myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Tanzania kipo...Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?
Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Rostam yupo, kwanini usimuulizeHakuna mtu anayetoa 200 million USD mfukoni mwake kujenga Kiwanda hata Billionaie Bill Gates hafanyi hivyo, hivyo haijalishi ana (rostamu) kiasi gani lkn 200 million USD hajatoa mfukoni mwake ni lazima amekopa mahali, na kama amekopa kwa dhamana gani? Nani amedhamini 200 million dollars ? Who takes the risks kama akishindwa kurudisha hiyo fedha? Na kama sisi kama nchi ndiyo tumedhamini kwa nini Kiwanda kikajengwe in foreign country ?
SawasawaKuna siku hata hela Bakhresa mtasema ni ya kwenu!
Hivi unaweza kujilinganisha na Rostam Aziz? Huyu bwana na familia nzima, ni watu matajiri. Mdogo wake kuna wakati aliuza assets zake UK zenye thamani zaidi ya pauni milioni 300.
Dola milioni 200 ni pesa nyingi sana kwangu na kwako, siyo kwa watu matajiri.
Chini ya siasa za CCM ni risk sana ku-invest Tz. Hujui kesho ataibuka mwehu gani akakamata madaraka na hakutakuwa na wa kum-control!
Rostam yuko sahihi na amefuata penye security ya uwekezaji. KATIBA! KATIBA! KATIBA!
Hakuna mtu anayetoa 200 million USD mfukoni mwake kujenga Kiwanda hata Billionaie Bill Gates hafanyi hivyo, hivyo haijalishi ana (rostamu) kiasi gani lkn 200 million USD hajatoa mfukoni mwake ni lazima amekopa mahali, na kama amekopa kwa dhamana gani? Nani amedhamini 200 million dollars ? Who takes the risks kama akishindwa kurudisha hiyo fedha? Na kama sisi kama nchi ndiyo tumedhamini kwa nini Kiwanda kikajengwe in foreign country ?
Yeye ni mfanya Biashara anatafuta faida sio mwana Jeshi kusema lazima awe mzalendo kwa nchi yake. Kwa hio na makampuni 529 ya wa Kenya yaliyo Tz yanayo provide ajira kwa zaidi ya watanzania 56000 yangeulizwa kwa nini haya invest Kenya yana invest Tanzania?Hakuna mtu anayetoa 200 million USD mfukoni mwake kujenga Kiwanda hata Billionaie Bill Gates hafanyi hivyo, hivyo haijalishi ana (rostamu) kiasi gani lkn 200 million USD hajatoa mfukoni mwake ni lazima amekopa mahali, na kama amekopa kwa dhamana gani? Nani amedhamini 200 million dollars ? Who takes the risks kama akishindwa kurudisha hiyo fedha? Na kama sisi kama nchi ndiyo tumedhamini kwa nini Kiwanda kikajengwe in foreign country ?
Kuna watu wana pesa hiyo dola milioni mia mbili za marekani ni kidogo kwao tatizo hapa Bongo sie wavivu kutafuta pesa kubwa huwa tukijihakikishia ugali tunaona imetosha
Hakuna mtu anayetoa 200 million USD mfukoni mwake kujenga Kiwanda hata Billionaie Bill Gates hafanyi hivyo, hivyo haijalishi ana (rostamu) kiasi gani lkn 200 million USD hajatoa mfukoni mwake ni lazima amekopa mahali, na kama amekopa kwa dhamana gani? Nani amedhamini 200 million dollars ? Who takes the risks kama akishindwa kurudisha hiyo fedha? Na kama sisi kama nchi ndiyo tumedhamini kwa nini Kiwanda kikajengwe in foreign country ?
Toka 2012 akiwa "Billionea wa dollar"? Mbona hayumo kwenye orodha ya Forbes kama alivyo Mo?Hujui hela Katoa wapi Ila unashutumu tu!!..mwaka 2012 rostam alikua mtanzania wa kwanza kuwa na utajiri wa Dola bilioni moja
Agent wa CIA East and Central Africa,unauliza pesa katoa wapi,kweli?Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?
Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Hawashindwi hawa watu! Stupid communist ideology; wengine wamenyeke halafu iwe mali ya umma!Kuna siku hata hela Bakhresa mtasema ni ya kwenu!
Hivi unaweza kujilinganisha na Rostam Aziz? Huyu bwana na familia nzima, ni watu matajiri. Mdogo wake kuna wakati aliuza assets zake UK zenye thamani zaidi ya pauni milioni 300.
