Rostam Azizi to build 200 million LPG Facility in Kenya with Our money may be!

Hizi ni nyakati za ustawi wa matajiri wenye asili ya Arabia waliopo nchini.
 
Chini ya siasa za CCM ni risk sana ku-invest Tz. Hujui kesho ataibuka mwehu gani akakamata madaraka na hakutakuwa na wa kum-control!

Rostam yuko sahihi na amefuata penye security ya uwekezaji. KATIBA! KATIBA! KATIBA!
Shida sisi Tanzania ni KATIBA...
Leo yupo Samia....

Anazunguka sehemu mbalimbali kutafuta wawekezaji....

Shida yetu hatujui kesho akija Rais mwingine .. Investors kwa upande huu wa Africa Mashariki wanapenda kwenda Kenya kwakuwa hata akitokea Rais kichaa Katiba inambana na Mahakama zipo huru..

Sisi tulipata mwehu.. Wapo wafanyabiashara wa kati wengi tuu walikimbilia Zambia na hawataki kurudi... Angeendelea kuwepo sijui tungekuwa na hali gani
 
"With our money"🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mtanzania bwana, mnapoambiwa Kenya is another level uwa hamsikii wabongo.

Katiba bwashee endeleeni kukata mauno, tuna imani na..................🤣🤣🤣🤣
 

Hata mada inahusu nini hauelewi sasa hata hiyo katiba mpya itakusaidia nini kama unashindwa kuelewa simple logic? Watu binafsi wachukuwe fedha kutoka Serikali ya Tanzania ambayo inadhaminiwa na walipa kodi wa Tanzania halafu ikajenge Kiwanda Kenya kwako wewe unaona na sawa tu na hata unachekelea? Hauna familia au mtu yoyote wa karibu anayelipa kodi Tanzania labda hata ukamuonea huruma?
 
Afrika Mashariki Billionaire wa dola ni huyo mmoja tu, hakuna wa pili.
Nakutambua wewe kuwa mpumbavu fulani tu hapa JF; kwa sababu huna unalojuwa.
 
Kunielewa ni kazi kwenu graduates, kwa akili yako unafikiri mm sijamuelewa mleta mada, Chongolo aliona mbali jamani
 
Kwa Rostam kuna JK ndani yake, Mwigulu yupo fedha, Makamba yupo nishati halafu unauliza swali la kijinga namna hii na wakati majitu yote unayo.
 
Kumbuka Rostam anamiliki Tigo na Taifa gas
Am sure hivyo vinaweza mpa mkopo wa 200 Usd

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Imagine hapo ndo umewekeza TZ mradi mkubwa hivi halafu mleta mada ndo kashinda uraisi.
 
Kwann unafikiri hizo fedha ni kodi zetu?
 
Aliwahi kuwa mweka hazina wa ccm,wakati kikwete ni Mwenyekiti na Makamba katibu mkuu. Sasa hv Ni rafk wa riz 1 ambaye ni Waziri, na mtoto wa Makamba Ni waziri wa nishati ambaye alizunguka Tanzania anagawa mitungi ya Taifa gesi( ya rostam)kwa vikundi vya kina mama wa ccm. Riz 1 atagombea urais 2040 wafadhili wake wa kutengeneza mtandao watakuwa Rostam na Gsm nani atamzuia kuingia Ikulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…