Rostam: Hakuna nchi duniani inajenga Uchumi wake kwa kutegemea wawekezaji wa nje, ataka wazawa wapewe kipaombele

Bora hawa wanaoshinda vijiweni kuliko wazawa mafisadi papa kila kukicha ni kukwapua mali za umma au uwekezaji wa bia ambao hauna tija kwa taifa.
Hata hao wanaoshinda Vijiweni ni kwamba hawana fursa tu, lakini wakipata ufisadi uko pale pale, Wizi na ufisadi uko kwenye DNA.
 
Jamaa ana ID nyingi za kuendesha uchawa, huyu nafikiri amezaliwa kwenye mazingira ya umasikini wa kutupwa..
Jamaa mnateseka sana shida ni nini? Hayo malalamiko ndio kuzaliwa familia ya kitajiri? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tanzania watu wanaiba hela sanaa tena mnoo utatoa wapi Bilionea wakati watu wanataka kuchuuza kila kitu
 
Huyu nae tapeli kama wale wa tuma kwenye numbe hii
 
Your browser is not able to display this video.




Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.
 
Kwa kweli wamsikilize na yeye mzawa aanze kuwekeza huko kwenye infrastructures.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…