Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Dear Sir,
.....eeerr, eerr, from what i've heard and from what i've read, he owns that too!! 🙁

Dear Sir/Mom,

Kwa nini tuandikie mate ?

Utamsoma Rev. Kishoka anasema Rostam anamiliki Serikali. Utasoma wengine wanasema hatujui kuhusu kumiliki Judiciary. Utasikia tetesi na malalamiko, na shutuma na hukumu za waandishi.

Kuna njia moja ya kusogelea ukweli:

Mwenye vidhibiti, au kende, za kumpeleka Rostam mbele ya sheria na ajitokeze!
 
Hii inaitwa kumkoma nyani, tupo ukurasa mmoja mkuu Kitila hapa:-

Watu wengine wapo kutafuta makosa kwenye statement za watu basi, hakuna hoja! Sisi tunaamini huyu bwana RA ni mhimili wa shetani. Kumpeleka mahakamani sio kazi yetu, mwenye kazi hiyo yupo kama hataki shauri yake, kazi yetu ni kusema na tumeshasema. Sasa kama wewe huamini hivyo toa counter argument, otherwise nyamaza!
 
Hii inaitwa kumkoma nyani..:

Kumpeleka mahakamani sio kazi yetu, mwenye kazi hiyo yupo kama hataki shauri yake, kazi yetu ni kusema na tumeshasema. Sasa kama wewe huamini hivyo toa counter argument, otherwise nyamaza!

Counter argument inatolewa kwenye argument. Hicho ulichokisema hapo juu sio argument, ni mahoka!

Again, mwenye vithibitisho, au mwenye kende, ampeleke Rostam mahakamani.
 
Watu wengine wapo kutafuta makosa kwenye statement za watu basi, hakuna hoja! Sisi tunaamini huyu bwana RA ni mhimili wa shetani. Kumpeleka mahakamani sio kazi yetu, mwenye kazi hiyo yupo kama hataki shauri yake, kazi yetu ni kusema na tumeshasema. Sasa kama wewe huamini hivyo toa counter argument, otherwise nyamaza!

Mimi hili nimeshalisema muda mrefu. Jamaa ndio zake. Kazi yake yeye kukosoa vitu visivyo na kichwa, miguu, wala tumbo. Makes me sick. Yuucck!!!
 
Mwanakijiji, ukiamua kuwa dogged critic hakikisha mtu kakosea kabla ya kukurupuka. Kuwa na kende inamaanisha kuwa na ujasiri. Kutumia haya maneno yaliyotokana na mfumo dume sio ridiculous, au ego. Na unafahamu vyema.

Hata vyombo vya habari vya kuheshimika wanatumia maneno hayo, kama vile leo KLH News ilivyoeleza mshangao na masikitiko yao kwa jinsi Baraza la Wawakilishi Zanzibar "wanavyomdindia Rais, wanashindana na Rais na Bara na Waziri Mkuu."

Baraza la Wawakilishi lina wanawake, ambao hawana uwezo wala kiungo cha kufanyia kilichosemwa, lakini twajua KLH News walichomaanisha katika matumizi hayo ya lugha, na sio kwamba wamekuwa ridiculous au wana ego. Na kama tutaitwa ridiculous, wenye ego na wenye mfumo dume, mimi najisikia utashi na furaha kuwekwa kundi moja na waandishi wa KLH News maana ninawaamini.

Kwanza naomba nieleweke na ma mods hapa, situkani. Pili, wanawake hawana kiungo hicho lakini wana version yao ambayo hudinda pia. Umewahi kuichezea clitoris wewe? Kama hujawahi jaribu siku moja uone jinsi inavyokuwaga ngumu. Acha wewe....kwa hiyo hata wanawake hudindisha, therefore huo uwezo wanao.
 
Mwanakijiji, ukiamua kuwa dogged critic, hakikisha kwanza mtu kakosea kabla ya kukurupuka. Kuwa na kende inamaanisha kuwa na ujasiri. Kutumia haya maneno yaliyotokana na mfumo dume sio ridiculous, au ego. Na unafahamu vyema.

Hata vyombo vya habari vya kuheshimika wanatumia maneno hayo, kama vile leo KLH News lilivyoeleza mshangao na masikitiko yao kwa jinsi Baraza la Wawakilishi Zanzibar "wanavyomdindia Rais, wanashindana na Rais na Bara na Waziri Mkuu."

