Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam ndiyo amechemsha!

Madai yake kuwa mbona alikuwa akitoa pesa na hazikurudishwa hayana msingi kwani hakuna aliyekuwa akijuwa kuhusu RICHMOND,DOWANS NA EPA wakati akitowa pesa hizo na sasa watu wana ushaidi kuhusiana na ufisadi wake wazi wazi na hakuna atakayekubali tena pesa zake!

Waulize wale waliokubali pesa zake kwa mgongo wa EPA watakwambia joto!

Kama Rostama mwenyewe aliweza kuwa Rafiki wa Kikwete na bado ni rafiki wa Kikwete...Je atashindwa kuwa rafiki wa nani kama akitaka?

Hivyo basi Mtikila kukopa Milioni tatu si UFISADI HATA KIDOGO!

Na kwahiyo basi...Kama alitegemea milioni tatu zake zitamfanya Mtikila afunge mdomo basi amekosea.

Kwani alikataa kufanya hivyo kwa milioni mia nne za Manji.

Kwani kama RA amweka JK mfukoni basi si kila mtu.

Kumbe kwa style aliyomtega JK ndiyo style hiyo hiyo anayotaka kuitumia sema tofauti alimpa JK more na kumtega kimafia zaidi ya mkopo wa milioni tatu alioenda kubadilisha hata saini za Mtikila.

Hivi nyie watu mkisikiliza mahojiano mnasikiliza vipi?

Mkuu Mushi penye ukweli uongo ujitenga, kama mambo inabidi yawekwe wazi basi yawe wazi, wakati tunazungumzia UFISADI, wako wale ambao wanaonekana katika vita ya kifisadi wako mbele lakini kumbe tunadanganyana.Vyama vingi vya upinzani ni kupoteza muda na kudai ruzuku. Mtikila anasema Saini imefojiwa alikuwa na nani wakati anachukua hela? HIVI mimi siamini KWA MACHO YANGU NINAVYOMFAHAMU MTIKILA KWENDA KUOMBA HELA ZA MKOPO KWA ROSTAM; HUKU AKISEMA SIO RAIA!,MARA FISADI ! HAKUNA LUGHA YA KUNIELEWESHA HAPO?? HUU MCHEZO WA SIASA USIKUTE LAO MOJA...............

NASEMA ANGEKUJA HATA KWANGU NIMPE HIZO HELA.........., KAMA TUMEAMUA MAFISADI TUWATENGE TUWAFANYIE HIVYO HATA TUSIWAPE MIKONO..MTIKILA ANAJICHANGANYA , HOWEVER GOOD HE CAN SAY.
 
Kumbuka kuwa Rostam amefanya biashara toka mwaka 1852 na toka wakati huo...Ni juzi tu imegundulika kuhusu kashfa hizi zote za EPA,RICHMOND,NK...

Kama Mtikila alichukuwa hizo pesa kabla ya kashfa zote hizo na pia baada ya mwaka 1852 na kabla ya mwaka 2005/06...Basi Mtikila hana makosa.

Ila kama alipokea pesa hizo mara baada ya kashfa hizi na pia mara baada ya mwaka 1852 especially mwaka 2007/08..Then ana la kujibu.

Pia kumbuka mashetani ni watu na mafisadi pia...Wako miongoni mwetu kama vile wachawi nk.
Lakini wakishagundulika haifai kushirikiana nao tena.
 
Rostam ndiyo amechemsha!

Madai yake kuwa mbona alikuwa akitoa pesa na hazikurudishwa hayana msingi kwani hakuna aliyekuwa akijuwa kuhusu RICHMOND,DOWANS NA EPA wakati akitowa pesa hizo na sasa watu wana ushaidi kuhusiana na ufisadi wake wazi wazi na hakuna atakayekubali tena pesa zake!

Waulize wale waliokubali pesa zake kwa mgongo wa EPA watakwambia joto!

Kama Rostama mwenyewe aliweza kuwa Rafiki wa Kikwete na bado ni rafiki wa Kikwete...Je atashindwa kuwa rafiki wa nani kama akitaka?

Hivyo basi Mtikila kukopa Milioni tatu si UFISADI HATA KIDOGO!

Na kwahiyo basi...Kama alitegemea milioni tatu zake zitamfanya Mtikila afunge mdomo basi amekosea.

Kwani alikataa kufanya hivyo kwa milioni mia nne za Manji.

Kwani kama RA amweka JK mfukoni basi si kila mtu.

Kumbe kwa style aliyomtega JK ndiyo style hiyo hiyo anayotaka kuitumia sema tofauti alimpa JK more na kumtega kimafia zaidi ya mkopo wa milioni tatu alioenda kubadilisha hata saini za Mtikila.

Hivi nyie watu mkisikiliza mahojiano mnasikiliza vipi?

