MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
- Thread starter
- #81
Watamfanya nini?Uzuri wachina wata deal nae without touching him
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watamfanya nini?Uzuri wachina wata deal nae without touching him
Watu wanazungumzia kama vile umasikini ndiyo chanzo. Na wakati kumbe umasikini nao una chanzo.Unadhani chanzo cha tatizo ni nini mkuu? What exactly is the root cause of the problem? Wachezesha kamari wapo kihalali na wanalipa kodi serikalini. Jambo la msingi ni kushauri nini kifanyike ili serikali iachane na kodi za kamari. So long as serikali haina vyanzo vingine vya mapato, kamari itaendelea kuwepo na vijana wasiokuwa na ajira watazidi kutopea kwenye uraibu wa kamari.
Michezo yote ya kubahatisha ilitakiwa kufanywa na Bahati Nasibu ya Taifa. Nina mfano wa nchi ambazo hii michezo inafaidisha sana wananchi kwa sababu hufanywa na mashirika ya umma na fedha zinazopatikana huelekezwa kwenye mambo muhimu ya Taifa. Kwa mfano hapa kwetu, tungeweza kutumia fedha zinazopatikana kwenye kujenga madarasa au hospital, kuchangia gharama za elimu ya juu nk. Tatizo hapa kwetu imekuwa holela, unregulated na faida inayopatikana inachukuliwa na watu binafsi huku jamii ikiangamia. Ingefanywa na serikali basi ingekuwa rahisi hata kudhibiti vijana wasiwe addicted.Nimeipata hoja yako. Lakini nadhani someone, somewhere has to say something.
Mfano huo ukweli kuhusu hayo madubwasha ya betting yanavyomaliza vijana ambao ndo nguvu kazi ya Taifa.
Taifa kwasasa lina vijana wengi sana Lakini bure kabisa. Kijana analala na kuamka akiwazia kupata chochote kitu aende ku bet kwa mchina.
Hahaaa, mara hii rostam kajigeuza kuwa msamalia mwema ma kusahau alikotoka? Labda kama tumgekuwa hatumjui!
Sasa mkuu Rostam anaona kitisho gani kwenye biashara yake. Rostam ni mfanyabiashara wa kimataifa, sidhani ni aina ya Mtu anayeogopa wawekezaji. Amekuwa na hisa nyingi Vodacom, tena wakati huo haikuwa inategemewa soko la mawasiliano litakuwa kubwa kama sasa na akafanikiwa sana na Vodacom ni kampuni inayolipa mishahara mizuri na huku ikiwa kampuni inayolipa kodi kubwa tena top three. Na baadaye wakaja akina Airtel na hawakumtishaUkweli ni kwamba Rostam haonei huruma wazawa, watanzania. Rostam anajua kabisa jinsi viongozi wetu na mifumo yetu ilivyo dhaifu, hivyo anaona ni tishio kuruhusu wawekezaji uchwara waje kwani mfumu na viongozi wetu utawabeba na baada ya muda watakuwa tishio kwake. Yeye anajua kabisa sisi wazawa bado tumelala hivyo siyo tishio kwake. Usinielewe vibaya: hoja yake ni ukweli mtupu. Ila sababu ya kutoa hoja ndiyo ina walakini. Ni kama simba anavyowashambilia wanyama wengine walao nyama kama chui. Siyo kwamba anawaonea kina nyumbu na swala huruma, la hasha. Anaona himaya yake inaingiliwa.
Haya ni maoni yako. Nayaheshimu lakini siafiki.Sasa mkuu Rostam anaona kitisho gai kwenye biashara yake. Rostam ni mfanyabiashara wa kimataifa, sidhani ni aina ya Mtu anayeogopa wawekezaji. Amekuwa na hisa nyingi Vodacom, tena wakati huo haikuwa inategemewa soko la mawasiliano litakuwa kubwa kama sasa na akafanikiwa sana na Vodacom ni kampuni inayolipa mishahara mizuri na huku ikiwa kampuni inayolipa kodi kubwa tena top three. Na baadaye wakaja akina Airtel na hawakumtisha
Ni mzawa ambaye amewekeza kandarasi kwenye migodi mikubwa kuliko mfanyabiashara yeyote Afrika Mashariki na kati na wafanyakazi wanaolipwa vizuri.