Baraza la Wawakilishi lina wanawake, ambao hawana uwezo wala kiungo cha kufanyia kilichosemwa, lakini twajua KLH News walichomaanisha katika matumizi hayo ya lugha, na sio kwamba wamekuwa ridiculous au wana ego. Na kama tutaitwa ridiculous, wenye ego na wenye mfumo dume, mimi najisikia utashi na furaha kuwekwa kundi moja na waandishi na KLH News maana ninawaamini.

Kuhani, (hapa sitosema sir au madam maana nitajikamatisha kwenye mitego yako iliyo makini ya political correctness - lol )

"You are one rambunctious kid" - again i'm joking! 🙂

Ninachotaka kusema hapa Kuhani ni kwamba, una umakini mwingi ndugu wewe. Tena umakini ulio muhimu katika jamii yoyote, na kuwepo kwako hapa jamvini ni baraka za aina yake.

Ila umakini huu umeanza kuwa kama game sasa, tumegeuka na kuwa ma- tom and jerry. Maana na mimi (naamini na wengine pia) najikuta naanza kujitumbukiza kwenye hii "nitipicking." Kama mchezo, tutaanza kukabana kutafuta mpira. Tutakabana weee na mwishowe tutaanza kuchezeana rafu. As long as tunaendelea kuwepo hapa jamvini, mchezo huu hautaisha. Na kama kukabana kwenyewe ndiko kuko kinamna hii, kipenga cha refarii kitaanza kulia constantly, uncontrollably.

Tatizo refarii tulionawo wote wanatumia pumzi. Sidhani kama wataweza kupuliza kipenga bila rhythm na mahitaji ya kupumua. Ninachotaka kusema hapa ndugu yangu ni kwamba, tuji-regulate siye wenyewe na huu ukosoaji usio wa kihoja unaozidi kujitokeza na kuzaliana kila kukichwa. Tupunguze ndugu zangu. Let's moderate ourselves, na hili ndiyo ombi langu hapa.

------------- **-------------**----------------

Kunrandhi; kuna ukosoaji wa mwisho mwisho naomba niufanye kuhusiana na hapo juu katika hayo niliyo highlight na kulingana na uelewa wangu.

Kuhani, naamini kuwa "kuwa na kende" inamaanisha kuwa na ujasiri katika lugha ya Kiingereza. Ni usemi katika lugha hiyo kama tu nasi tulivyo na misemo yetu ku-reflect mazingira yetu. Yao ina apply katika mazingira yao pia. Hapa sikatai kuwa kuna baadhi ya misemo inayo transcend jamii tofauti. Kwa hiyo basi tafsiri ya moja kwa moja ya "if you have/n't got balls" kwenda katika lugha ya Kiswahili, na kusema kama "una/hauna kende" yawezekana kabisa kuwa sisahihi.

Niaminicho mpaka sasa hivi ni kwamba, tafsiri hiyo katika mazingira yetu ni "kama una/hauna kifua". Tafsiri nyinginezo ni "ngebe." Naamini kuna mingineyo mingi inayowasilisha "to have or not to have balls" katika Kiswahili, lakini si "kende."

"Wanavyomdindia" au "wanavyomdindishia" naamini yanatumika katika Kiswahili kumaanisha hicho Mkjj alicho maanisha. Maana ni maneno yaliyovumbulika ndani ya mazingira ya jamii inayotumia Kiswahili, na si translation ya moja kwa moja kutoka Kiingereza. Utakubaliana nami kuwa ukiyatafsiri moja kwa moja hayo na kuyaweka katika Kiingereza kisha kuyatumia, unaweza kuambiwa na wale unaowarushia ujumbe kuwa, you are too vulgar!

Naomba kuishia hapa. Akhsante!

SteveD.
 
Steve, tatizo "baadhi" ya watu wanataka au wanapenda kutafsiri neno kwa neno kutoka kiingereza hadi kiswahili. Mtu anaposema "kende" wakati akitafsiri ule msemo wa kiingereza kwa kiswahili anapoteza maana kabisa. Nadhani tafsiri nzuri kwa kiswahili ingekuwa "mwenye ubavu" na sio mwenye "kende". Lakini ndio hivyo tena....mtu ukiwa na dhana potofu ya kwamba umesoma na una akili kushinda wenzio basi kila kitu usemacho unadhani kiko sahihi hata ukiwa umekosea.
 