MTIKILA KUKOPA SHILINGI MILIONI 3 AMBAZO MNASEMA ZA KIFISADI TOKA KWA FISADI ANAUNGA MKONO UFISADI, HIZO HELA ZA WATOA KODI!!!!!!!!.KAMA ZILIKUWA SAFI BASI ROSTAM SIYO FISADI.

penye ukweli uongo ujitenga, kama mambo inabidi yawekwe wazi basi yawe wazi, wakati tunazungumzia UFISADI, wako wale ambao wanaonekana katika vita ya kifisadi wako mbele lakini kumbe tunadanganyana.Vyama vingi vya upinzani ni kupoteza muda na kudai ruzuku. Mtikila anasema Saini imefojiwa alikuwa na nani wakati anachukua hela? HIVI mimi siamini KWA MACHO YANGU NINAVYOMFAHAMU MTIKILA KWENDA KUOMBA HELA ZA MKOPO KWA ROSTAM; HUKU AKISEMA SIO RAIA!,MARA FISADI ! HAKUNA LUGHA YA KUNIELEWESHA HAPO?? HUU MCHEZO WA SIASA USIKUTE LAO MOJA...............

NASEMA ANGEKUJA HATA KWANGU NIMPE HIZO HELA..........,KWELI KATIKA WATANZANIA MILIONI 40 AENDE KWA ROSTAM? KAMA TUMEAMUA MAFISADI TUWATENGE TUWAFANYIE HIVYO HATA TUSIWAPE MIKONO..MTIKILA ANAJICHANGANYA , HOWEVER GOOD HE CAN SAY.

MUSHI MAMLAKA ZETU KAMA ZINAVITHIBITISHO ZIENDE KUMSHTAKI TUSIUANE HUMU.KAMA LA SYSYTEM YOTE IMEOZA, KAMA NDIVYO HATUNA TUTAKACHOFANYA ZAIDI YA KUONGEA HUKU WAKITANUA NA FEDHA ZETU.

TCHAO
 
Lakini kama ni kukopa, hivi kweli tunakopa kwa wale wasafi tu? Nyerere na kuzilaani World bank na IMF bado alikuwa anaenda kukopa huko.

Pili nakubaliana na argument ya Mtikila kwamba yeye alikopa kwa shida yake, hakukuwa na masharti yoyote ya yeye kumsafisha Rostam. Pia wakati huo Rostam hakuwa kwenye matatizo makubwa ya ufisadi kama ilivyo sasa.

Kikubwa kukopa kwake hakukuwa na masharti ya kumsafisha RA ufisadi.

Kwa mazingira ya TZ, na ugumu wa kupata pesa, hata mtu safi anaweza kujikuta kwenye
hali hii ya Mtikila. Tofauti tu ni pale mtu mwema anapofanya kila jambo kiwazi wakati mwingine angechukua kama rushwa.

Tehee, tehee! Mtanzania unamaanisha na unathibitisha kuwa watu wengi ni mafisadi.Simlaumu Mtikila, kukopa kwa fisadi.Lakini namlaumu zaidi pale ambapo kwa heshima yake ana sehemu nyingi sana za kwenda.SWALA JE ROSTAM ANGEKUWA JELA MTIKILA ANGEMPATA WAPI?? KUMBE MAFISADI WAKO WENGI TU NA KILA KONA YA NCHI HII.KINACHOTAKIWA BADALA YA KUPIGA KELELE NA KUMTETEA MTIKILA AU LOWASA, TUNAPSWA TUANGALIE TUWAFANYE NINI HAWA JAMAA.MAANA NI DADA ZETU MAJIRANI NA MARAFIKI WETU. HAPA NDIPO HATA KKKT WALICHEMSHA!
 
Rostam ni kweli familia yake imefanya biashara muda mrefu sana, lakini:-

1. Haibadili ukweli kuwa, wakati wa uchaguzi alikuwa akipewa hela za kampeni na Iran, kwa sababu yeye ni Mtanzania mwenye asili ya Iran, na ndiyo maana hata uwaziri aliukwepa kwa sababu wafadhili walimwambia Mkapa wazi kuwa akipewa uwaziri wa Fedha basi hakutakuwa na msada toka kwa wazungu.

2. Nilisema wazi kuwa Rostam anatoa hela Iran, haikupita muda gazeti maarufu huko London likarudia maneno yangu, Rostma na muungwana wakasema watalishitaki lile gazeti, je waliishia wapi?

Sasa mtu kwa aliyefanya biashara toka mwaka 1852, ilikuwaje kwenda Iran kuchukua hela za kmapeni? Ilikuwa ni kwa mtaji gani? Alipewa ngapi?

