Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maguguli aliamua kuwa karibu na Rostam sababu ya Membe. OverHamna kitu, hao jamaa mnawakuza lakini naamini hawahusiki na chochote kwenye kumuweka mtawala, TISS, tume ya uchaguzi na polisi ndio wahusika wakuu.
Huwezi kuniambia mtu kama Magufuli aliwekwa na huyo Rostam, hao ni wajanja tu wanaotumia nafasi zao kujenga mahusiano na watawala ili wajitengenezee ulaji kwenye biashara zao, ndio maana hata wakati wa Magufuli bado Rostam alikuwa karibu naye.
Anatafuta nini Tanzania?Huyo Rostam siyo muhindi acha kukariri, ni mu Iran na kampuni yake kaipa jina la kwao Caspian.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app