Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

BWANA MWANAKIJIJI SI BUSARA KUANZISHA THREAD NA KUOMBA WATU WACHANGIE HUKU UKIJA WEWE MWENYEWE NA JINA HILI LA MADELA KUJIJIBU.

SEMA KAMA UNA NIA YA KUMCHAFUA ROSTAM INGIA MOJA KWA MOJA HUO NI UTOTO. ROSTAM ANA ELIMU YA KUTOSHA HUWEZI KUMFANANISHA NA BOSI WAKO (MBOWE) ALIYEKIMBIA SHULE -HULL, ROSTAM KASOMA OXFORD WEKA REKODI ZAKO.

LAKINI LAZIMA UJUE KUWA KWELI ROSTAM ANA POCHI KAMA UNA SHIDA UTAPEWA NA WATU KAMA WEWE ULIYENUNULIWA NA MBOWE KWA KUFUNGULIWA WEBSITE TU NDIO UNAPATIKANA KIJINGA KABISA.

ROSTAM KAANZA UBUNGE MIAKA MINGI SIO 2005 NA HUKO IGUNGA USIFIKIRI CHADEMA INAWEZA KUPATA HATA DIWANI KWA MUDA ATAKAOKUWA ROSTAM KAMA MBUNGE.

SWALI UNGEWAULIZA WATU WA IGUNGA KABLA YA KUTULETEA SISI JF.

KAMA KWELI CHADEMA CHAMA MBONA HATUJASIKIA MKAENDA IGUNGA KUONGEA NA WANA IGUNGA AMBAO SIO MEMBERS HAPA JF ILI KUWAFAHAMISHA HABARI YA ROSTAM?

NADHANI KAMA KUNA KITU AMBACHO NINGEKUONA MWAMBA NI KWENDA IGUNGA AU KUMBWAMBIA BOSI WAKO APELEKE MKUTANO UONE KAMA WATU KUMI WATAKUJA KUKUSIKILIZA.

NA UNAJUA KUWA TABORA NDIKO KWENYE CHIMBUKO LA VYAMA VINGI 1962 MZEE KASANGA TUMBO NDIYE ALIYEACHA UBALOZI-LONDON NA KWENDA KUANZISHA UPINZANI. 1990s KUNA MAPALALA NA CHIFU FUNDIKIRA KAMA VINARA WA MAGEUZI NA KUNA PROFESSOR LIPUMBA KAMA CHACHU YA UPINZANI HADI BOSI WAKO MBOWE ALIKUWA AKIPELEKA KURA YAKE URAIS HUKO.

PAMOJA NA KUWA NA HISTORIA KUBWA YA UPINZANI HALISI(TABORA) LAKINNI IGUNGA-TABORA BWANA ROSTAM ANA PENDWA KULIKO WEWE AU KITILA ANAVYOMPENDA MBOWE, MAANA WEWE UNAPENDA MTU SI CHAMA.

Chinga you are sick.
 
Huyu jamaa amesoma hiyo BA yake ya Economic wapi. Maana strategy zake za wizi zinaonyesha ana BA ya Drama. Huwezi kufanya wizi wa kipuuzi kama ule.

Sometime natamani tungekuwa kama China, huyu jamaa tungekuwa tushamuhukumu death penalty zamani sana. The guy is jambazi.
 
Wakati huo huo, Mchungaji Mtikila ametaka Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, akamatwe mara moja kwa kuwa anaishi nchini na kufanya kazi kinyume na sheria.

(Tanzania Daima)

Mchungaji Mtikila alisema hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, jijini, na kusena kuwa Rostam ni kama hana uraia na Tanzania.

Alisema Rostam ni raia wa Iran na aliinngia nchini miaka ya hivi karibuni akiwa mfanyabiashara wa ngozi baadaye kuingizwa kwenye siasa na viongozi wa serikali.

Alidai ana ushahidi wa kutosha hadi hospitali aliyozaliwa mbunge huyo na kwamba hadi sasa wazazi wake wanaishi nchini Iran.

“Rostam ni rafiki yangu mkuu, lakini siwezi kumtetea kuliko nchi yangu. Hata maandiko matakatifu yanaonya kuwa ‘msimtawaze mgeni kuwa kiongozi wenu ila atoke kati yenu’. Ushahidi upo kuwa bado ni raia wa Iran na hajawahi kuomba uraia mwingine popote,” alisema Mtikila.

