Rostam Azizi to build 200 million LPG Facility in Kenya with Our money may be!

Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?

Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Tanzania kipo...
 
Hakuna mtu anayetoa 200 million USD mfukoni mwake kujenga Kiwanda hata Billionaie Bill Gates hafanyi hivyo, hivyo haijalishi ana (rostamu) kiasi gani lkn 200 million USD hajatoa mfukoni mwake ni lazima amekopa mahali, na kama amekopa kwa dhamana gani? Nani amedhamini 200 million dollars ? Who takes the risks kama akishindwa kurudisha hiyo fedha? Na kama sisi kama nchi ndiyo tumedhamini kwa nini Kiwanda kikajengwe in foreign country ?
Rostam yupo, kwanini usimuulize
 
Kuna siku hata hela Bakhresa mtasema ni ya kwenu!

Hivi unaweza kujilinganisha na Rostam Aziz? Huyu bwana na familia nzima, ni watu matajiri. Mdogo wake kuna wakati aliuza assets zake UK zenye thamani zaidi ya pauni milioni 300.

Dola milioni 200 ni pesa nyingi sana kwangu na kwako, siyo kwa watu matajiri.
Sawasawa
 
Chini ya siasa za CCM ni risk sana ku-invest Tz. Hujui kesho ataibuka mwehu gani akakamata madaraka na hakutakuwa na wa kum-control!

Rostam yuko sahihi na amefuata penye security ya uwekezaji. KATIBA! KATIBA! KATIBA!

Hii “code” ni nshaijua
Ni yule aliyewasomesha namba.
 
Hakuna mtu anayetoa 200 million USD mfukoni mwake kujenga Kiwanda hata Billionaie Bill Gates hafanyi hivyo, hivyo haijalishi ana (rostamu) kiasi gani lkn 200 million USD hajatoa mfukoni mwake ni lazima amekopa mahali, na kama amekopa kwa dhamana gani? Nani amedhamini 200 million dollars ? Who takes the risks kama akishindwa kurudisha hiyo fedha? Na kama sisi kama nchi ndiyo tumedhamini kwa nini Kiwanda kikajengwe in foreign country ?

Kuna watu wana pesa hiyo dola milioni mia mbili za marekani ni kidogo kwao tatizo hapa Bongo sie wavivu kutafuta pesa kubwa huwa tukijihakikishia ugali tunaona imetosha
 
Yeye ni mfanya Biashara anatafuta faida sio mwana Jeshi kusema lazima awe mzalendo kwa nchi yake. Kwa hio na makampuni 529 ya wa Kenya yaliyo Tz yanayo provide ajira kwa zaidi ya watanzania 56000 yangeulizwa kwa nini haya invest Kenya yana invest Tanzania?
 
Kuna watu wana pesa hiyo dola milioni mia mbili za marekani ni kidogo kwao tatizo hapa Bongo sie wavivu kutafuta pesa kubwa huwa tukijihakikishia ugali tunaona imetosha

Tatizo siyo kuwa na hizo pesa, labda nikuulize kwa nini Makampuni makubwa ya Oil and Gas au minerals yanakopa hata uwekezaji wa dola milioni 50 ? Unafikiri hayana hiyo fedha hadi yakope? Hivyo siyo swala la kuwa na fedha au la, hakuna anayetoa 200 million dollars mfukoni mwake kujenga Kiwanda haya kama ni trilionair, wote wanakopa, unajua ni kwa nini labda ?
 
Wewe ni nani kuuliza ? Kuna mtu aliyekuuliza hela za kula mihogo leo ulizipata wapi?
Hakuna mtu anayetoa 200 million USD mfukoni mwake kujenga Kiwanda hata Billionaie Bill Gates hafanyi hivyo, hivyo haijalishi ana (rostamu) kiasi gani lkn 200 million USD hajatoa mfukoni mwake ni lazima amekopa mahali, na kama amekopa kwa dhamana gani? Nani amedhamini 200 million dollars ? Who takes the risks kama akishindwa kurudisha hiyo fedha? Na kama sisi kama nchi ndiyo tumedhamini kwa nini Kiwanda kikajengwe in foreign country ?
 
Hujui hela Katoa wapi Ila unashutumu tu!!..mwaka 2012 rostam alikua mtanzania wa kwanza kuwa na utajiri wa Dola bilioni moja
Toka 2012 akiwa "Billionea wa dollar"? Mbona hayumo kwenye orodha ya Forbes kama alivyo Mo?

Unajitungia tu habari hapa uonekane mjuaji, kumbe hujui kitu!
 
Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?

Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Agent wa CIA East and Central Africa,unauliza pesa katoa wapi,kweli?
 
Kuna siku hata hela Bakhresa mtasema ni ya kwenu!