Kuhani, (hapa sitosema sir au madam maana nitajikamatisha kwenye mitego yako iliyo makini ya political correctness - lol )

"You are one rambunctious kid" - again i'm joking! 🙂

Ninachotaka kusema hapa Kuhani ni kwamba, una umakini mwingi ndugu wewe. Tena umakini ulio muhimu katika jamii yoyote, na kuwepo kwako hapa jamvini ni baraka za aina yake.

Ila umakini huu umeanza kuwa kama game sasa, tumegeuka na kuwa ma- tom and jerry. Maana na mimi (naamini na wengine pia) najikuta naanza kujitumbukiza kwenye hii "nitipicking." Kama mchezo, tutaanza kukabana kutafuta mpira. Tutakabana weee na mwishowe tutaanza kuchezeana rafu. As long as tunaendelea kuwepo hapa jamvini, mchezo huu hautaisha. Na kama kukabana kwenyewe ndiko kuko kinamna hii, kipenga cha refarii kitaanza kulia constantly, uncontrollably.

... Ninachotaka kusema hapa ndugu yangu ni kwamba, tuji-regulate siye wenyewe na huu ukosoaji usio wa kihoja unaozidi kujitokeza na kuzaliana kila kukichwa. Tupunguze ndugu zangu. Let's moderate ourselves, na hili ndiyo ombi langu hapa.

------------- **-------------**----------------

Kunrandhi; kuna ukosoaji wa mwisho mwisho naomba niufanye kuhusiana na hapo juu katika hayo niliyo highlight na kulingana na uelewa wangu.

Kuhani, naamini kuwa "kuwa na kende" inamaanisha... Kwa hiyo basi tafsiri ya moja kwa moja ya "if you have/n't got balls" kwenda katika lugha ya Kiswahili, na kusema kama "una/hauna kende" yawezekana kabisa kuwa sisahihi.

Niaminicho mpaka sasa hivi ni kwamba, tafsiri hiyo katika mazingira yetu ni "kama una/hauna kifua". Tafsiri nyinginezo ni "ngebe." Naamini kuna mingineyo mingi inayowasilisha "to have or not to have balls" katika Kiswahili, lakini si "kende."

"Wanavyomdindia" au "wanavyomdindishia[/COLOR]" naamini yanatumika katika Kiswahili kumaanisha hicho Mkjj alicho maanisha. Maana ni maneno yaliyovumbulika ndani ya mazingira ya jamii inayotumia Kiswahili, na si translation ya moja kwa moja kutoka Kiingereza. Utakubaliana nami kuwa ukiyatafsiri moja kwa moja hayo na kuyaweka katika Kiingereza kisha kuyatumia, unaweza kuambiwa na wale unaowarushia ujumbe kuwa, you are too vulgar!

Ha hahahahaaaaa!

SteveD unanichekesha sana dada/kaka yangu.

Unasema tuache nitpicking halafu hapo hapo unaanza nitpicking. We kiboko!

By the way, yule Mkuu ndio kani nitpick nilipouliza kwa nini hajitokezi "mwenye kende" za kumshitaki Rostam, lakini woooote mnanishambulia mimi..hahahahhaaaa....

I gotta tell you one thing though. I admire the way you can differ with some one so vehemently then come back and laugh when it's all said and done. For that I tip my hat to you man/woman.

As far as the "kende" thing, and the "kudindia Rais" thing as KLH News and I alluded to, I would not wanna get into nitpicking, as you advised, before you cracked under the urge. Take care ma man / ma woman ?
 
Kwanza naomba nieleweke na ma mods hapa, situkani. Pili, wanawake hawana kiungo hicho lakini wana version yao ambayo hudinda pia. Umewahi kuichezea clitoris wewe? Kama hujawahi jaribu siku moja uone jinsi inavyokuwaga ngumu. Acha wewe....kwa hiyo hata wanawake hudindisha, therefore huo uwezo wanao.