Ameapa kwamba kama Rostam hatakamatwa atashirikiana na wananchi kumkamata na kumfikisha mahakamani pamoja na wale waliomfanyia mpango akapata nafasi ya kuwa mbunge.

Mtikila alisema kuwa katiba ya Tanzania inatamka kuwa mgeni yeyote ambaye wazazi wake si raia wa Tanzania, hata kama amezaliwa nchini, akitaka kuwa raia sharti kwanza akane uraia wa wazazi wake, kisha aombe uraia wa Tanzania kwa kutangaza kwenye magazeti yanayosomwa na watu wengi, ili kama wananchi wana pingamizi waweke.

Alisema Rostam alipoingia nchini akiwa mfanyabiashara wa ngozi, akakutana na baadhi ya viongozi walioingia nao urafiki kwa ahadi kuwa atawasaidia kwenye uchaguzi mkuu, kisha akanunua kiwanda kimoja cha ngozi mkoani Morogoro kwa msaada wa nchi ya Iran.

Mtikila alisema wakati Rostam akiwa nchini, aliyekuwa mbunge wa Igunga wakati huo, Charles Kabeho, alifariki ndipo viongozi waliokuwa wakimbeba wakampatia jimbo hilo, ambalo amedai kuwa anaamini lipo wazi hadi uchaguzi utakapoitishwa na kumpata mbunge mzawa.

“Iwapo hatakamatwa kwa kudanganya uraia, wananchi tutamkamata, kwani ushahidi upo hata hospitali aliyozaliwa jina tunalo,” alisisitiza.

Aidha, Mchungaji Mtikila alisema wana-CCM wanakwenda kufanya mkutano Butiama ili kuungama madhambi waliyotenda kutokana na kutofuata maagizo ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.

Alihoji uhalali wa mkuatano wa CCM unataotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu kufanyikia Butiama, wakati walimdhihaki Mwalimu Nyerere kwa kuuza nchi.

Aliwashauri viongozi wa chama hicho wanaotarajiwa kwenda katika mkutano huo utakaofanyika mwishoni mwa mwezi huu, kujiuzulu nyadhifa zao na kutubu makosa kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere.

“Wanapelekana alikozikwa Mwalimu Nyerere waliyemuumiza moyo akafa kabla ya siku zake, kwa kupora nchi na kuiuza...ni vema kama wote wanakwenda kuungama na kujiuzulu, lakini kama wanakwenda ‘kuusanifu’ mzimu wa Mwalimu Nyerere, utawamaliza.

My Take:

Je hili laweza kuelezea kwanini Bunge wanashindwa kusema Rostam alisoma shule gani ya msingi na sekondari, au hata chuo kikuu? Maana hawawezi kusema alisoma shule ya Msingi ya Igunga mwaka fulani wakati waliosoma wapo watamuumbua? Rostam alizaliwa wapi, na wazazi wake wako wapi?

Hii kweli inatisha. Jamani tunaomba more facts maana naona another KIHIYO is in the house. Kwanza ataje tuu nani ni classmate wake.

Mwanakijiji give me a favor, naomba uzame kwenye katiba kisha uniambie what is the credentials za kuwa mgombea wa ubunge under the constitution. Na kama Rostam sio raia jee what can we do us raia? File a law suit against CCM? If Rostam is not one of us, then why CCM gave him too much priority?

I get sick about CCM and its allies. Kweli tutafika kama tunawaleta kina Ahamdinajad in our system? Who knows kwamba pesa alizoiba hazijatumika kwenye money laundering. Labda hata kufund Hezzabolla au Al-Qaida? This is so dangerous. I don't want to conclude my arguments mpaka nipate facts.
 
Binafsi napinga mafisadi wa kila namna si wa kuchagua kama baadhi yetu....kuanzia UZINIFU wa KUKUBALIANA hadi BOT,EPA, BUZWAGI,TRA na MENGINEYO

Ni kweli RA anatuhumiwa kwa mengi, lkn mtoa mada na wachangiaji washaanza kubwabwaja bila facts alizouliza Muanzisha Mada. Sifikiri hili ndilo tunalohitaji hapa JF, unless the everything zitajaa FIKRA moja.

MKJJ its good idea kuja na hio analysis zako, lkn umekuwa so specific juu ya RA tu!!! sikatai upo huru, lkn ningependa kuweka ktk broad mind ya analysis zako.