3. Ni kweli alianza biashara toka mwaka 1852, lakini Richimonduli na Dowans imekuwaje sasa amezihamishia kwa Manji, bila kufuata sheria zetu za Jamhuri za kuhamnisha mali au kampuni? Na kwa nini amezihamisha majuzi baada ya wabunge kuanza kuja juu? Kilichomshinda kwenda kwenye kamati ya Mwakyembe ni nini hasa mpaka sasa anaita waandishi aliowalipa tu na kusema taarabu?

Mbona kampuni zake zingine kama Vodacom hajahamishia kwa Manji? Halafu mbona zamani alikuwa haongei in public sasa hiii nguvu mpya ameipata wapi?
Au ana wasi wasi kuwa ameshikwa pabaya?

The next thing tutamuomba aseme majina ya viongozi wote waliwahi kupewa hela na yeye, hiyo ndiyo itakuwa siku ya kilio cha damu kwa taifa letu, maana ni kuanzia Upinzani mpaka CCM, aliowahi kuwapa hela, wa kwanza kabisa Mzee Ndejembi, alimpa shillingi millioni kumi kwa ajili ya kugombea uenyekiti wa CCM Dodoma na mpaka leo anamdai hajalipa
!

Rostam ni fisadi tu, lakini siku zinafikia ukingoni, maana ukiona wananza kuongea sana wakati zamani walikuwa kimyaa ujue chini kuna moto!

Heshima Mbele Mkuu,

Ni mara ya kwanza katika hii JF kusoma hoja dhaifu kutoka kwako mkuu... nimezoea kusoma nondo kweli kweli lakini kama hizi hoja ndizo zinazofanya Rostam aonekane mtu fisadi... then taifa lina shida kubwa sana...

Hata hivyo naendelea kukuheshimu... nikijua kwamba umeteleza tu!
 
Kwa wale walioyakosa haya mahojiano yataweza kusikika mapema asubuhi hii kupitia KLH News.. na ambapo unaweza kudownload pia kwenye ipod yako
 
Kwatakribani mwezi mmoja nimekuwa nikisoma tuu maoni ya wanaJF pasipo kuchangia. Nimekuwa nikitazama jee Tanzania imegundua njia ya kuifikisha kwenye kile kijiji cha Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania? Kijiji ambacho JK na Campaign manager wake (Rostam) walituaidi miaka 3 iliyopita.

Rostam anamliki JK, yaani kwa kingereza Rostam own Jakaya Kikwete. Sasa hii ndio sababu Rostam anapata kichwa na kusema chochote anachojisikia. Kutuambia kwamba utajiri wa kwao upo tangu 1852, Jee how can we prove kwamba Rostam family ni tajiri 1852? What a non sense.

CCM wanaipeleka Tanzania kwenye kaburi la pamoja, nyufa nyingi zimejitokeza ambazo chanzo chake ni CCM. Tusipo angalia tutazama kisan watu wachache.

Mungu ibariki Tanzania
 
Heshima Mbele Mkuu,

Ni mara ya kwanza katika hii JF kusoma hoja dhaifu kutoka kwako mkuu... nimezoea kusoma nondo kweli kweli lakini kama hizi hoja ndizo zinazofanya Rostam aonekane mtu fisadi... then taifa lina shida kubwa sana...

Hata hivyo naendelea kukuheshimu... nikijua kwamba umeteleza tu!

Kasheshe you are a man! I like that.Mamlaka zetu pamoja na watu wenye wote wenye hasira.Umefika wakati wa kusema huyu ni fisadi kwa vithibitisho na huyu msafi kwa vithibitisho.SIONI FAIDA YA KUWASEMA HAWA WATU NA BADO WAKO MITAANI WANATANUA NA FEDHA ZETU.Tunabaki oh! fisadi! leta vithibitisho hamna!.Jamani mwenye vithibitisho aseme tuchange hela twende mahakamani.Hii tufanyavyo hakuna tofauti na kusikia kelele za mwizi kisha tukampiga mawe akafa, kumbe mtoto wako!

Kalenge.
 
Katika Tanzania ni nani mwenye jukumu la kutafuta uthibitisho wa uhalifu wa mtu, ni mtuhumu au mamlaka yenye uwezo na nyenzo za kufanya hivyo? Mtu akimtuhumu mtu kwa wizi, ni nani anayekuja kuchunguza na kutafuta ushahidi wa wizi huo? Hata kwenye kesi za mauaji ambapo yawezekana mtu aliyefanya hivyo ameonekana na anajulikana ni nani ambaye anakusanya ushahidi wa kosa hilo, wafiwa?
 
Mwanakijiji,

1. Kuhusu Richmond na Dowans, Bunge lenu lilichunguza likasema hakuna sehemu walipoona kwamba Mh. Rostam Aziz anahusika... sasa nini kifanyike tena...

2. Mamlaka za kuchunguza zinachunguza kukiwa na hoja,,, sio kila anachosema mwanakijiji kichunguzwe... wanapoona unaongea utumbo wanakuacha na utumbo wako.