Kawekeza kwenye kiwanda kikubwa cha ngozi kinachotoa ajira na kusaidia sekta ya mifugo. Kiwanda kikubwa sana hapa Afrika Mashariki.
Amekuja na kuzikuta kampuni nyingine kwenye soko la gesi lakini amepambana na yupo hapo. Ana biashara kubwa Afrika kusini. Sasa kuna mwekezaji gani uchwara atakayemtisha!
Mimi naamini Rostam ni Mzalendo kuliko hata hao wengine wenye ngozi kama yangu ingawa naye ana mapungufu yake lakini pia kama tunataka mfanyabiashara malaika awe anaongea hayo mleteni kama yupo.
Serikali Ina wajibu wa kulinda walaji (raia) kupitia taasisi kama TBS.kwa maisha yetu ya kimaskini,ubora sio muhimu sanaaa,na ndio maana kwa soko la Afrika mchina amelishika vizuri,kulinganisha na mataifa mengine.Huo mfano wa bati ni mmoja tu lakini bidhaa ni nyingi sana,Mfano kwa maisha yetu haya ni wangapi wanaweza kununua pikipiki ya mjapani?!!
Hayo madubwasha ni balaa haladu watu yanawapa addiction pesa za maskini zinakuwa drained na watunga sera wamening'iniza vitambi maofisini in short we are doomedNimeipata hoja yako. Lakini nadhani someone, somewhere has to say something.
Mfano huo ukweli kuhusu hayo madubwasha ya betting yanavyomaliza vijana ambao ndo nguvu kazi ya Taifa.
Taifa kwasasa lina vijana wengi sana Lakini bure kabisa. Kijana analala na kuamka akiwazia kupata chochote kitu aende ku bet kwa mchina.
Nakubaliana nawe, michezo hii IWE ya serekali except cassino ziwe regulated na serikali,maana hizi hukaa katika specific area.Michezo yote ya kubahatisha ilitakiwa kufanywa na Bahati Nasibu ya Taifa. Nina mfano wa nchi ambazo hii michezo inafaidisha sana wananchi kwa sababu hufanywa na mashirika ya umma na fedha zinazopatikana huelekezwa kwenye mambo muhimu ya Taifa. Kwa mfano hapa kwetu, tungeweza kutumia fedha zinazopatikana kwenye kujenga madarasa au hospital, kuchangia gharama za elimu ya juu nk. Tatizo hapa kwetu imekuwa holela, unregulated na faida inayopatikana inachukuliwa na watu binafsi huku jamii ikiangamia. Ingefanywa na serikali basi ingekuwa rahisi hata kudhibiti vijana wasiwe addicted.
Kuhusu ''someone, somewhere has to say something'' hili nakubaliana na wewe kabisa. Na wala simpingi Rostam ila nasema ametoa maoni siyo kuwa anatuonea huruma au anaipenda nchi sana. Ana motive yake binafsi.
Ziwe drained ziingie serikalini na si zitoroshwe nje!Hayo madubwasha ni balaa haladu watu yanawapa addiction pesa za maskini zinakuwa drained na watunga sera wamening'iniza vitambi maofisini in short we are doomed
Ni Gupta wa Tanzania. Hashikiki, anaogopwa na kuna 'Mtu' ameshawekwa Mfukoni mwake halafu anaingia Nyumbani Magogoni na Chamwino muda wowote akijisikia.Huyo ndio bilionea wa ukweli.
WACHINA WAJIPANGE
Ni Gupta wa Tanzania. Hashikiki, anaogopwa na kuna 'Mtu' ameshawekwa Mfukoni mwake halafu anaingia Magogoni na Chamwino muda wowote akijisikia.Anataka kukaba kila mradi uwe chini yake
Wachina kuwekeza kumbi za starehe vijijini sio kufilisi wanavijiji. Watu wanaamia mijini kufuata huduma hizo, kwa nini wasipelekewe huko? Halafu, kuingia kwenye ukumbi wa starehe ni ridhaa ya mtu mwenyewe - alazimishwi.