1.Kwanza website ya Bunge ina mapungufu mengi sana hasa kuhusu updates za yanayoendelea Bungeni on day to day basis...mtakumbuka CV ya Wassir hadi sasa haioneshi kuwa kasomea Masters...somebody from JF kaleta data nyingi kuwa Wassira ana elimu so n so...lkn website ya Bunge bado haijawa updated!!!

2. Je wabunge wengine out of RA nao wamechangia nini?....nafikiri kwa nature ya bunge letu lilivyo wengi hukaa kimya huko Bungeni...

3. Vipi wale wanaolala na kupigwa picha LIVE...nao wanachangia nini au wametumwa kulala Bungeni?

4.Huko Nyuma tuliwahi kujiuliza hivi Bungeni wabunge wa Upinzani ni Zitto na Slaa wengine wapo wapi?...niliwahi kusikiliza Vipindi vya CUF vya kampeni thru redio wakasema yapo mengi tu ambayo wabunge wa upinzani wanachangia lkn si wenye kujulishwa Wananchi...in this case kuna uwezekano wa Maoni mengi ya baadhi ya wabunge kutoandikwa!!!

5. Hivi Mbunge kama huna cha kuzungumza yapasa uwe unapayuka tu?ili mradi uwe unajiongeza credits(kupata umaarufu)?

6. Ikiwa Spika ndie kinara wa Bunge assume yeye ni Mwalim Darasani na mwanafunzi maarufu darasani haulizi maswali wala hashiriki group works, Je nani anahitajika kumweka sawa mwanafunzi? kwa Mtaji huu ni vema pia spika akaeleza Ummah kwanini Mbunge so n so hashiriki ipasavyo Bungeni? au yeye spika kazi yake kuombwa Ruhusa na wabunge wanazamia msituni.??..kama vile wanafunzi wa shule ya Msingi wanavyoingia mitini...

7. Ni vema kujua kila mtu talents zake...na ndio maana Vyama vyetu vingi tu vimewaweka watu makada, Kampeni managers + vyombo vya sanaa kupoteza muda kwa wananchi...wale wabunge wenyewe wanakuja kuongea dk 5. In this case kuwapata wabunge ambao si wazungumzaji Bungeni ni wengi.na Wabunge wanaofanya Kampeni zao wenyewe wachache sana...its possible ikawa RA ni miongoni mwao....lkn Hii isiwe kigezo au Kipimo cha kupima mchango au utendaji wake ktk Jamii yetu...Nashauri tuangalie vigezo vingine vya Kupima Utendaji wa Mbunge...

8. Ikiwa RA tushamweka wazi juu ya UFISADI why tena kuangalia mchango wake? Tunahitaji kumsamehe au kumsafisha???Tell me akija Spika au Mtendaji wa Bunge akaleta michango ya RA...JF tufanyaje??

Mzee heshima Yako. Nadhani Bunge sio kiwanja cha kupiga kulala, kukaa kimya au kupiga soga. Wabunge kulala, kutokuchangia au kutokuanzisha hoja doesn't make us wananchi kukubali kwamba kulala ni part ya Bunge.

1.Bunge limekuwa kama kichwa cha mwenda wazimu, na ndio linalotakiwa kulaaumiwa kwa kutokuweka Resume za watendaji wake. Our job as wananchi ni kuwatuma wawakilishi wetu kwenda kuanzisha miswadwa bungeni. Rostam Aziz anatoka kwenye jimbo lenye shida kushinda hata kwetu Kibindu Handeni. Hivyo kukaa kwakwe kimya is total stupid and insane.

2.Topic inamuhusu Rostam Aziz, so its irrelevant kucompare Rostam and Mbunge wa mkuranga. Kama RA hachangii hoja then ni haki yangu mimi na wewe kuhoji tabia hiyo, na sio kutengeneza mazingira ya kusema mbona wengine hawafanyi. Ni sawa na kuiba na kusema mbona wengine wanaiba. Huo ni mchezo wa darasa la tatu.

3.Jee Mkuu kama watu wanalala bungeni jee sisi wananchi inabidi tuikubali kama ndio culture, au tuikemee kwamba inatumalizia nchi. Jee kwa sababu wabunge wengine wanalala then inabidi tufungie macho wale wasio changia? au inabidi tuwakemeee wanaolala na wasio changia kwani hiyo ndio itakuwa chachu ya kubadili mfumo dume tulio nao?

