Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndiye mtu gani? Ni nani..sijawahi kumsikia. Nisije kuwa nimepitwa.
kwa iyo unataka kusemaje kwa mfano..?Nimekutana na heading kwenye gazeti la The Citizen akiitaka AfDB kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji. Mwamba huyu yupo.Ni hayo tu.
Ndugu DDT125,ujumbe wako hapa ni upi hasa,ujue wengine sisi vilaza,hivyo ujitahidi kunyoosha maelezo ujueNimekutana na heading kwenye gazeti la The Citizen akiitaka AfDB kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji. Mwamba huyu yupo.Ni hayo tu.
The King Maker
Kwa hiyo anahusika pia na makamu mwenyekiti wa chama pendwa?The King Maker
Hamna kitu, hao jamaa mnawakuza lakini naamini hawahusiki na chochote kwenye kumuweka mtawala, TISS, tume ya uchaguzi na polisi ndio wahusika wakuu.[emoji817][emoji3581] hili mbona halina ubishi ukitaka usitawale nji hii wakukatae hao jamaa
Tanzania matajiri ni wahindiHuyo ndiye mtu gani? Ni nani..sijawahi kumsikia. Nisije kuwa nimepitwa.
Kuwahi kufuturu. Asante kwa marekebisho.Mod rekebisheni Jina wengi tuchangie ni Rostam siyo Riatam sijui DT125 anaharakia wapi?
Ukiweka picha hapa akiaga mwili wa Mwendazake iwe Chato, Dar au Dodoma . Zawadi no unapata.Mie mara ya mwisho nilimwona kwenye msiba Chato. Kuna anaebisha kwani?
2015 Magufuli ni zali tu lilimwangukia, aliandaliwa Edo lakini kwa sababu zisizoweza kuzuilika ilibidi mkasi upite na mbadala ilikuwa Membe. Kwa kumkomoa mkata mkasi kura alipigiwa Magufuli.Hamna kitu, hao jamaa mnawakuza lakini naamini hawahusiki na chochote kwenye kumuweka mtawala, TISS, tume ya uchaguzi na polisi ndio wahusika wakuu.
Huwezi kuniambia mtu kama Magufulj aliwekwa na huyo Rostam, hao ni wajanja tu wanaotumia nafasi zao kujenga mahusiano na watawala ili wajitengenezee ulaji kwenye biashara zao, ndio maana hata wakati wa Magufuli bado Rostam alikuwa karibu naye.
Alikabidhiwa Jimbo la Morogoro mjini na kiongozi wa malaika. Abood ampishe 2025.Kwamba Morogoro kwenye yale maboga, ndo alikuwa anasimamia lile zoezi pendwa na likafanikiwa