imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ni hilo tu.Hizo nazipata kila ninapohitaji na zaidi
Sema lingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hilo tu.Hizo nazipata kila ninapohitaji na zaidi
Sema lingine
Cc: Red Indians pale USA na Aborigines pale AustraliaHakuna nchi ambayo iliwahi kujengwa na wageni (kiuchumi, kutamaduni na kisiasa).
Tatizo ni viongozi mafisadi kuficha mali kwa wahindiNchi ya ajabu hii ni kama nchi ya kusadikika, mabilionea ni watu wenye asili ya mataifa ya nje ambao wanaishia kunufaisha nchi yao walikotoka au wanachuma na kusepa huko canada.
Wawekezaji uchwara wa Kichina watimuliwe mara moja.VERY SENSEFUL ANAKUJA MTU ANAJIITA MWEKEZAJI ANAJAZA NCHINI MASHINE ZA KAMARI BADALA YA MWEKEZAJI KUWA MKULIMA MKUBWA, FOOD PROCESOR, AU MMILIKI WA VIWANDA VIKUBWA VIKUBWA VYA NGUO NA N. K, THE GUYS IS SO SMART.
BY 100%.
Aisee kumbeee! ndo maana hao jamaa wana benki kabisa kuzitoroshea huko kwao......Tatizo ni viongozi mafisadi kuficha mali kwa wahindi
A Countrywide pussy 😄I know you miss sucking dis dickDada j, upo? I miss u[emoji8]
One size never fits all. Huo mfano wa mabati hauwezi kuwakilisha bidhaa zote zisizo na ubora. Bidhaa ziko nyingi sana. Hata spare parts za magari makubwa kwa madogo.masikini kwake ubora sio kitu cha muhimu sana,yeye anachoangalia ni uwezo wa pesa aliyonayo tu,anaweza kununua kitu anacho kihitaji kwa wakati huo,basi.Mfano kwenye bidhaa za mabati ya kuezekea nyumba,mabati bora ni ALAF,lakini kwa masikini kuweza bei yake ni ngumu,yeye anataka kuezeka atakachofanya atatafuta bati lolote lile kulingana na pesa yake aliyonayo.Huo ubora kwake sio muhimu.Ishu ya tajiri kushikishwa hiyo bidhaa ya kimaskini ni ujinga wake wa uelewa.utahitaji tv ya sumsung ushindwe kwenda kwenye mawakala walioidhinishwa na sumsung,uende mtaani,?uje kulalamika umepigwa?!!
kwa maisha yetu ya kimaskini,ubora sio muhimu sanaaa,na ndio maana kwa soko la Afrika mchina amelishika vizuri,kulinganisha na mataifa mengine.Huo mfano wa bati ni mmoja tu lakini bidhaa ni nyingi sana,Mfano kwa maisha yetu haya ni wangapi wanaweza kununua pikipiki ya mjapani?!!One size never fits all. Huo mfano wa mabati hauwezi kuwakilisha bidhaa zote zisizo na ubora. Bidhaa ziko nyingi sana. Hata spare parts za magari makubwa kwa madogo.
Ongelea bidhaa kwa ujumla wake. Sasa unawatetetea masikini kuhusu bidhaa kama Tvs.
Yeye utajiri wake hauna chembe hata MOJA ya ufilisi KWa watz? Kama kweli basi alichosema kizingatiwe, sitaki unafiki hapa
Kama kawaida yako, hujaelewa. Hoja yake ni ukweli lakini yeye mwenyewe ametokea huko huko. Rostam ni mwekezaji uchwara aliye-take advantage ya uongozi mbovu wa CCM kifikia hapo alipo. Inakuwaje leo ndiyo analiona hili wakati ndilo lililombeba? Jibu ni moja tu. Ni wivu. Hatuonei huruma wazawa kama wajinga wachache wanavyodanganyika. Analisema hili kwa sababu anaona himaya zake ziko kwenye tishio.Watu wanamshambulia Rostam baada ya kuangalia hoja.
Tanzania na Africa ina wawekezaji wengi wa nje uchwara Sana Sana
Imagine mpaka uchimbbaji wa visima eti kampuni za nje kibao ndio zinachimba...
Angalia makapuni ya kamali unaruhusu vip makapuni ya kamali ya kigeni wakati wasafi bet mzawa yupo?
Wanachuma pesa wanapeleka kwenye nchi zao...
Hoja za Rostam zijibiwe china na marekani ni super power sababu wazawa ndio wawekezaji wakuu!!!
