Rostam Azizi to build 200 million LPG Facility in Kenya with Our money may be!

Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?

Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Hizi ni nyakati za ustawi wa matajiri wenye asili ya Arabia waliopo nchini.
 
Chini ya siasa za CCM ni risk sana ku-invest Tz. Hujui kesho ataibuka mwehu gani akakamata madaraka na hakutakuwa na wa kum-control!

Rostam yuko sahihi na amefuata penye security ya uwekezaji. KATIBA! KATIBA! KATIBA!
Shida sisi Tanzania ni KATIBA...
Leo yupo Samia....

Anazunguka sehemu mbalimbali kutafuta wawekezaji....

Shida yetu hatujui kesho akija Rais mwingine .. Investors kwa upande huu wa Africa Mashariki wanapenda kwenda Kenya kwakuwa hata akitokea Rais kichaa Katiba inambana na Mahakama zipo huru..

Sisi tulipata mwehu.. Wapo wafanyabiashara wa kati wengi tuu walikimbilia Zambia na hawataki kurudi... Angeendelea kuwepo sijui tungekuwa na hali gani
 
Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?

Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
"With our money"🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mtanzania bwana, mnapoambiwa Kenya is another level uwa hamsikii wabongo.

Katiba bwashee endeleeni kukata mauno, tuna imani na..................🤣🤣🤣🤣
 
Hata mada inahusu nini hauelewi sasa hata hiyo katiba mpya itakusaidia nini kama unashindwa kuelewa simple logic? Watu binafsi wachukuwe fedha kutoka Serikali ya Tanzania ambayo inadhaminiwa na walipa kodi wa Tanzania halafu ikajenge Kiwanda Kenya kwako wewe unaona na sawa tu na hata unachekelea? Hauna familia au mtu yoyote wa karibu anayelipa kodi Tanzania labda hata ukamuonea huruma?
 
We12 akiwa "Billionea wa dollar"? Mbona hayumo kwenye orodha ya Forbes kama alivyo Mo?

We punguani wahed,mo anatajwa na Forbes kuwa ana 1.5,wa pili nani!? Na bilionea wetu wa kwanza kwa Dola za marekani ni nani!?..2012 ulikua unaoga nje bado au hukua na smartphone!?
Afrika Mashariki Billionaire wa dola ni huyo mmoja tu, hakuna wa pili.
Nakutambua wewe kuwa mpumbavu fulani tu hapa JF; kwa sababu huna unalojuwa.
 
Hata mada inahusu nini hauelewi sasa hata hiyo katiba mpya itakusaidia nini kama unashindwa kuelewa simple logic? Watu binafsi wachukuwe fedha kutoka Serikali ya Tanzania ambayo inadhaminiwa na walipa kodi wa Tanzania halafu ikajenge Kiwanda Kenya kwako wewe unaona na sawa tu na hata unachekelea? Hauna familia au mtu yoyote wa karibu anayelipa kodi Tanzania labda hata ukamuonea huruma?
Kunielewa ni kazi kwenu graduates, kwa akili yako unafikiri mm sijamuelewa mleta mada, Chongolo aliona mbali jamani
 
Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?

Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Kwa Rostam kuna JK ndani yake, Mwigulu yupo fedha, Makamba yupo nishati halafu unauliza swali la kijinga namna hii na wakati majitu yote unayo.
 
Hakuna mtu anayetoa 200 million USD mfukoni mwake kujenga Kiwanda hata Billionaie Bill Gates hafanyi hivyo, hivyo haijalishi ana (rostamu) kiasi gani lkn 200 million USD hajatoa mfukoni mwake ni lazima amekopa mahali, na kama amekopa kwa dhamana gani? Nani amedhamini 200 million dollars ? Who takes the risks kama akishindwa kurudisha hiyo fedha? Na kama sisi kama nchi ndiyo tumedhamini kwa nini Kiwanda kikajengwe in foreign country ?
Kumbuka Rostam anamiliki Tigo na Taifa gas
Am sure hivyo vinaweza mpa mkopo wa 200 Usd

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Imagine hapo ndo umewekeza TZ mradi mkubwa hivi halafu mleta mada ndo kashinda uraisi.
 
Hata mada inahusu nini hauelewi sasa hata hiyo katiba mpya itakusaidia nini kama unashindwa kuelewa simple logic? Watu binafsi wachukuwe fedha kutoka Serikali ya Tanzania ambayo inadhaminiwa na walipa kodi wa Tanzania halafu ikajenge Kiwanda Kenya kwako wewe unaona na sawa tu na hata unachekelea? Hauna familia au mtu yoyote wa karibu anayelipa kodi Tanzania labda hata ukamuonea huruma?
Kwann unafikiri hizo fedha ni kodi zetu?
 
Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?

Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Aliwahi kuwa mweka hazina wa ccm,wakati kikwete ni Mwenyekiti na Makamba katibu mkuu. Sasa hv Ni rafk wa riz 1 ambaye ni Waziri, na mtoto wa Makamba Ni waziri wa nishati ambaye alizunguka Tanzania anagawa mitungi ya Taifa gesi( ya rostam)kwa vikundi vya kina mama wa ccm. Riz 1 atagombea urais 2040 wafadhili wake wa kutengeneza mtandao watakuwa Rostam na Gsm nani atamzuia kuingia Ikulu?
 
Back
Top Bottom