.....kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi............
 
kwa hili nadhani kuhani kawa nitpicked yeye!

nafikiri ni suala la msingi, la kuuliza hivi kwa nini huyu rostam hapelekwi mahakamani licha ya kuwa he is the exis of evil na watu wengi wanajua hilo?

nafikiri ilikuwa ni changamoto tu ya kupatikana jibu hilo, ambayo inahitajika katika mjada huu ili wananchi tujue tunakwama wapi katika kuleta justice kwa Rostam Aziz.
 
JF haiwezi kumwekea mtu Vikwazo? Tuanze na RA, Vikwazo vya biashara na mawasiliano, mnaonaje? Hakuna kusoma magazeti yake na kampeni kubwa ifanyike. tusitoke nje ya mjadala wengi mmevutwa na hoja ya kende mumeacha hoja halisi "Axis of Evil" RUDINI!!!!
 
Counter argument inatolewa kwenye argument. Hicho ulichokisema hapo juu sio argument, ni mahoka!
Again, mwenye vithibitisho, au mwenye kende, ampeleke Rostam mahakamani.

Hii ya kwako ni hadithi ya Abunuwasi, kama vile ulivyopiga simu kule Texas na ukapewa siri za ex-student,

Hii ya ushahidi na Rostam kama ni valid argument, basi it is about time tukafunga JF, kwa sababu kama tuna hard ushahidi wa all the topics tulizonano humu JF then why waste time hapa, kama that is the point ya sisi kuwepo hapa JF? Maana huwezi kudai ushahidi kwenye one topic lakini zingine ukachangia kama vile ushahdi upo, that is pathetic thinking!

What a jocker nenda upige simu tena Texas, labda this time watapokea simu!, kwa sababu yo know better kuwa last time ulipopiga hawakukupa hizo siri!
 
Hii ya ushahidi na Rostam kama ni valid argument, basi it is about time tukafunga JF, kwa sababu kama tuna hard ushahidi wa all the topics tulizonano humu JF then why waste time hapa, kama that is the point ya sisi kuwepo hapa JF? Maana huwezi kudai ushahidi kwenye one topic lakini zingine ukachangia kama vile ushahdi upo, that is pathetic thinking!

I think not.

Rostam Aziz anasemekana yupo almost kwenye kila ufisadi wa nchi. Lakini kama uharamia wake uko that massively prevalent, je haachi fingerprint mahala? Au, kama uwizi wake umetapakaa kote hivyo hakuna aliyewahi kumwona anaiba ? Lakini kama wapo wenye vidhibiti, je, wana balls za kumpeleka mbele ya sheria ?

Oooh, kanunua Serikali. Kanunua na sheria pia? Basi kama kanunua mpaka the Judiciary, na mnaona hakuna haja ya kumpeleka mahakamani – tena mpaka kina Kitila Mkumbo wa upinzani wanasema kama hawampeleki mahakamani shauri yao, yaani hamjali – basi kama yeye yuko juu ya sheria, then tusisikie miito ya kuwapeleka mafisadi wengine mahakamani. Tusisikie mnasema wezi wa EPA waende jeka. Tusisikie nyo wala nywe kuhusu kupeleka fisadi kwenye sheria, maana yule kinara wao labda hakuna mwenye balls za kumbana mahakamani.

Sisemi tusimwongelee Rostam. Ila katika kumwongelea huko, na mimi nasema – na kama mawazo yako hayajatulia, na umezoea kuona mtu yuko upande huu au ule, utadhani namtetea Rostam – nasema inawezekanaje huo "mhimili wa shetani" hauachi fingerprints mahala poooote hapo anapogusa, maana kila vault la hela nchini kaligusa; au kama anaacha alama, ni kwa nini hakuna mmoja mwenye balls za kupeleka fingerprints zake mahakamani ?

Process that without attacking the inquest, and maybe we can get some progress. Other than that we're just being wussy about the whole Rostam thing.
 
Again, mwenye vithibitisho, au mwenye kende, ampeleke Rostam mahakamani.

Najua unajua zaidi kuliko unayoandika hapa.

Kama kila mwananchi atawapeleka hao wanaotuhumiwa kwa ufisadi mahakamani, kuna haja gani kuwa na serikali?

Kama serikali itashindwa kuwafikisha watuhumiwa mahakamani, hukumu ya wananchi ni kwenye sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom