Rostam ndiyo amechemsha!
Madai yake kuwa mbona alikuwa akitoa pesa na hazikurudishwa hayana msingi kwani hakuna aliyekuwa akijuwa kuhusu RICHMOND,DOWANS NA EPA wakati akitowa pesa hizo na sasa watu wana ushaidi kuhusiana na ufisadi wake wazi wazi na hakuna atakayekubali tena pesa zake!
Waulize wale waliokubali pesa zake kwa mgongo wa EPA watakwambia joto!
Kama Rostama mwenyewe aliweza kuwa Rafiki wa Kikwete na bado ni rafiki wa Kikwete...Je atashindwa kuwa rafiki wa nani kama akitaka?
Hivyo basi Mtikila kukopa Milioni tatu si UFISADI HATA KIDOGO!
Na kwahiyo basi...Kama alitegemea milioni tatu zake zitamfanya Mtikila afunge mdomo basi amekosea.
Kwani alikataa kufanya hivyo kwa milioni mia nne za Manji.
Kwani kama RA amweka JK mfukoni basi si kila mtu.
Kumbe kwa style aliyomtega JK ndiyo style hiyo hiyo anayotaka kuitumia sema tofauti alimpa JK more na kumtega kimafia zaidi ya mkopo wa milioni tatu alioenda kubadilisha hata saini za Mtikila.
Hivi nyie watu mkisikiliza mahojiano mnasikiliza vipi?
Mkuu Mushi penye ukweli uongo ujitenga, kama mambo inabidi yawekwe wazi basi yawe wazi, wakati tunazungumzia UFISADI, wako wale ambao wanaonekana katika vita ya kifisadi wako mbele lakini kumbe tunadanganyana.Vyama vingi vya upinzani ni kupoteza muda na kudai ruzuku. Mtikila anasema Saini imefojiwa alikuwa na nani wakati anachukua hela? HIVI mimi siamini KWA MACHO YANGU NINAVYOMFAHAMU MTIKILA KWENDA KUOMBA HELA ZA MKOPO KWA ROSTAM; HUKU AKISEMA SIO RAIA!,MARA FISADI ! HAKUNA LUGHA YA KUNIELEWESHA HAPO?? HUU MCHEZO WA SIASA USIKUTE LAO MOJA...............
NASEMA ANGEKUJA HATA KWANGU NIMPE HIZO HELA.........., KAMA TUMEAMUA MAFISADI TUWATENGE TUWAFANYIE HIVYO HATA TUSIWAPE MIKONO..MTIKILA ANAJICHANGANYA , HOWEVER GOOD HE CAN SAY.