Rostam Aziz, Watanzania tukueleweje? Unawauzia Wakenya Gesi yako Bei Chee na kwa Watanzania unatuuzia Bei Juu?

Mkuu tatizo inaweza kua sio yeye Ila ni utitiri wa Kodi wa Tanzania
 
Mimi najua sera za nchi ndizo zinaamua bei ya kila kila kitu. Yaani hata wewe mwenyewe tu hujiulizi kwanini huku tz bei ni kubwa?,hayo mengine ni kumpaka tu matope muhindi wa watu.
 
Rustam ni mfanya biashara anafuta wapi atatapata unafuu wa mali ghafi na ana import gas toka ghuba ambayo anaipata kwa bei rahisi sio kweli anatoa gas toka Tz, na ndio maana anaiuza kenya wa bei rafiki kwa sababu kenya hawana msururu wa gharama za uingizaji toka nje ya nchi
 
Kenya gesi ina "subsidy" yaani Ruzuku na kodi kiduchu kama ilivyo kwenye Unga wa Mahindi. Na pia serikali ya Kenya inachukulia gesi kama mahitaji muhimu ya binadamu na sisi bongolala tunachukulia gesi kama anasa na kielelezo cha utajiri. Ndio maana Bongolala mtungi wa gesi wa kilo 50 unauzwa karibia $ 25 emagine.
Tutanunua gei bei ghali mpaka tutakapokuja kuwa na viongozi wenye akili bongo hii. Ndio màana Aziz anachepusha mtaji anawekeza LPG plant Kenya ya $200M.
 
Kwani ungekuwa umetoa huu ufafanuzi bila kumuita ndezi ungepungukiwa nini hasa?
 
Watu wanamtegemea Mungu ila wengine wanamtegemea Magufuli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo maana kila kitu angekuwepo Magufuli.[emoji42][emoji42][emoji42] Mbona ujajiuliza kuhusu bei ya gesi ya taifa na mihan wanauza bei juu?
Kiukweli hii kauli huwa inanikera sanaa... Yaani kila kitu utasikia angekuwepo mwendazake, yaani as if watu milioni 61 hakuna hata mmoja mwenye akili ni huyo tuu daaah...
 
Nami nilimsikia huyo, ni kontena la vitenge.
 
Tunaenda Kwa stage we mbuzi ,ndio maana saizi Kuna mfuko wa Nishati safi umeundwa Ili kuleta mageuzi kwenye sekta hiyo na dira imewekwa by 2032 hakuna mkaa Wala Kuni shenzi wewe hujui kitu.
Hizi story alianza nazo Prof Muhongo ni porojo tuuu ili siku zisonge...
 
Hata malipo ya AZAM tv kwa mwezi kwa nchi nyingine ni rahisi kuliko Tanzania hiki ndio kichwa cha mwenda wazimu siwalaumu huku Tanzania kila mtu anaweka percent yake .
Aiseeee [emoji15] [emoji15]
 
Mfumo mzina wa kodi Tanzania siyo rafiki kwa mlaji (raia).

Wataalam wa uchumi tulionao wote ni bogus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…