4.Mkubwa jee unakubali kabisa muwakilishi wa jimbo lolote ambae kwa miaka 3 hana cha kuzungumzia kuhusu jimbo lake. Jee unaifahamamu sehemu anayowakilisha Rostam Aziz? Jimbo lake ni maarufu ukame, jee muheshimiwa amezungumzia strategy gani za kuweka miundo mbinu itakayo komesha swala la ukame? Jee mheshimiwa amezungumzia vipi swala la barabara ambalo ni kikwazo kikubwa cha wakazi wa Igunga kufanya biashara na wakazi wa Tanzania ya kati?

5. Watu wengi tunasikiliza vipindi vya kutoka bungeni, mimi individual sijapata nafasi ya kusikia lolote kutoka kwa Rostam. Vile vile mbunge wa Wawi Pemba ni tofauti na Rostam sababu ya popularity hivyo ni easy kwa Rostam kupata covarage kama atachangia hoja hata moja. Jee why hakuna covarage yoyote?

6.Kumbuka bunge sio sawa na shule ya msingi. Bunge lina kanuni za uendeshaji wake kisheria. Speaker hana jursidiction ya kumwambia mbunge wewe mbona huzungumzi. Sema wananchi tuna haki ya msingi ya kumwambie Rostam Aziz kwa nini huchangii bungeni, sababu mimi na wewe ndio tunalipa Mshahara wa Rostam, ndio tumempa access ya kuiba EPA, ndio tumempa jezi namba 9 ya kutuchuna kupitia Richmond. So, ndio maana kwa sasa tunamuuliza nini amefanya kwa miaka yote bungeni??

7. Kuwa representative wa wanchi ni lazima ujue kuongea. Hakuna mswadwa unaopita kwa kutumia makaratasi pasipo kuuzungumzia. Bunge mjadala unapitishwa kwa kujadiliwa sasa katika vipindi zaidi ya 400 vya bunge kama hujawai kujadili kitu then your cheating Tanzanians, i dont care who you're.

8. Sisi tunachotaka kujua jee ni kwanini CCM imewadhurumu wakazi wa Igunga kwa kuwawekea mbunge hewa. Ni wazi CCM wamempandikiza Rostam sababu fedha zake na sio sababu nyingine yoyote ile. Ni wadhi ya kwamba CCM wamedhulumu wananchi wa Igunga.

Waungwana tuangalie swala kwa undani, huyu Rostam Azizi ni sawa na jasusi muaji, au katili mkubwa ambae biblia na misahafu hajawai kuzungumzia. Ni aibu kuona ya kwamba mpaka leo hajakuwa mikononi mwa serikali au deported back in Iran ili akaenjoy conservative leadership ya Ayattolla Omeni. Huyu jamaa ni zaidi ya Okoma inabidi tumuogope kama njaa.
 
Inashangaza sana kuona Mbunge hajakamilisha kujaza forms ambazo zinapaswa kuwa public, na hii ni dalili kuwa anaweza akawa hajakamilisha kujaza forms za kutangaza mali na madeni yake. Au anaweza akawa amejaza lakini figures zisiwe sahihi.

Niliwahi kuuliza pale Maadili kuwa inakuwaje kuhusu mwenendo wa umma anayeenda kinyume na maadili? wakanijibu ni budi pawepo na malalamiko rasmi yapelekwe kwao kwani ndivyo sheri inavyowabana, hus Muungwana akaona hiyo haitoshi na anataka wawe na meno ila naongezea wapewe meno ya kumng'ata yeyote kisheria..... Pasiwepo na yeyote above the Law of the Land

Wenzio wanakwambia Ubunge na Uwaziri hausomewei mahali popote.

Hapo unategemea nini?

Leo wako wengi wanacheza Rough, kesho wakiwa wachache watataka sheria na taratibu walizo zipa kisogo zifuatwe.

