Rostam Aziz yumo kwenye ziara ya Rais Marekani, nawapa taarifa tu wale mliomwona kwa mara ya mwisho ziara ya Mwendazake Morogoro.

CCM imerudi kwa matajiri rasimi, walala hoi watakumbukwa kipindi cha uchaguzi kwa kutupiwa mashati ya kijani na kuhongwa pakiti za chumvi.
 
Maguguli aliamua kuwa karibu na Rostam sababu ya Membe. Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…