Rostam Azizi ahoji wawekezaji uchwara

Rostam Azizi ahoji wawekezaji uchwara

Hauna uzoefu na uhalisia. Hizo bidhaa za hao masikini unajuwa quality zake? Hizo bei za vitu vingi vya maskini ni kama vitu/bidhaa gani?

Sometimes hata matajiri wanashikishwa hizo za masikini, umeshawahi kununua bidhaa zenye bei za tofauti Lakini ni bidhaa hiyo hiyo? Tena unaweza kulipia hiyo bidhaa ya matajiri na bado unapewa ya masikini. Unaishi bongo kweli wewe? Au unapokuwa humu mtandaoni na hauishi bongo unajihisi na wewe unaishi bongoland?
masikini kwake ubora sio kitu cha muhimu sana,yeye anachoangalia ni uwezo wa pesa aliyonayo tu,anaweza kununua kitu anacho kihitaji kwa wakati huo,basi.Mfano kwenye bidhaa za mabati ya kuezekea nyumba,mabati bora ni ALAF,lakini kwa masikini kuweza bei yake ni ngumu,yeye anataka kuezeka atakachofanya atatafuta bati lolote lile kulingana na pesa yake aliyonayo.Huo ubora kwake sio muhimu.Ishu ya tajiri kushikishwa hiyo bidhaa ya kimaskini ni ujinga wake wa uelewa.utahitaji tv ya sumsung ushindwe kwenda kwenye mawakala walioidhinishwa na sumsung,uende mtaani,?uje kulalamika umepigwa?!!
 
MAVI YANAPOTOA HARUFU,DUNIA INA WATU WASIO NA HAYA.W wanaosababisha matatizo wanashauri jinsi ya kuyatatua.
 
Ungekuwa mfanyabiashara usingekiandika hichi ulichokiandika hapa kwakuwa ni ngumu kumtenganisha mfanyabiashara na CCM
Hilo ndilo jibu sasa kwa mleta uzi,anayelalamika eti wazawa wako wapi?huo ndio ujinga uliopo ktk nchi nyingi za kiafrika,Ukiwa huungi mkono chama tawala unajiweka kwenye mazingira magumu sana ya kufanya biashara.Bora hata KENYA,kuna unafuu.
 
Tangu ini huyu mtu akawa mzawa! Atueleze na zile hisa za vodacom alizojimilikisha kama zilikuwa halali kwake!
 
Ndo mjue kuwa adui wa mtanzania ni uongozi wa ccm usiojua umuhimu wa kuwalinda wazawa. Hii kitu msukuma alipiga kelele hadi povu likakauka akakaa na kimya.ujinga wa ccm eti wanaleta wawekezaji ujinga mtupu .the whole of africa iko kama congo
Wawekezaji wanahitajika kwa sekta maalum kwa sababu za msingi.
Tatizo ni kukosa intelligence Agencies zenye fikra za ukombozi wa mwafrika kiuchumi.
Katika hili kungekuwa na sera maalum ya kuwatumia wachina kwa kuamsha watu wetu kiteknolojia halafu wabanwe waondoke bila kupenda.
Ni rahisi sana kwa watu wetu kufanya vile ambavyo wageni watakuwa wamevianzisha hapa nchini (copy and paste) kwa msaada wa sera rasmi ya kificho.
Pamoja na elimu za kukariri, ni lazima akili za kawaida zitumike kudhibiti wageni bila wao kujua kwa usalama na ustawi wa taifa na vizazi vijavyo.
 
VERY SENSEFUL ANAKUJA MTU ANAJIITA MWEKEZAJI ANAJAZA NCHINI MASHINE ZA KAMARI BADALA YA MWEKEZAJI KUWA MKULIMA MKUBWA, FOOD PROCESOR, AU MMILIKI WA VIWANDA VIKUBWA VIKUBWA VYA NGUO NA N. K, THE GUYS IS SO SMART.
BY 100%.
 
Hauna uzoefu na uhalisia. Hizo bidhaa za hao masikini unajuwa quality zake? Hizo bei za vitu vingi vya maskini ni kama vitu/bidhaa gani?

Sometimes hata matajiri wanashikishwa hizo za masikini, umeshawahi kununua bidhaa zenye bei za tofauti Lakini ni bidhaa hiyo hiyo? Tena unaweza kulipia hiyo bidhaa ya matajiri na bado unapewa ya masikini. Unaishi bongo kweli wewe? Au unapokuwa humu mtandaoni na hauishi bongo unajihisi na wewe unaishi bongoland?
Dada j, upo? I miss u[emoji8]
 
Back
Top Bottom