Kiburi cha kuvunja taratibu kinasimama juu ya kujidanganya kwamba "Watatufanya nini Hawa wazembe, sisi ndo Sysytem yenyewe"
 
good point, sasa Rostam alisoma shule gani ya msingi na sekondari?
Rostam kasomea shule ya msingi Mwisi, kazaliwa kijiji kiitwacho Ulaya ambapo kapeleka umeme lakini ni shule ya secondary na nyumba kama mbili hivi wanatumia umeme, Rostam kalelewa na mama ambaye si wa kumzaa nafikiri bado yupo Igunga, Rostam hana nyumba Igunga wala kijijini alikozaliwa,
Mpaka leo nashangaa utajiri wa huyu bwana kaupatia wapi kwani kiasili zama hizo hana chembe ya utajiri,mpaka leo akienda Igunga nasikia anafikia kwa mjomba wake, huyu bwana akishirikiana na EL wakati wa ufunguzi wa barabara ya Nzega to Ishelui mpakani mwa Tabora na Singida waliahidi kuweka Lami barabara kadhaa za Igunga mjini lakini mpaka leo changa la macho
Natoa hoja,
 
Inaonekana kupata data za huyu jamaa inakuwa ngumu eeh!!!! kuna haja ya mwanajf aliyeko karibu na huko igunga kwenda kuverifai historia hii inayoweza kuwa muhimu sana siku si nyingi zijazo.

Pia kuna kitu kinanishangaza kidogo maana naona kuna memba wanamuona huyu jmaa ni hero fulani. Ujinga huo ndio uliotufikisha hapa tulipo.
 
BWANA MWANAKIJIJI SI BUSARA KUANZISHA THREAD NA KUOMBA WATU WACHANGIE HUKU UKIJA WEWE MWENYEWE NA JINA HILI LA MADELA KUJIJIBU.

SEMA KAMA UNA NIA YA KUMCHAFUA ROSTAM INGIA MOJA KWA MOJA HUO NI UTOTO. ROSTAM ANA ELIMU YA KUTOSHA HUWEZI KUMFANANISHA NA BOSI WAKO (MBOWE) ALIYEKIMBIA SHULE -HULL, ROSTAM KASOMA OXFORD WEKA REKODI ZAKO.

LAKINI LAZIMA UJUE KUWA KWELI ROSTAM ANA POCHI KAMA UNA SHIDA UTAPEWA NA WATU KAMA WEWE ULIYENUNULIWA NA MBOWE KWA KUFUNGULIWA WEBSITE TU NDIO UNAPATIKANA KIJINGA KABISA.

ROSTAM KAANZA UBUNGE MIAKA MINGI SIO 2005 NA HUKO IGUNGA USIFIKIRI CHADEMA INAWEZA KUPATA HATA DIWANI KWA MUDA ATAKAOKUWA ROSTAM KAMA MBUNGE.

SWALI UNGEWAULIZA WATU WA IGUNGA KABLA YA KUTULETEA SISI JF.

KAMA KWELI CHADEMA CHAMA MBONA HATUJASIKIA MKAENDA IGUNGA KUONGEA NA WANA IGUNGA AMBAO SIO MEMBERS HAPA JF ILI KUWAFAHAMISHA HABARI YA ROSTAM?

NADHANI KAMA KUNA KITU AMBACHO NINGEKUONA MWAMBA NI KWENDA IGUNGA AU KUMBWAMBIA BOSI WAKO APELEKE MKUTANO UONE KAMA WATU KUMI WATAKUJA KUKUSIKILIZA.

NA UNAJUA KUWA TABORA NDIKO KWENYE CHIMBUKO LA VYAMA VINGI 1962 MZEE KASANGA TUMBO NDIYE ALIYEACHA UBALOZI-LONDON NA KWENDA KUANZISHA UPINZANI. 1990s KUNA MAPALALA NA CHIFU FUNDIKIRA KAMA VINARA WA MAGEUZI NA KUNA PROFESSOR LIPUMBA KAMA CHACHU YA UPINZANI HADI BOSI WAKO MBOWE ALIKUWA AKIPELEKA KURA YAKE URAIS HUKO.

PAMOJA NA KUWA NA HISTORIA KUBWA YA UPINZANI HALISI(TABORA) LAKINNI IGUNGA-TABORA BWANA ROSTAM ANA PENDWA KULIKO WEWE AU KITILA ANAVYOMPENDA MBOWE, MAANA WEWE UNAPENDA MTU SI CHAMA.

