Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Kwa mujibu wa Mtikila, Mkapa naye si raia.
good point, sasa Rostam alisoma shule gani ya msingi na sekondari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa Mtikila, Mkapa naye si raia.
BWANA MWANAKIJIJI SI BUSARA KUANZISHA THREAD NA KUOMBA WATU WACHANGIE HUKU UKIJA WEWE MWENYEWE NA JINA HILI LA MADELA KUJIJIBU.
SEMA KAMA UNA NIA YA KUMCHAFUA ROSTAM INGIA MOJA KWA MOJA HUO NI UTOTO. ROSTAM ANA ELIMU YA KUTOSHA HUWEZI KUMFANANISHA NA BOSI WAKO (MBOWE) ALIYEKIMBIA SHULE -HULL, ROSTAM KASOMA OXFORD WEKA REKODI ZAKO.
LAKINI LAZIMA UJUE KUWA KWELI ROSTAM ANA POCHI KAMA UNA SHIDA UTAPEWA NA WATU KAMA WEWE ULIYENUNULIWA NA MBOWE KWA KUFUNGULIWA WEBSITE TU NDIO UNAPATIKANA KIJINGA KABISA.
ROSTAM KAANZA UBUNGE MIAKA MINGI SIO 2005 NA HUKO IGUNGA USIFIKIRI CHADEMA INAWEZA KUPATA HATA DIWANI KWA MUDA ATAKAOKUWA ROSTAM KAMA MBUNGE.
SWALI UNGEWAULIZA WATU WA IGUNGA KABLA YA KUTULETEA SISI JF.
KAMA KWELI CHADEMA CHAMA MBONA HATUJASIKIA MKAENDA IGUNGA KUONGEA NA WANA IGUNGA AMBAO SIO MEMBERS HAPA JF ILI KUWAFAHAMISHA HABARI YA ROSTAM?
NADHANI KAMA KUNA KITU AMBACHO NINGEKUONA MWAMBA NI KWENDA IGUNGA AU KUMBWAMBIA BOSI WAKO APELEKE MKUTANO UONE KAMA WATU KUMI WATAKUJA KUKUSIKILIZA.
NA UNAJUA KUWA TABORA NDIKO KWENYE CHIMBUKO LA VYAMA VINGI 1962 MZEE KASANGA TUMBO NDIYE ALIYEACHA UBALOZI-LONDON NA KWENDA KUANZISHA UPINZANI. 1990s KUNA MAPALALA NA CHIFU FUNDIKIRA KAMA VINARA WA MAGEUZI NA KUNA PROFESSOR LIPUMBA KAMA CHACHU YA UPINZANI HADI BOSI WAKO MBOWE ALIKUWA AKIPELEKA KURA YAKE URAIS HUKO.
PAMOJA NA KUWA NA HISTORIA KUBWA YA UPINZANI HALISI(TABORA) LAKINNI IGUNGA-TABORA BWANA ROSTAM ANA PENDWA KULIKO WEWE AU KITILA ANAVYOMPENDA MBOWE, MAANA WEWE UNAPENDA MTU SI CHAMA.
Wakati huo huo, Mchungaji Mtikila ametaka Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, akamatwe mara moja kwa kuwa anaishi nchini na kufanya kazi kinyume na sheria.
(Tanzania Daima)
Mchungaji Mtikila alisema hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, jijini, na kusena kuwa Rostam ni kama hana uraia na Tanzania.
Alisema Rostam ni raia wa Iran na aliinngia nchini miaka ya hivi karibuni akiwa mfanyabiashara wa ngozi baadaye kuingizwa kwenye siasa na viongozi wa serikali.
Alidai ana ushahidi wa kutosha hadi hospitali aliyozaliwa mbunge huyo na kwamba hadi sasa wazazi wake wanaishi nchini Iran.
Rostam ni rafiki yangu mkuu, lakini siwezi kumtetea kuliko nchi yangu. Hata maandiko matakatifu yanaonya kuwa msimtawaze mgeni kuwa kiongozi wenu ila atoke kati yenu. Ushahidi upo kuwa bado ni raia wa Iran na hajawahi kuomba uraia mwingine popote, alisema Mtikila.
