Rostam Azizi ahoji wawekezaji uchwara

Rostam Azizi ahoji wawekezaji uchwara

kweli shetani akizeeka anakuwa malaika!!asilimia kubwa ya utajiri wake ameutoa kwenye mali za wajinga wajinga tu,kutokana na mfumo kumbeba!!
Kwa roho mbaya zetu za kichawi ni ngumu sana kwa wazawa kuwekeza nchini bila kuwa na wasiwasi,MBOWE kilimkuta nini,kisa eti utofauti wa kisiasa!!!Yaani ili uwe na uhakika na mali zako lazima uwe mwanachama wa chama tawala,huo si ujinga?bora hao wazungu wao kidogo wataogopwa kutokana na mataifa wanayotoka.
Mkuu white wizard ,with all due respect, Taifa la masikini unategemeaje marajiri ili utajirike?

Fuatilia matajiri wa Tanzania walivyotajirika, kuanzia kina Bhakresa, Mengi na huyu Rosti tamu.

Na hata matajiri wengine wakubwa duniani wametajirika kupitia kuwahudumia masikini. Hata serikali kubwa duniani zimefanikiwa hivyo hivyo. Especial zenye mifumo ya kibepari.

Na hata zenye mifumo ya ki communist ni hivyo hivyo tu.

Kwa upande wa siasa Uko sahihi. Nazo ni kikwazo kwa maendeleo ya Taifa.
 
Watu wanamshambulia Rostam baada ya kuangalia hoja.

Tanzania na Africa ina wawekezaji wengi wa nje uchwara Sana Sana

Imagine mpaka uchimbbaji wa visima eti kampuni za nje kibao ndio zinachimba...

Angalia makapuni ya kamali unaruhusu vip makapuni ya kamali ya kigeni wakati wasafi bet mzawa yupo?

Wanachuma pesa wanapeleka kwenye nchi zao...

Hoja za Rostam zijibiwe china na marekani ni super power sababu wazawa ndio wawekezaji wakuu!!!
Rostam ni mjanja sana.
Kwangu Mimi yeye ndio UCHWARA no. 1.
Kwanza ni dalali, sio mfanyabiashara.
Ni undercover wa American Economic Hitmen Group.
Na alivyo smart, kawataja "wachina". Hahaha.

Halafu go deep, wasafibet sio ya waswahili. Diamond ni cover up tu.

Nchi yetu bado sana.
 
Rostam amezungumza ukweli 100%.
Ni muhimu kulinda wazawa dhidi ya wawekezaji uchwara.
Ni upumbavu serikali kuruhusu wachina kuweka vimashine vya kamari vijijini hata mijini.
Kuna biashara ambazo wageni hawatakiwi kufanya kabisa.
Mgeni awekeze kwenye kitu ambacho mzawa hawezi kufanya.
Hakuna nchi ambayo iliwahi kujengwa na wageni (kiuchumi, kutamaduni na kisiasa).
Siasa za kutegemea wageni ni za muda tu. Viongozi lazima waelewe hivyo.
Lazima kuwajenga wananchi kiuchumi ili kuwa na taifa imara.
Ndo mjue kuwa adui wa mtanzania ni uongozi wa ccm usiojua umuhimu wa kuwalinda wazawa. Hii kitu msukuma alipiga kelele hadi povu likakauka akakaa na kimya.ujinga wa ccm eti wanaleta wawekezaji ujinga mtupu .the whole of africa iko kama congo
 
Rostam amezungumza ukweli 100%.
Ni muhimu kulinda wazawa dhidi ya wawekezaji uchwara.
Ni upumbavu serikali kuruhusu wachina kuweka vimashine vya kamari vijijini hata mijini.
Kuna biashara ambazo wageni hawatakiwi kufanya kabisa.
Mgeni awekeze kwenye kitu ambacho mzawa hawezi kufanya.
Hakuna nchi ambayo iliwahi kujengwa na wageni (kiuchumi, kutamaduni na kisiasa).
Siasa za kutegemea wageni ni za muda tu. Viongozi lazima waelewe hivyo.
Lazima kuwajenga wananchi kiuchumi ili kuwa na taifa imara.
Naunga mkono hoja!. Tanzania itajengwa na wawekezaji wa Kitanzania na sio na wageni!.
Faida ya uwekezaji wa wazawa, itabaki Tanzania, faida ya uwekezaji wa wageni itakwenda nchini kwao. Maendeleo ya kweli Tanzania yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike!
P
 
kweli shetani akizeeka anakuwa malaika!!asilimia kubwa ya utajiri wake ameutoa kwenye mali za wajinga wajinga tu,kutokana na mfumo kumbeba!!
Kwa roho mbaya zetu za kichawi ni ngumu sana kwa wazawa kuwekeza nchini bila kuwa na wasiwasi,MBOWE kilimkuta nini,kisa eti utofauti wa kisiasa!!!Yaani ili uwe na uhakika na mali zako lazima uwe mwanachama wa chama tawala,huo si ujinga?bora hao wazungu wao kidogo wataogopwa kutokana na mataifa wanayotoka.
Ungekuwa mfanyabiashara usingekiandika hichi ulichokiandika hapa kwakuwa ni ngumu kumtenganisha mfanyabiashara na CCM
 
WACHINA WAMEWEKA MASHINE ZA KAMARI/MABONANZA HADI VIJIJINI HUKO, HUO NDIO UWEKEZAJI?

ROSTAM NI MPIGA DEAL ILA KWA HILI KAONGEA UKWELI!
 
Back
Top Bottom