Ni kama utani vile, lakini hakuna cha utani hapa.Aliwahi kuwa mweka hazina wa ccm,wakati kikwete ni Mwenyekiti na Makamba katibu mkuu. Sasa hv Ni rafk wa riz 1 ambaye ni Waziri, na mtoto wa Makamba Ni waziri wa nishati ambaye alizunguka Tanzania anagawa mitungi ya Taifa gesi( ya rostam)kwa vikundi vya kina mama wa ccm. Riz 1 atagombea urais 2040 wafadhili wake wa kutengeneza mtandao watakuwa Rostam na Gsm nani atamzuia kuingia Ikulu?
Tanzania yetu ndivyo ilivyo hii!