Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Sie tunataka viongozi wetu, waliokiuka maadili wakamatwe na watangazwe, hivi tume ya utumishi wa umma upo? inafanya nini?
Au wamegoma kushirikiana na takukuru?
Au wanashirikian akufichana? ili waslale njaa.
 
Baba Mkapa, na wewe fuata nyayo za Rostam. JItokeza ujitetee na hasira ya wananchi dhidi yako itaisha.
 
Rostam Aziz Amerithi biashara kutoka kwa familia yake... ambayo ilikuwa ya biashara tangu miaka ya 1852!!!

Mwenye ushahidi apeleke mahakamani!, maana kama Serikali ni rafiki yake... Je walioko mahakamani pia ni marafiki zake!

Acha ubwege, Watanzania siyo Mabwege Bwana
 
Mumeandika post zaidi ya 10,000/- kuhusu RA lakini hakuna chochote ambacho... mtu anaweza simama nacho kwenye chombo cha sheria au rasmi... chochote... hata wewe unaendika unajua tu... kwamba unapaza sauti bila kujua originator alikuwa ana-target nini?

Tunauliza tena... kuna mtu anaweza kutuhakikishia kwamba RA ni mliki wa Kagoda, Dowans, Richmond? Kama yupo... weka scanned copy ya nyaraka hapa... kama hamna... fanyeni mambo mengine....
 
Acha ubwege, Watanzania siyo Mabwege Bwana

Mimi bwege mpaka niwekewe... uthibitisho wa umliki wa RA kwenye Richmond, Dowans, Kagoda na Kila kampuni alilohusishwa... bila kupata uthibitisho huo... kama tunaotaka uthibitisho... inabidi tuitwe bwege basi... nihesabu mimi kwanza alafu endelea na wengine..
 
RA sio FISADI. Huo ndo ukweli mtake msitake.

Ni UFISADI kusema RA sio FISADI wakati ambapo yeye mwenyewe amekiri ni mmiliki wa Caspian inayoongoza kupata tenda kifisadi. Yeye mwenyewe amekiri kuw ana mahusiano na Dowans ambayo mkataba wake wa kifisadi umesitishwa. Yeye mwenyewe amekiri kuwa amewahi kudhamini mnatandao wa Kikwete uliomuingiza madarakani kifisadi. Fair can be fake sometimes. Unadhani kwanini RA sio fisadi?

Asha
 
Enyi binadamu acheni kumhukumu mwenzenu.

Hakuna mahakama iliyo amua kuwa Rostam ni mwizi.
 
Dada Asha,

Rule of law. Tukitaka kuwa kama usemavyo basi itakuwa ni UDIKTETA!
 
Na wewe mwenzetu mpaka sasa hivi umechukua mshiko kiasi gani katika juhudi zako za kumsafisha "mtu ambaye anaponzwa na rangi yake katika tuhuma dhidi ya ufisadi" na lini utaulipa mshiko huo?

Ndio propaganda zenu... ambazo muda si muda... zinawarudia big time!!!
 
Ni UFISADI kusema RA sio FISADI wakati ambapo yeye mwenyewe amekiri ni mmiliki wa Caspian inayoongoza kupata tenda kifisadi. Yeye mwenyewe amekiri kuw ana mahusiano na Dowans ambayo mkataba wake wa kifisadi umesitishwa. Yeye mwenyewe amekiri kuwa amewahi kudhamini mnatandao wa Kikwete uliomuingiza madarakani kifisadi. Fair can be fake sometimes. Unadhani kwanini RA sio fisadi?

Asha

Dada Asha.

Hoja zenu ni dhaifu mno, any construction company inapata tender kutoka kampuni safi na mbaya... kama CASPIAN imepata tenda nyingi... waulize waliompa... period... acha mambo ya kizamani hapa.

Business Company ambayo haina mahusiano na wateja wake.. sio business company... na huenda mwenzetu anaendelea kwa kuwa can do real manage business relationship...

Hoja zenu ... du THAIFU MNO
 
Well this tells me kwamba kwa sababu hatuna ushahidi basi hakuna fisadi nchi hii.......

1. That the list of shame was a gross fabrication.

2. That Chenge is clean...

3. That Mkapa too is clean

4. Mahalu is as well clean.

Therefore there is no need of speculating, discussing or doubting that one is fisadi mpaka uwe na ushahidi.

ONLY IN TZ!!!!!!!!! Hope we live the next 50 yrs and witness what the future will tell us.
 
Ni wiki iliyopita tu amempa mmoja wa wabunge walio mstari wa mbele kupinga ufisadi, shillingi millioni 10 kwa jili kuzitumia jimboni kwake kwa sababu yule mbunge ana matatizo jimboni kwake yanayoweza kumkosesha kura next election,

So much kwa kiongozi asiye fisadi kukwepa kwenda kujisafiaha mbele ya kamati ya bunge ya Mwakyembe, lakini wasting all the time kujisafisha nje ya mkono wa sheria!
 
Mambo Ya Ufunuo Yanakuja. Za Mwizi Arobainiiii Tuuuuuuu. Abanwe Tuuu Na Jamaa Ukweli Utajianikaaaaaaaa....halafu Wako Wengi Akiona Anaanguka Huenda Akawataja Wenzie Vigogoooo...
 
So much kwa kiongozi asiye fisadi kukwepa kwenda kujisafiaha mbele ya kamati ya bunge ya Mwakyembe, lakini wasting all the time kujisafisha nje ya mkono wa sheria!

Mkuu Field Marshall ES;

Naanza kuogopa credibility yako inavyoshuka kwa kasi kubwa kiasi hicho... RA aziz alihakikishia umma kwamba alivyoitwa aende kwenye kamati alikuwa amesafiri... na ilikuwa kipindi cha X-mass... hivyo barua ilimfikia alivyokuwa amerudi ambapo tume ilikuwa-ishafunga mjadala... nakumbuka... alisema ameonyesha copy za passport yake kuonyesha alisafiri...

Tunaomba waheshimiwa... tuwe makini kidogo... unavyo-mtwisha mtu jambo Zitto kama hilo...

Mpaka sasa hakuna lolote la kushikika... I'm sorry mkuu wangu... naendelea kukuheshimu mkuu.
 
Mambo Ya Ufunuo Yanakuja. Za Mwizi Arobainiiii Tuuuuuuu. Abanwe Tuuu Na Jamaa Ukweli Utajianikaaaaaaaa....halafu Wako Wengi Akiona Anaanguka Huenda Akawataja Wenzie Vigogoooo...

Kwi kwi kwi...

Kama wewe ni mtu wa Mungu... basi nategemea uko tayari kupokea ukweli wowote... yaani ule wa against RA na ule against waongo wa mitaani!
 
Amejitetea kuwa mwenye ushahidi ampeleke kwa pilato..siyo kusema hewani tu

That is it! na ndio hata vitabu vitakatifu vinavyosema, kwamba ulisemee jambo ambalo una uhakika nalo... Mwenyezi Mungu anamchukia Kiumbe wake Anaedhania Mwenzake vibaya! Mnafiki, Mwongo na Mchonganishi!!!
 
Lini WaPinzani watapa Pesa ya kutosha?Ndiyo maana wakati mmoja nilishawahi kusema hapa kwamba ni bora hawa wapinzini wawe na kazi ambazo watakuwa wakifanya na kuwaingizia Pesa
 
Back
Top Bottom