Ameapa kwamba kama Rostam hatakamatwa atashirikiana na wananchi kumkamata na kumfikisha mahakamani pamoja na wale waliomfanyia mpango akapata nafasi ya kuwa mbunge.
Mtikila alisema kuwa katiba ya Tanzania inatamka kuwa mgeni yeyote ambaye wazazi wake si raia wa Tanzania, hata kama amezaliwa nchini, akitaka kuwa raia sharti kwanza akane uraia wa wazazi wake, kisha aombe uraia wa Tanzania kwa kutangaza kwenye magazeti yanayosomwa na watu wengi, ili kama wananchi wana pingamizi waweke.
Alisema Rostam alipoingia nchini akiwa mfanyabiashara wa ngozi, akakutana na baadhi ya viongozi walioingia nao urafiki kwa ahadi kuwa atawasaidia kwenye uchaguzi mkuu, kisha akanunua kiwanda kimoja cha ngozi mkoani Morogoro kwa msaada wa nchi ya Iran.
Mtikila alisema wakati Rostam akiwa nchini, aliyekuwa mbunge wa Igunga wakati huo, Charles Kabeho, alifariki ndipo viongozi waliokuwa wakimbeba wakampatia jimbo hilo, ambalo amedai kuwa anaamini lipo wazi hadi uchaguzi utakapoitishwa na kumpata mbunge mzawa.
Iwapo hatakamatwa kwa kudanganya uraia, wananchi tutamkamata, kwani ushahidi upo hata hospitali aliyozaliwa jina tunalo, alisisitiza.
Aidha, Mchungaji Mtikila alisema wana-CCM wanakwenda kufanya mkutano Butiama ili kuungama madhambi waliyotenda kutokana na kutofuata maagizo ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Alihoji uhalali wa mkuatano wa CCM unataotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu kufanyikia Butiama, wakati walimdhihaki Mwalimu Nyerere kwa kuuza nchi.
Aliwashauri viongozi wa chama hicho wanaotarajiwa kwenda katika mkutano huo utakaofanyika mwishoni mwa mwezi huu, kujiuzulu nyadhifa zao na kutubu makosa kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere.
Wanapelekana alikozikwa Mwalimu Nyerere waliyemuumiza moyo akafa kabla ya siku zake, kwa kupora nchi na kuiuza...ni vema kama wote wanakwenda kuungama na kujiuzulu, lakini kama wanakwenda kuusanifu mzimu wa Mwalimu Nyerere, utawamaliza.
My Take:
Je hili laweza kuelezea kwanini Bunge wanashindwa kusema Rostam alisoma shule gani ya msingi na sekondari, au hata chuo kikuu? Maana hawawezi kusema alisoma shule ya Msingi ya Igunga mwaka fulani wakati waliosoma wapo watamuumbua? Rostam alizaliwa wapi, na wazazi wake wako wapi?
Binafsi napinga mafisadi wa kila namna si wa kuchagua kama baadhi yetu....kuanzia UZINIFU wa KUKUBALIANA hadi BOT,EPA, BUZWAGI,TRA na MENGINEYO
Ni kweli RA anatuhumiwa kwa mengi, lkn mtoa mada na wachangiaji washaanza kubwabwaja bila facts alizouliza Muanzisha Mada. Sifikiri hili ndilo tunalohitaji hapa JF, unless the everything zitajaa FIKRA moja.
MKJJ its good idea kuja na hio analysis zako, lkn umekuwa so specific juu ya RA tu!!! sikatai upo huru, lkn ningependa kuweka ktk broad mind ya analysis zako.
1.Kwanza website ya Bunge ina mapungufu mengi sana hasa kuhusu updates za yanayoendelea Bungeni on day to day basis...mtakumbuka CV ya Wassir hadi sasa haioneshi kuwa kasomea Masters...somebody from JF kaleta data nyingi kuwa Wassira ana elimu so n so...lkn website ya Bunge bado haijawa updated!!!