Hivi unaweza kujilinganisha na Rostam Aziz? Huyu bwana na familia nzima, ni watu matajiri. Mdogo wake kuna wakati aliuza assets zake UK zenye thamani zaidi ya pauni milioni 300.

Dola milioni 200 ni pesa nyingi sana kwangu na kwako, siyo kwa watu matajiri.
Hawashindwi hawa watu! Stupid communist ideology; wengine wamenyeke halafu iwe mali ya umma!
 
We12 akiwa "Billionea wa dollar"? Mbona hayumo kwenye orodha ya Forbes kama alivyo Mo?
Unajitungia tu habari hapa uonekane mjuaji, kumbe hujui kitu!
We punguani wahed,mo anatajwa na Forbes kuwa ana 1.5,wa pili nani!? Na bilionea wetu wa kwanza kwa Dola za marekani ni nani!?..2012 ulikua unaoga nje bado au hukua na smartphone!?
 
Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?

Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
LGBT au nmeona vibaya
 
Hakuna mtu anayetoa 200 million USD mfukoni mwake kujenga Kiwanda hata Billionaie Bill Gates hafanyi hivyo, hivyo haijalishi ana (rostamu) kiasi gani lkn 200 million USD hajatoa mfukoni mwake ni lazima amekopa mahali, na kama amekopa kwa dhamana gani? Nani amedhamini 200 million dollars ? Who takes the risks kama akishindwa kurudisha hiyo fedha? Na kama sisi kama nchi ndiyo tumedhamini kwa nini Kiwanda kikajengwe in foreign country ?
Mkuu sioni Hoja kwenye Comment zako, Mtu mwenye Utajiri zaidi ya 1B usd, Anashindwaje Kuraise $200M.

Mfano wewe una Nyumba ina thamani ya milioni 10 utashindwa kupata mkopo wa Milioni 2?
 
Haujaelewa, hakuna mtu anayetoa 200 million dollars mfukoni mwake kujenga Kiwanda na siyo swala la kuwa na hizo fedha au laa bali ni risk associated with investments, kuna sababu kwa nini Makampuni makubwa ya Migodi kama Barrick au hata Shell oil yanakopa hata kwa uwekezaji wa milioni 50 usd au unafikiri kwa nini Total walienda kukopa Benki fedha za kujengea Bomba la Mafuta Ug-TZ unafikiri Shell wanakosa hiyo hadi wakope?

Na ili ukope ni lazima uaminike, unadharau 200 million Dollars inaeleka hata hauelewi what is money achililia mbali hata what is 1 million dollars to begin with, …
Gesi ya Lindi inahitaji investment ya $30+b..$200m za rostam kujenga hayo matank si kitu kwenye investment,Bomba la mafuta la Uganda-tanga limegharimu kiasi gani!?..usikariri kampuni za kuchimba madini tz basi ukajiridhisha kuwa corporates hazitoi pesa zao mfukoni
 
Toka 2012 akiwa "Billionea wa dollar"? Mbona hayumo kwenye orodha ya Forbes kama alivyo Mo?

Unajitungia tu habari hapa uonekane mjuaji, kumbe hujui kitu!
Rostam Yupo kwenye Orodha ya Forbes, Sema jamaa Wanalist Mabilionea wa USD tu, 2016 utajiri wake uliposhuka toka 1B USD mpaka 900M USD akawa hayumo kwenye list. Ila Transaction zote anazofanya zipo reported na Forbes.

Profile yake

Uuzaji wa share za Vodacom

Uwekezaji Kigamboni
 
Chizi huyo achana nae,ana ushindani na mimi
 
$200 M ni kama Bilioni 470 ni pesa ya nyanya tuu Rostam Aziz.
Labda kwa kukufahamisha tuu ni kwamba mwaka juzi 2021, Rostam kupitia kampuni yake hodhi "holding" iitwayo Milambo Holdings aliuza share zake alizowekeza Vodacom zenye thamani ya $558M, Ameiuzia Vodacom South Africa Holdings ambayo kwa sasa ndie mwekezaji mkubwa kimtaji Vodacom Tanzania.

Chanzo cha taarifa hii ni DSE na Johannesburg Stock Exchange.
 
Rostam Yupo kwenye Orodha ya Forbes, Sema jamaa Wanalist Mabilionea wa USD tu, 2016 utajiri wake uliposhuka toka 1B USD mpaka 900M USD akawa hayumo kwenye list. Ila Transaction zote anazofanya zipo reported na Forbes.

Profile yake

Uuzaji wa share za Vodacom

Uwekezaji Kigamboni

Useful. Naamini hii itasaidia kumtoa ujinga mtoa mada.
 
Back
Top Bottom