Ukweli ni kwamba Rostam haonei huruma wazawa, watanzania. Rostam anajua kabisa jinsi viongozi wetu na mifumo yetu ilivyo dhaifu, hivyo anaona ni tishio kuruhusu wawekezaji uchwara waje kwani mfumu na viongozi wetu utawabeba na baada ya muda watakuwa tishio kwake. Yeye anajua kabisa sisi wazawa bado tumelala hivyo siyo tishio kwake. Usinielewe vibaya: hoja yake ni ukweli mtupu. Ila sababu ya kutoa hoja ndiyo ina walakini. Ni kama simba anavyowashambilia wanyama wengine walao nyama kama chui. Siyo kwamba anawaonea kina nyumbu na swala huruma, la hasha. Anaona himaya yake inaingiliwa.Mkuu white wizard ,with all due respect, Taifa la masikini unategemeaje marajiri ili utajirike?
Fuatilia matajiri wa Tanzania walivyotajirika, kuanzia kina Bhakresa, Mengi na huyu Rosti tamu.
Na hata matajiri wengine wakubwa duniani wametajirika kupitia kuwahudumia masikini. Hata serikali kubwa duniani zimefanikiwa hivyo hivyo. Especial zenye mifumo ya kibepari.
Na hata zenye mifumo ya ki communist ni hivyo hivyo tu.
Kwa upande wa siasa Uko sahihi. Nazo ni kikwazo kwa maendeleo ya Taifa.
Pia amemsifu Rais Kwa sera nzuri 👇
Mkuu kwa ujumla bidhaa fake zipo sana kitaa. Tena nyingi tu ambazo haziwahusu masikini. Kwa upande wa pikipiki hakuna shida. Hizo zinarudisha pesa kwa vijana waliojiajiri.kwa maisha yetu ya kimaskini,ubora sio muhimu sanaaa,na ndio maana kwa soko la Afrika mchina amelishika vizuri,kulinganisha na mataifa mengine.Huo mfano wa bati ni mmoja tu lakini bidhaa ni nyingi sana,Mfano kwa maisha yetu haya ni wangapi wanaweza kununua pikipiki ya mjapani?!!
Nimeipata hoja yako. Lakini nadhani someone, somewhere has to say something.Ukweli ni kwamba Rostam haonei huruma wazawa, watanzania. Rostam anajua kabisa jinsi viongozi wetu na mifumo yetu ilivyo dhaifu, hivyo anaona ni tishio kuruhusu wawekezaji uchwara waje kwani mfumu na viongozi wetu utawabeba na baada ya muda watakuwa tishio kwake. Yeye anajua kabisa sisi wazawa bado tumelala hivyo siyo tishio kwake. Usinielewe vibaya: hoja yake ni ukweli mtupu. Ila sababu ya kutoa hoja ndiyo ina walakini. Ni kama simba anavyowashambilia wanyama wengine walao nyama kama chui. Siyo kwamba anawaonea kina nyumbu na swala huruma, la hasha. Anaona himaya yake inaingiliwa.
Arudishe kwanza mgao wa Richmond ndipo tutamuamini. Vinginevyo huu ni wivu wa kike. Wachina wanafanya shughuli zao kihalali na wanalipa kodi serikalini yeye anataka wafukuzwe halafu nchi ikose kodi? Kamari sio dhambi na serikali inaruhusu kuchezesha kamari ilmradi tu huyo mchina analipa kodi. Yeye kinachomuuma ni nini? Akae chini atulize tako ama vipi naye arudi kwao Iran atuachie nchi yetu asichonganishe na wawekezaji. Mfyuuu zake!
Unadhani chanzo cha tatizo ni nini mkuu? What exactly is the root cause of the problem? Wachezesha kamari wapo kihalali na wanalipa kodi serikalini. Jambo la msingi ni kushauri nini kifanyike ili serikali iachane na kodi za kamari. So long as serikali haina vyanzo vingine vya mapato, kamari itaendelea kuwepo na vijana wasiokuwa na ajira watazidi kutopea kwenye uraibu wa kamari.Nimeipata hoja yako. Lakini nadhani someone, somewhere has to say something.
Mfano huo ukweli kuhusu hayo madubwasha ya betting yanavyomaliza vijana ambao ndo nguvu kazi ya Taifa.
Taifa kwasasa lina vijana wengi sana Lakini bure kabisa. Kijana analala na kuamka akiwazia kupata chochote kitu aende ku bet kwa mchina.