2. Je wabunge wengine out of RA nao wamechangia nini?....nafikiri kwa nature ya bunge letu lilivyo wengi hukaa kimya huko Bungeni...
3. Vipi wale wanaolala na kupigwa picha LIVE...nao wanachangia nini au wametumwa kulala Bungeni?
4.Huko Nyuma tuliwahi kujiuliza hivi Bungeni wabunge wa Upinzani ni Zitto na Slaa wengine wapo wapi?...niliwahi kusikiliza Vipindi vya CUF vya kampeni thru redio wakasema yapo mengi tu ambayo wabunge wa upinzani wanachangia lkn si wenye kujulishwa Wananchi...in this case kuna uwezekano wa Maoni mengi ya baadhi ya wabunge kutoandikwa!!!
5. Hivi Mbunge kama huna cha kuzungumza yapasa uwe unapayuka tu?ili mradi uwe unajiongeza credits(kupata umaarufu)?
6. Ikiwa Spika ndie kinara wa Bunge assume yeye ni Mwalim Darasani na mwanafunzi maarufu darasani haulizi maswali wala hashiriki group works, Je nani anahitajika kumweka sawa mwanafunzi? kwa Mtaji huu ni vema pia spika akaeleza Ummah kwanini Mbunge so n so hashiriki ipasavyo Bungeni? au yeye spika kazi yake kuombwa Ruhusa na wabunge wanazamia msituni.??..kama vile wanafunzi wa shule ya Msingi wanavyoingia mitini...
7. Ni vema kujua kila mtu talents zake...na ndio maana Vyama vyetu vingi tu vimewaweka watu makada, Kampeni managers + vyombo vya sanaa kupoteza muda kwa wananchi...wale wabunge wenyewe wanakuja kuongea dk 5. In this case kuwapata wabunge ambao si wazungumzaji Bungeni ni wengi.na Wabunge wanaofanya Kampeni zao wenyewe wachache sana...its possible ikawa RA ni miongoni mwao....lkn Hii isiwe kigezo au Kipimo cha kupima mchango au utendaji wake ktk Jamii yetu...Nashauri tuangalie vigezo vingine vya Kupima Utendaji wa Mbunge...
8. Ikiwa RA tushamweka wazi juu ya UFISADI why tena kuangalia mchango wake? Tunahitaji kumsamehe au kumsafisha???Tell me akija Spika au Mtendaji wa Bunge akaleta michango ya RA...JF tufanyaje??
Inashangaza sana kuona Mbunge hajakamilisha kujaza forms ambazo zinapaswa kuwa public, na hii ni dalili kuwa anaweza akawa hajakamilisha kujaza forms za kutangaza mali na madeni yake. Au anaweza akawa amejaza lakini figures zisiwe sahihi.
Niliwahi kuuliza pale Maadili kuwa inakuwaje kuhusu mwenendo wa umma anayeenda kinyume na maadili? wakanijibu ni budi pawepo na malalamiko rasmi yapelekwe kwao kwani ndivyo sheri inavyowabana, hus Muungwana akaona hiyo haitoshi na anataka wawe na meno ila naongezea wapewe meno ya kumng'ata yeyote kisheria..... Pasiwepo na yeyote above the Law of the Land
Na Chama cha wachaga siku kikipata mfadhili kama Rostam unafikiri hawatmkumbatia!na wachaga wanavyo penda pesa!!
Rostam kasomea shule ya msingi Mwisi, kazaliwa kijiji kiitwacho Ulaya ambapo kapeleka umeme lakini ni shule ya secondary na nyumba kama mbili hivi wanatumia umeme, Rostam kalelewa na mama ambaye si wa kumzaa nafikiri bado yupo Igunga, Rostam hana nyumba Igunga wala kijijini alikozaliwa,good point, sasa Rostam alisoma shule gani ya msingi na sekondari?
BWANA MWANAKIJIJI SI BUSARA KUANZISHA THREAD NA KUOMBA WATU WACHANGIE HUKU UKIJA WEWE MWENYEWE NA JINA HILI LA MADELA KUJIJIBU.