Dola milioni 200 ni pesa nyingi sana kwangu na kwako, siyo kwa watu matajiri.
We punguani wahed,mo anatajwa na Forbes kuwa ana 1.5,wa pili nani!? Na bilionea wetu wa kwanza kwa Dola za marekani ni nani!?..2012 ulikua unaoga nje bado au hukua na smartphone!?Unajitungia tu habari hapa uonekane mjuaji, kumbe hujui kitu!
LGBT au nmeona vibayaRostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?
Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Mkuu sioni Hoja kwenye Comment zako, Mtu mwenye Utajiri zaidi ya 1B usd, Anashindwaje Kuraise $200M.Hakuna mtu anayetoa 200 million USD mfukoni mwake kujenga Kiwanda hata Billionaie Bill Gates hafanyi hivyo, hivyo haijalishi ana (rostamu) kiasi gani lkn 200 million USD hajatoa mfukoni mwake ni lazima amekopa mahali, na kama amekopa kwa dhamana gani? Nani amedhamini 200 million dollars ? Who takes the risks kama akishindwa kurudisha hiyo fedha? Na kama sisi kama nchi ndiyo tumedhamini kwa nini Kiwanda kikajengwe in foreign country ?
Gesi ya Lindi inahitaji investment ya $30+b..$200m za rostam kujenga hayo matank si kitu kwenye investment,Bomba la mafuta la Uganda-tanga limegharimu kiasi gani!?..usikariri kampuni za kuchimba madini tz basi ukajiridhisha kuwa corporates hazitoi pesa zao mfukoniHaujaelewa, hakuna mtu anayetoa 200 million dollars mfukoni mwake kujenga Kiwanda na siyo swala la kuwa na hizo fedha au laa bali ni risk associated with investments, kuna sababu kwa nini Makampuni makubwa ya Migodi kama Barrick au hata Shell oil yanakopa hata kwa uwekezaji wa milioni 50 usd au unafikiri kwa nini Total walienda kukopa Benki fedha za kujengea Bomba la Mafuta Ug-TZ unafikiri Shell wanakosa hiyo hadi wakope?
Na ili ukope ni lazima uaminike, unadharau 200 million Dollars inaeleka hata hauelewi what is money achililia mbali hata what is 1 million dollars to begin with, …
Rostam Yupo kwenye Orodha ya Forbes, Sema jamaa Wanalist Mabilionea wa USD tu, 2016 utajiri wake uliposhuka toka 1B USD mpaka 900M USD akawa hayumo kwenye list. Ila Transaction zote anazofanya zipo reported na Forbes.Toka 2012 akiwa "Billionea wa dollar"? Mbona hayumo kwenye orodha ya Forbes kama alivyo Mo?
Unajitungia tu habari hapa uonekane mjuaji, kumbe hujui kitu!
Chizi huyo achana nae,ana ushindani na mimiRostam Yupo kwenye Orodha ya Forbes, Sema jamaa Wanalist Mabilionea wa USD tu, 2016 utajiri wake uliposhuka toka 1B USD mpaka 900M USD akawa hayumo kwenye list. Ila Transaction zote anazofanya zipo reported na Forbes.
Profile yake
Rostam Azizi
#25 Rostam Azizi on the 2015 Africa's 50 Richest - Rostam Azizi of Tanzania owns nearly 18% of Vodacom Tanzania, the country's largest mobile phone company,www.forbes.com
Uuzaji wa share za Vodacom
Tanzanian Tycoon Rostam Aziz Sells Last Tranche Of Vodacom Shares For $220 Million
Tanzanian tycoon Rostam Aziz, one of the country’s richest men, has finally concluded the sale of the last tranche of his Vodacom Tanzania shares to Vodacom South Africa.www.forbes.com
Uwekezaji Kigamboni
Tanzanian Tycoon Rostam Aziz Builds $65 Million LPG Plant In Kigamboni
Business mogul Rostam Aziz, one of the Tanzania’s most successful businessmen, has built a $65 million liquefied petroleum gas (LPG) storage and filling facility in Dar es Salaam, Tanzania.www.forbes.com
Rostam Yupo kwenye Orodha ya Forbes, Sema jamaa Wanalist Mabilionea wa USD tu, 2016 utajiri wake uliposhuka toka 1B USD mpaka 900M USD akawa hayumo kwenye list. Ila Transaction zote anazofanya zipo reported na Forbes.