Mkuu Heshima mbele,
Mimi nafikiri baada ya kumhatack MKJ au Madela wa madilu kama unavyosema ni bora ukaja na ishu yenye data ya kukanusha. Tunapenda zaidi kupata hoja za pande mbili ili kila mtu aweze kufanya decision. kwa upane wangu hii personal attack maana yake ni kwamba unafisha kitu cha msingi. Lete data watu waone ukweli uko wapi.
Hii mada na Mbowe wapi na wapi? Eleza jinsi RA alivyosoma weka evidance ili watu waone sio kuamisha maana ya Thread makusudi
 
Rostam kasomea shule ya msingi Mwisi,
Asante sana, nadhani tunaweza kuwasaidia watu wa Bunge kujaza kurasa zao.

Unaweza kutaja mwaka alioenda shule hiyo ya msingi?

kazaliwa kijiji kiitwacho Ulaya ambapo kapeleka umeme lakini ni shule ya secondary na nyumba kama mbili hivi wanatumia umeme,

Alizaliwa huko Ulaya kijijini mwaka gani?

Rostam kalelewa na mama ambaye si wa kumzaa nafikiri bado yupo Igunga,

Mama na Baba yake wako wapi, waliishi wapi, huko huko Igunga? Je ana ndugu wa kuzaliwa naye?

Rostam hana nyumba Igunga wala kijijini alikozaliwa,

Hata hiyo nyumba ya Mama wake wa kumlea haipo au hakaribishwi tena?

Mpaka leo nashangaa utajiri wa huyu bwana kaupatia wapi kwani kiasili zama hizo hana chembe ya utajiri,mpaka leo akienda Igunga nasikia anafikia kwa mjomba wake

Ni mjomba mjomba mjomba, au mjomba mjomba huyu? Maana hata mimi nilikuwa nikitoka kijijini nikifika pale Moshi nafikia kwa mjomba wangu.. well alikuwa rafiki wa familia tu tangu utoto... Sasa huyo ni mjomba ndugu wa mama yake wa kumzaa au mjomba ndugu wa mama wa kulelea?
 
Mkuu Heshima mbele,
Mimi nafikiri baada ya kumhatack MKJ au Madela wa madilu kama unavyosema ni bora ukaja na ishu yenye data ya kukanusha. Tunapenda zaidi kupata hoja za pande mbili ili kila mtu aweze kufanya decision. kwa upane wangu hii personal attack maana yake ni kwamba unafisha kitu cha msingi. Lete data watu waone ukweli uko wapi.
Hii mada na Mbowe wapi na wapi? Eleza jinsi RA alivyosoma weka evidance ili watu waone sio kuamisha maana ya Thread makusudi

hahahha.. angalia na wewe utakwenda kwenye kundi la Mwanakijiji kwani hadi hivi sasa utajua kuwa mwanakijiji ni:

-Madela wa Madilu
-Mwafrika wa Kike
-Koba
-Ben
-na siku chache zijazo na wewe utakuwa mwanakijiji.

Kwa hiyo ndugu yangu usihangaike, jina la "mwanakijiji" linamgusa mtu sana.
 
MBONA HUULIZI RIPOTI YA EPA KWANINI INACHELEWA? NI WACHAGA AKIONGOZA MAMA ANNA MKAPA MWENYEWE.KUNA MRAMBA NDANI.

MAMA MKAPA ANA KAMPUNI 13 AKIKAMATWA JEETUL-PATEL BASI NA MAMA MKAPA NDANI.KIGUGUMIZI KALETA MAMA MKAPA NA MKAPA HAISHI KULIA KWA JK(CHONDE CHONDE NIHIFADHI KIJANA WANGU) NDIO MAANA MKAPA ALIKUWA ANAMTAKA SUMAYE ILI AJIHIFADHI.

SASA KAMA NYINYI WAPIZANI MNA NIA YA KWELI FANYENI KAMA KWA CHILUBA.MWAKYEMBE KASEMA HOSEA HAFAI NA MAKATIBU MBONA HAMJAANDAMANA KUSHIKIZA WAONDOKE? CHADEMA MNAGANGA NJAA TUU.

Kwa njia hii kila mtu atakusikiliza na kuheshimu mawazo yako na hii ndo njia pekee ya kujadiliana.
 
huyu mh. hata kukemea mauaji ya vikongwe hata kama sio jimboni kwake yanatokea kwa ukanda mzima anapotoka(ukanda wa kati) hawezi kusimama na kuongelea jambo hilo!!!!wat a waste kwa jamii mtu kama huyu...
 