SEMA KAMA UNA NIA YA KUMCHAFUA ROSTAM INGIA MOJA KWA MOJA HUO NI UTOTO. ROSTAM ANA ELIMU YA KUTOSHA HUWEZI KUMFANANISHA NA BOSI WAKO (MBOWE) ALIYEKIMBIA SHULE -HULL, ROSTAM KASOMA OXFORD WEKA REKODI ZAKO.
LAKINI LAZIMA UJUE KUWA KWELI ROSTAM ANA POCHI KAMA UNA SHIDA UTAPEWA NA WATU KAMA WEWE ULIYENUNULIWA NA MBOWE KWA KUFUNGULIWA WEBSITE TU NDIO UNAPATIKANA KIJINGA KABISA.
ROSTAM KAANZA UBUNGE MIAKA MINGI SIO 2005 NA HUKO IGUNGA USIFIKIRI CHADEMA INAWEZA KUPATA HATA DIWANI KWA MUDA ATAKAOKUWA ROSTAM KAMA MBUNGE.
SWALI UNGEWAULIZA WATU WA IGUNGA KABLA YA KUTULETEA SISI JF.
KAMA KWELI CHADEMA CHAMA MBONA HATUJASIKIA MKAENDA IGUNGA KUONGEA NA WANA IGUNGA AMBAO SIO MEMBERS HAPA JF ILI KUWAFAHAMISHA HABARI YA ROSTAM?
NADHANI KAMA KUNA KITU AMBACHO NINGEKUONA MWAMBA NI KWENDA IGUNGA AU KUMBWAMBIA BOSI WAKO APELEKE MKUTANO UONE KAMA WATU KUMI WATAKUJA KUKUSIKILIZA.
NA UNAJUA KUWA TABORA NDIKO KWENYE CHIMBUKO LA VYAMA VINGI 1962 MZEE KASANGA TUMBO NDIYE ALIYEACHA UBALOZI-LONDON NA KWENDA KUANZISHA UPINZANI. 1990s KUNA MAPALALA NA CHIFU FUNDIKIRA KAMA VINARA WA MAGEUZI NA KUNA PROFESSOR LIPUMBA KAMA CHACHU YA UPINZANI HADI BOSI WAKO MBOWE ALIKUWA AKIPELEKA KURA YAKE URAIS HUKO.
PAMOJA NA KUWA NA HISTORIA KUBWA YA UPINZANI HALISI(TABORA) LAKINNI IGUNGA-TABORA BWANA ROSTAM ANA PENDWA KULIKO WEWE AU KITILA ANAVYOMPENDA MBOWE, MAANA WEWE UNAPENDA MTU SI CHAMA.
Asante sana, nadhani tunaweza kuwasaidia watu wa Bunge kujaza kurasa zao.Rostam kasomea shule ya msingi Mwisi,
kazaliwa kijiji kiitwacho Ulaya ambapo kapeleka umeme lakini ni shule ya secondary na nyumba kama mbili hivi wanatumia umeme,
Rostam kalelewa na mama ambaye si wa kumzaa nafikiri bado yupo Igunga,
Rostam hana nyumba Igunga wala kijijini alikozaliwa,
Mpaka leo nashangaa utajiri wa huyu bwana kaupatia wapi kwani kiasili zama hizo hana chembe ya utajiri,mpaka leo akienda Igunga nasikia anafikia kwa mjomba wake
Mkuu Heshima mbele,
Mimi nafikiri baada ya kumhatack MKJ au Madela wa madilu kama unavyosema ni bora ukaja na ishu yenye data ya kukanusha. Tunapenda zaidi kupata hoja za pande mbili ili kila mtu aweze kufanya decision. kwa upane wangu hii personal attack maana yake ni kwamba unafisha kitu cha msingi. Lete data watu waone ukweli uko wapi.
