Wakuu salaam
je mnalifahamu hili?
Tarehe 1 Feb 2005 Mheshimiwa Lawrence M. Gama [ CCM ] Mbunge wa Songea Mjini Aliuliza hivi
Je, tangu Serikali ichukue hatua ya kubinafsisha viwanda ni viwanda vingapi vinafanya kazi na vingapi havifanyi kazi hadi sasa na ni vingapi vimejengwa?
Majibu katika kikao cha 7 mkutano 18 kutoka kwa Mh. Hon. Dr. Juma Alifa Ngasongwa Waziri wa Viwanda na Biashara ;
Mheshimiwa Spika, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Dr. Lawrence Gama, Mbunge wa Songea Mjini, kama ifuatavyo:-
Tangu Serikali ichukue hatua ya kubinafsisha viwanda, viwanda ambavyo vimebinafsishwa na vinafanya kazi ni 55
..
Mheshimiwa Spika, viwanda ambavyo vimebinafsishwa lakini havifanyi kazi ni Morogoro Tanneries, Tanzania Tanneries Moshi, Mwanza Tanneries,
.
WHY ?????????????????????. Kazi kwenu!