Una maana hajawahi kuzungumzia mauaji ya vikongwe au mambo kama hayo jimboni kwake au hata Bungeni?
 
Sakata la Richmond: Rostam mambo magumu

2008-03-17 19:09:42
Emmanuel Lengwa said:

Mbunge wa jimbo Igunga, kupitia CCM, Mheshimiwa Rostam Aziz leo amejikuta katika wakati mgumu baada ya taarifa kwamba yeye si raia wa Tanzania kupamba vyombo vya habari mbalimbali.

Alasiri ilipojaribu kupata maoni yake kuhusiana na madai hayo mazito, Bw. Rostam alishtuka kidogo kisha akahoji, ``Wanasema mimi siyo raia...asante sana...asante sana``. Baada ya kauli hiyo, Bw. Rostam hakutaka kusema tena lolote licha ya kuulizwa mara kadhaa msimamo wake ni upi juu ya madai hayo.

Awali, Alasiri iliwasiliana na Idara ya Uhamiaji kupata ufafanuzi juu ya madai hayo ambapo afisa mmoja wa ofisi ya Uhusiano alisema wanahitaji kufanya uchunguzi wa kina kabla ya kutoa majibu ya uhalali wa uraia wa Bw. Rostam. ``Naomba unielewe, suala la uraia ni sawa na uhai wa mtu. Hapa mezani kwangu sina nyaraka za kila raia, hivyo inanibidi nipekue mafaili na kuchunguza kwa makini kabla ya kutoa majibu sahihi,`` akasema afisa huyo aliyejitambulisha kwa jina moja la Batenga.

Sakata hilo la uraia limeibuka baada ya mbunge huyo kuhusishwa katika sakata la mkataba tata baina ya Serikali na kampuni ya kuzalisha umeme ya Richmond. Aliyeibua madai hayo ya sasa ni Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party, DP, Mchungaji Christopher Mtikila. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Jijini jana, Mchungaji Mtikila alidai Bw. Rostam ni raia wa Iran aliyeingia nchini kama mfanyabiashara wa ngozi.

Akizidi kumshushia madongo mweka hazina huyo wa zamani wa CCM, Mchungaji Mtikila alidai kuwa baada ya kuingia nchini, Rostam hakuwahi kuukana uraia wake na wala hakuwahi kuomba uraia wa Tanzania. Akasema badala yake, Rostam akajiingiza kwenye siasa moja kwa moja, akisaidiwa na baadhi ya viongozi. Akizungumza kwa kujiamini, Mchungaji Mtikila akasema sasa, dola lazima imkamate mara moja na kwamba yeye anao ushahidi wa kutosha katika kuthibitisha madai yake.

``Licha ya kuwa Bw. Rostam ni rafiki yangu, siwezi kumtetea yeye kuliko nchi yangu� ushahidi wa kuwa yeye sio Mtanzania ninao, maana najua mpaka hospitali aliyozaliwa na mpaka sasa, wazazi wake wako Iran,`` akasema Bw. Mtikila.

Mambo ndiyo yanayosemwa hayo. Mwafrika wa kike upo? Je uraia wa mwanahabari wa Ikulu Salva rweyemamu nao ni tata, Je JK amezungukwa na wa kuja? Au anawakumbatia zaidi wageni?
 
Hapa naona manahangaika tu...

Tatizo ni lipo kwenye mfumo mzima wa BUNGE letu... Nguvu ni imewekwa kwa wananchi kuamua kuwa Mbunge walio mteua anawafaa au la - na kwa Mheshimiwa Rostam ni watu wa Igunga wenye uamuzi huo! Ambao wao pia ni sehemu ya taifa.

Wemeshamteua huyo jamaa mara mbili sasa (kama sikosei) na wao ndio wenye nguvu kikatiba yakusema anafaa.

Kama tunahisi huyu mtu ametumia pesa kuwanunua wapigakura -- katika macho ya waTanzania na sheria zetu itabaki amepita kihalali kabisa na ni Mbunge bora kama wataendelea kumchagua na mjenga taifa.

Kama hatukubaliani na hayo basi tutizame mfumo mzima wa BUNGE na UBUNGE
 
BWANA MWANAKIJIJI SI BUSARA KUANZISHA THREAD NA KUOMBA WATU WACHANGIE HUKU UKIJA WEWE MWENYEWE NA JINA HILI LA MADELA KUJIJIBU.

