MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Huyu hapa. Akemea wawekezaji uchwara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hujui pa kuupata nikufundishe?Anajua pa kupata utajiri na ndio maana anaupata
Wewe hujui pa kuupata nikufundishe?
kaishanunua coastal air sasa analeta bdege kuwaondoa precisionAnataka kukaba kila mradi uwe chini yake
Kweli mkuuRostam amezungumza ukweli 100%.
Ni muhimu kulinda wazawa dhidi ya wawekezaji uchwara.
Ni upumbavu serikali kuruhusu wachina kuweka vimashine vya kamari vijijini hata mijini.
Kuna biashara ambazo wageni hawatakiwi kufanya kabisa.
Mgeni awekeze kwenye kitu ambacho mzawa hawezi kufanya.
Hakuna nchi ambayo iliwahi kujengwa na wageni (kiuchumi, kutamaduni na kisiasa).
Siasa za kutegemea wageni ni za muda tu. Viongozi lazima waelewe hivyo.
Lazima kuwajenga wananchi kiuchumi ili kuwa na taifa imara.
Yupo sahihi... "Elon Musk" wa Bongo huyo; mwacheni afokee uchwara's.
Ameshatubu sasa hivi in mtoto mzuriHahaaa, mara hii rostam kajigeuza kuwa msamalia mwema ma kusahau alikotoka? Labda kama tumgekuwa hatumjui!
kweli shetani akizeeka anakuwa malaika!!asilimia kubwa ya utajiri wake ameutoa kwenye mali za wajinga wajinga tu,kutokana na mfumo kumbeba!!Rostam amezungumza ukweli 100%.
Ni muhimu kulinda wazawa dhidi ya wawekezaji uchwara.
Ni upumbavu serikali kuruhusu wachina kuweka vimashine vya kamari vijijini hata mijini.
Kuna biashara ambazo wageni hawatakiwi kufanya kabisa.
Mgeni awekeze kwenye kitu ambacho mzawa hawezi kufanya.
Hakuna nchi ambayo iliwahi kujengwa na wageni (kiuchumi, kutamaduni na kisiasa).
Siasa za kutegemea wageni ni za muda tu. Viongozi lazima waelewe hivyo.
Lazima kuwajenga wananchi kiuchumi ili kuwa na taifa imara.
Hauna uzoefu na uhalisia. Hizo bidhaa za hao masikini unajuwa quality zake? Hizo bei za vitu vingi vya maskini ni kama vitu/bidhaa gani?Hapa Rostam amekosea. Hakuna anayelazimisha watu kununua kwa wachina. Bila ya wachina, watu masikini wasingemudu bei za vitu vingi.