Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Ni kweli watu wanatumia mabenki kwa miradi kama hiyo , mabenki yanayotoa mikopo ni private na hakuna longolongo lazima business na terms zieleweke 100%, hizi Banks wakikupa mkopo wana standars zao sio kona kona na rushwa za kutumia serikali, swala la serikali kudhamini futa kabisa na haiwezekani, hizi Bank sio za serikali ambazo walikuwa wanatoa mikopo kwa vimemo kutoka kwa mwenyekiti wa CCMHakuna mtu anayetoa 200 million USD mfukoni mwake kujenga Kiwanda hata Billionaie Bill Gates hafanyi hivyo, hivyo haijalishi ana (rostamu) kiasi gani lkn 200 million USD hajatoa mfukoni mwake ni lazima amekopa mahali, na kama amekopa kwa dhamana gani? Nani amedhamini 200 million dollars ? Who takes the risks kama akishindwa kurudisha hiyo fedha? Na kama sisi kama nchi ndiyo tumedhamini kwa nini Kiwanda kikajengwe in foreign country ?