na mambo mengine.
sisi ndio wajinga na sio RA ni smart