Rostam: Hakuna nchi duniani inajenga Uchumi wake kwa kutegemea wawekezaji wa nje, ataka wazawa wapewe kipaombele

Rostam: Hakuna nchi duniani inajenga Uchumi wake kwa kutegemea wawekezaji wa nje, ataka wazawa wapewe kipaombele

Bora hawa wanaoshinda vijiweni kuliko wazawa mafisadi papa kila kukicha ni kukwapua mali za umma au uwekezaji wa bia ambao hauna tija kwa taifa.
Hata hao wanaoshinda Vijiweni ni kwamba hawana fursa tu, lakini wakipata ufisadi uko pale pale, Wizi na ufisadi uko kwenye DNA.
 
Tanzania watu wanaiba hela sanaa tena mnoo utatoa wapi Bilionea wakati watu wanataka kuchuuza kila kitu
 
Huyu nae tapeli kama wale wa tuma kwenye numbe hii
 







 
Kwa kweli wamsikilize na yeye mzawa aanze kuwekeza huko kwenye infrastructures.
 
Back
Top Bottom