Rostam Azizi ahoji wawekezaji uchwara

Mkuu white wizard ,with all due respect, Taifa la masikini unategemeaje marajiri ili utajirike?

Fuatilia matajiri wa Tanzania walivyotajirika, kuanzia kina Bhakresa, Mengi na huyu Rosti tamu.

Na hata matajiri wengine wakubwa duniani wametajirika kupitia kuwahudumia masikini. Hata serikali kubwa duniani zimefanikiwa hivyo hivyo. Especial zenye mifumo ya kibepari.

Na hata zenye mifumo ya ki communist ni hivyo hivyo tu.

Kwa upande wa siasa Uko sahihi. Nazo ni kikwazo kwa maendeleo ya Taifa.
 
Rostam ni mjanja sana.
Kwangu Mimi yeye ndio UCHWARA no. 1.
Kwanza ni dalali, sio mfanyabiashara.
Ni undercover wa American Economic Hitmen Group.
Na alivyo smart, kawataja "wachina". Hahaha.

Halafu go deep, wasafibet sio ya waswahili. Diamond ni cover up tu.

Nchi yetu bado sana.
 
Ndo mjue kuwa adui wa mtanzania ni uongozi wa ccm usiojua umuhimu wa kuwalinda wazawa. Hii kitu msukuma alipiga kelele hadi povu likakauka akakaa na kimya.ujinga wa ccm eti wanaleta wawekezaji ujinga mtupu .the whole of africa iko kama congo
 
Naunga mkono hoja!. Tanzania itajengwa na wawekezaji wa Kitanzania na sio na wageni!.
Faida ya uwekezaji wa wazawa, itabaki Tanzania, faida ya uwekezaji wa wageni itakwenda nchini kwao. Maendeleo ya kweli Tanzania yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike!
P
 
Ungekuwa mfanyabiashara usingekiandika hichi ulichokiandika hapa kwakuwa ni ngumu kumtenganisha mfanyabiashara na CCM
 
WACHINA WAMEWEKA MASHINE ZA KAMARI/MABONANZA HADI VIJIJINI HUKO, HUO NDIO UWEKEZAJI?

ROSTAM NI MPIGA DEAL ILA KWA HILI KAONGEA UKWELI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…