SEMA KAMA UNA NIA YA KUMCHAFUA ROSTAM INGIA MOJA KWA MOJA HUO NI UTOTO. ROSTAM ANA ELIMU YA KUTOSHA HUWEZI KUMFANANISHA NA BOSI WAKO (MBOWE) ALIYEKIMBIA SHULE -HULL, ROSTAM KASOMA OXFORD WEKA REKODI ZAKO.

LAKINI LAZIMA UJUE KUWA KWELI ROSTAM ANA POCHI KAMA UNA SHIDA UTAPEWA NA WATU KAMA WEWE ULIYENUNULIWA NA MBOWE KWA KUFUNGULIWA WEBSITE TU NDIO UNAPATIKANA KIJINGA KABISA.

ROSTAM KAANZA UBUNGE MIAKA MINGI SIO 2005 NA HUKO IGUNGA USIFIKIRI CHADEMA INAWEZA KUPATA HATA DIWANI KWA MUDA ATAKAOKUWA ROSTAM KAMA MBUNGE.

SWALI UNGEWAULIZA WATU WA IGUNGA KABLA YA KUTULETEA SISI JF.

KAMA KWELI CHADEMA CHAMA MBONA HATUJASIKIA MKAENDA IGUNGA KUONGEA NA WANA IGUNGA AMBAO SIO MEMBERS HAPA JF ILI KUWAFAHAMISHA HABARI YA ROSTAM?

NADHANI KAMA KUNA KITU AMBACHO NINGEKUONA MWAMBA NI KWENDA IGUNGA AU KUMBWAMBIA BOSI WAKO APELEKE MKUTANO UONE KAMA WATU KUMI WATAKUJA KUKUSIKILIZA.

NA UNAJUA KUWA TABORA NDIKO KWENYE CHIMBUKO LA VYAMA VINGI 1962 MZEE KASANGA TUMBO NDIYE ALIYEACHA UBALOZI-LONDON NA KWENDA KUANZISHA UPINZANI. 1990s KUNA MAPALALA NA CHIFU FUNDIKIRA KAMA VINARA WA MAGEUZI NA KUNA PROFESSOR LIPUMBA KAMA CHACHU YA UPINZANI HADI BOSI WAKO MBOWE ALIKUWA AKIPELEKA KURA YAKE URAIS HUKO.

PAMOJA NA KUWA NA HISTORIA KUBWA YA UPINZANI HALISI(TABORA) LAKINNI IGUNGA-TABORA BWANA ROSTAM ANA PENDWA KULIKO WEWE AU KITILA ANAVYOMPENDA MBOWE, MAANA WEWE UNAPENDA MTU SI CHAMA.

Absolutely rubbish!!!!!!!!!!!!!go n kiss your mother's ac....
 
Katuni ile imenikumbusha mbali sana na haswa nilipokuwa mtotot ilikuwa nikikosea najaribu kufunikaq uso kwa mikono nikiamini kuwa sionekani.

Haswa ilipotokea kuwa kanzu yangu imechafuka mara baada ya kutoka msikitini na kujaribu kuwaficha wazazi nilikuwa na tabia ya kupita mbele yao nikiwa nimefunika uso badala ya sehemu chafu.......

Leo RA ananikumbusha kihoja hicho kuwa yeye na Dowans ni mbalimbali ila wanatumia tuu personal ama e mail ya kampuni lake la Caspian huu ni utetezi wa kijinga sana sana kwa mtui ambaye anaweza kuwatengenezea watanzania kiongozi kwa kuongoza mtandao na kumbe akili zake ni kama hizi.......

Kuhusu mambo mengine nafikiri tayari yamejibiwa kwa kina ila hili la Mtakatifu Mtikila kusema anao ushahidi wa mahali rafiki yake wa karibu amezaliwa linahitaji kufanyiwa uchunguzi na kama ni kweli huwa akienda Nairobi airport huwa anatumia pass ya Iran kuna haja ya kumfuatilia kwa kina na kumtosa tuu kumbe ndio maaana hana uchungu na umasikini wa watanzania kumbe hapa sio mahali pake..

Majina huwa yana maana sana Balali na Balile ni kama yanafanana vile huenda huyu mwingine ni FISADI wa habari na mwingine wa pesa.
 
Back
Top Bottom