Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ndicho kilicho mgharimu RA asingezungumzia issue za siasa kanisani angenyamaza tu kama anavyo fanya Ben sasa hivi.
Rostam Aziz Amerithi biashara kutoka kwa familia yake... ambayo ilikuwa ya biashara tangu miaka ya 1852!!!
Mwenye ushahidi apeleke mahakamani!, maana kama Serikali ni rafiki yake... Je walioko mahakamani pia ni marafiki zake!
Acha ubwege, Watanzania siyo Mabwege Bwana
RA sio FISADI. Huo ndo ukweli mtake msitake.
Na wewe mwenzetu mpaka sasa hivi umechukua mshiko kiasi gani katika juhudi zako za kumsafisha "mtu ambaye anaponzwa na rangi yake katika tuhuma dhidi ya ufisadi" na lini utaulipa mshiko huo?
Ni UFISADI kusema RA sio FISADI wakati ambapo yeye mwenyewe amekiri ni mmiliki wa Caspian inayoongoza kupata tenda kifisadi. Yeye mwenyewe amekiri kuw ana mahusiano na Dowans ambayo mkataba wake wa kifisadi umesitishwa. Yeye mwenyewe amekiri kuwa amewahi kudhamini mnatandao wa Kikwete uliomuingiza madarakani kifisadi. Fair can be fake sometimes. Unadhani kwanini RA sio fisadi?
Asha
So much kwa kiongozi asiye fisadi kukwepa kwenda kujisafiaha mbele ya kamati ya bunge ya Mwakyembe, lakini wasting all the time kujisafisha nje ya mkono wa sheria!
Mambo Ya Ufunuo Yanakuja. Za Mwizi Arobainiiii Tuuuuuuu. Abanwe Tuuu Na Jamaa Ukweli Utajianikaaaaaaaa....halafu Wako Wengi Akiona Anaanguka Huenda Akawataja Wenzie Vigogoooo...
Amejitetea kuwa mwenye ushahidi ampeleke kwa pilato..siyo kusema hewani tu