3. Mpaka sasa ni Mambo ya Umbea tu... hakuna kitu Tangible hata kimoja... umaskini wenu tu... kila mkimuona mtu tajiri mnadhani ameiba...

4. Narudia... tunaomba kuona -ushare-holding wa Rostam Aziz, kwenye hizo kampuni mnazozungumzia kama hamna... acheni mambo ya kitoto hapa!
 
kama hahusiki kabisa na ufisadi, who personally picks up the monthly payment cheques to Dowans pale Hazina...
 
Tunaweza kumpata wapi PUTIN wetu ambaye atamshughulikia RA kama alivyoshughulikiwa yule tajiri wa YUKOS?
 
Jamani Mtikila naye vp?Kumbe naye alipewa mil.3 za kifisadi na akapokea hii sasa tumekwisha.Wakuu mnalionaje hili na Mchungaji kupokea mil.3 kutoka kwa RA.?
 
kama hahusiki kabisa na ufisadi, who personally picks up the monthly payment cheques to Dowans pale Hazina...

Habari za uhakika ni kwamba huyo jamaa ROSTAM AZIZ anayokana Richmond na DOWANS ndiye amakuwa akienda pale Hazina kila mwisho wa mwezi kuchukua cheque ya DOWANS. Hazina wakichelewa kidogo anafoka kama mbogo!!!!
 
Mwanakijiji,

1. Kuhusu Richmond na Dowans, Bunge lenu lilichunguza likasema hakuna sehemu walipoona kwamba Mh. Rostam Aziz anahusika... sasa nini kifanyike tena...

2. Mamlaka za kuchunguza zinachunguza kukiwa na hoja,,, sio kila anachosema mwanakijiji kichunguzwe... wanapoona unaongea utumbo wanakuacha na utumbo wako.

3. Mpaka sasa ni Mambo ya Umbea tu... hakuna kitu Tangible hata kimoja... umaskini wenu tu... kila mkimuona mtu tajiri mnadhani ameiba...

4. Narudia... tunaomba kuona -ushare-holding wa Rostam Aziz, kwenye hizo kampuni mnazozungumzia kama hamna... acheni mambo ya kitoto hapa!

Mkuu tuna hofu na wewe unahisa nini au ni mfanyakazi kati ya;-
VODACOM,CASPIAN,DOWANS,RICHMOND n.k?
Au na wewe sawa na Mtikila kuna viposho unapewa kama Mchungaji alikula mil.3 wewe unakula ngapi?Maana kuna uwazi unamtetea.
 
Jamani Mtikila naye vp?Kumbe naye alipewa mil.3 za kifisadi na akapokea hii sasa tumekwisha.Wakuu mnalionaje hili na Mchungaji kupokea mil.3 kutoka kwa RA.?

Mimi naona issue nzima ilikua ni RA kujikosha kanisani siyo sadaka aliyotoa. Kama alitoa sadaka before ufisadi kufichuka basi wazipokee yeye na Mungu wake watajua mbele ya safari.
 
Mwanakijiji,

1. Kuhusu Richmond na Dowans, Bunge lenu lilichunguza likasema hakuna sehemu walipoona kwamba Mh. Rostam Aziz anahusika... sasa nini kifanyike tena...

2. Mamlaka za kuchunguza zinachunguza kukiwa na hoja,,, sio kila anachosema mwanakijiji kichunguzwe... wanapoona unaongea utumbo wanakuacha na utumbo wako.

3. Mpaka sasa ni Mambo ya Umbea tu... hakuna kitu Tangible hata kimoja... umaskini wenu tu... kila mkimuona mtu tajiri mnadhani ameiba...

4. Narudia... tunaomba kuona -ushare-holding wa Rostam Aziz, kwenye hizo kampuni mnazozungumzia kama hamna... acheni mambo ya kitoto hapa!

Mkuu tuna hofu na wewe unahisa nini au ni mfanyakazi kati ya;-
VODACOM,CASPIAN,DOWANS,RICHMOND n.k?
Au na wewe sawa na Mtikila kuna viposho unapewa kama Mchungaji alikula mil.3 wewe unakula ngapi?Maana kuna uwazi unamtetea.
 
Mimi naona issue nzima ilikua ni RA kujikosha kanisani siyo sadaka aliyotoa. Kama alitoa sadaka before ufisadi kufichuka basi wazipokee yeye na Mungu wake watajua mbele ya safari.

Hiki ndicho kilicho mgharimu RA asingezungumzia issue za siasa kanisani angenyamaza tu kama anavyo fanya Ben sasa hivi.
 
He claims to stand for the people, let the people's court remind him of his responsibility.
Jitihada za kujisafisha hizi lakini ukurutu uliokolea kwa miaka mingi hauwezisafishwa kwa siku moja.
 
Back
Top Bottom