Hii mada na Mbowe wapi na wapi? Eleza jinsi RA alivyosoma weka evidance ili watu waone sio kuamisha maana ya Thread makusudi
MBONA HUULIZI RIPOTI YA EPA KWANINI INACHELEWA? NI WACHAGA AKIONGOZA MAMA ANNA MKAPA MWENYEWE.KUNA MRAMBA NDANI.
MAMA MKAPA ANA KAMPUNI 13 AKIKAMATWA JEETUL-PATEL BASI NA MAMA MKAPA NDANI.KIGUGUMIZI KALETA MAMA MKAPA NA MKAPA HAISHI KULIA KWA JK(CHONDE CHONDE NIHIFADHI KIJANA WANGU) NDIO MAANA MKAPA ALIKUWA ANAMTAKA SUMAYE ILI AJIHIFADHI.
SASA KAMA NYINYI WAPIZANI MNA NIA YA KWELI FANYENI KAMA KWA CHILUBA.MWAKYEMBE KASEMA HOSEA HAFAI NA MAKATIBU MBONA HAMJAANDAMANA KUSHIKIZA WAONDOKE? CHADEMA MNAGANGA NJAA TUU.
huyu mh. hata kukemea mauaji ya vikongwe hata kama sio jimboni kwake yanatokea kwa ukanda mzima anapotoka(ukanda wa kati) hawezi kusimama na kuongelea jambo hilo!!!!wat a waste kwa jamii mtu kama huyu...
Emmanuel Lengwa said:
Mbunge wa jimbo Igunga, kupitia CCM, Mheshimiwa Rostam Aziz leo amejikuta katika wakati mgumu baada ya taarifa kwamba yeye si raia wa Tanzania kupamba vyombo vya habari mbalimbali.
Alasiri ilipojaribu kupata maoni yake kuhusiana na madai hayo mazito, Bw. Rostam alishtuka kidogo kisha akahoji, ``Wanasema mimi siyo raia...asante sana...asante sana``. Baada ya kauli hiyo, Bw. Rostam hakutaka kusema tena lolote licha ya kuulizwa mara kadhaa msimamo wake ni upi juu ya madai hayo.
Awali, Alasiri iliwasiliana na Idara ya Uhamiaji kupata ufafanuzi juu ya madai hayo ambapo afisa mmoja wa ofisi ya Uhusiano alisema wanahitaji kufanya uchunguzi wa kina kabla ya kutoa majibu ya uhalali wa uraia wa Bw. Rostam. ``Naomba unielewe, suala la uraia ni sawa na uhai wa mtu. Hapa mezani kwangu sina nyaraka za kila raia, hivyo inanibidi nipekue mafaili na kuchunguza kwa makini kabla ya kutoa majibu sahihi,`` akasema afisa huyo aliyejitambulisha kwa jina moja la Batenga.
Sakata hilo la uraia limeibuka baada ya mbunge huyo kuhusishwa katika sakata la mkataba tata baina ya Serikali na kampuni ya kuzalisha umeme ya Richmond. Aliyeibua madai hayo ya sasa ni Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party, DP, Mchungaji Christopher Mtikila. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Jijini jana, Mchungaji Mtikila alidai Bw. Rostam ni raia wa Iran aliyeingia nchini kama mfanyabiashara wa ngozi.
Akizidi kumshushia madongo mweka hazina huyo wa zamani wa CCM, Mchungaji Mtikila alidai kuwa baada ya kuingia nchini, Rostam hakuwahi kuukana uraia wake na wala hakuwahi kuomba uraia wa Tanzania. Akasema badala yake, Rostam akajiingiza kwenye siasa moja kwa moja, akisaidiwa na baadhi ya viongozi. Akizungumza kwa kujiamini, Mchungaji Mtikila akasema sasa, dola lazima imkamate mara moja na kwamba yeye anao ushahidi wa kutosha katika kuthibitisha madai yake.
``Licha ya kuwa Bw. Rostam ni rafiki yangu, siwezi kumtetea yeye kuliko nchi yangu� ushahidi wa kuwa yeye sio Mtanzania ninao, maana najua mpaka hospitali aliyozaliwa na mpaka sasa, wazazi wake wako Iran,`` akasema Bw. Mtikila.