mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Hata Tigo pesa peke yake huwezi nunua kwa bei hiyo ya kutupa.labda kanunua Tigo Pesa pekee mkuu
Naamini you're happy nchi ipo kwa wenyewe sasa 😂😂😂Ukisikia nchi ina wenyewe ndiyo hao
Mbona kama ni cheap sana? Aliuza hisa zake za voda now kanunua tigo. Kwani nani alikuwa mmiliki wa tigo wa awali? Maana mmiliki wa wa awali millcom iliuza kampuni zake zote ikajiondoa AfrikaHivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.
Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya , wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua Giza 25% kwa bilioni 480 , halafu Hisa zenyewe haziuziki. 1/4 ya Pesa hizo za asilimia 25 zimeenda kununua tiGO na machenchi kibao
Sikilizia, thamani ya Voda ni TZS 2000Bilioni, Rostam kanunua Tigo kwa TZS 200 Bilioni Sasa gawanya 2000/200= 10Nina F Ya hesabu ila hiyo mara 20 ya Vodacom sijaelewa kabisa,wale wa logarithms nisaidie.........
Sawa Rostammambo hayako hivyo dogo,issue za hisa za makampuni sio kama mihogo
Sasa mkuu kama 25% ya kampuni ni 470B, inakuwaje thamani ya kampuni nzima iwe 2000B?, thamani ya kampuni nzima inatakiwa iwe 1880B. Na kwa mantiki hiyo thamani ya Vodacom itakuwa mara 8 ya thamani ya tIGO, na siyo mara 10 wala mara 20. Lasivyo urekebishe data zako Mkuu.Sikilizia, thamani ya Voda ni TZS 2000Bilioni, Rostam kanunua Tigo kwa TZS 200 Bilioni Sasa gawanya 2000/200= 10
Ni mara 10 c 20
Watu wa mahesabu haoSasa mkuu kama 25% ya kampuni ni 470B, inakuwaje thamani ya kampuni nzima iwe 2000B?, thamani ya kampuni nzima inatakiwa iwe 1880B. Na kwa mantiki hiyo thamani ya Vodacom itakuwa mara 8 ya thamani ya tIGO, na siyo mara 10 wala mara 20. Lasivyo urekebishe data zako Mkuu.
Rostam wa mchongo.Sawa Rostam
Mara 20 kivipi?
Mda mwingine halipi cash zote , anachofanya ni kuwaapa share tigo za vodacom kwa kubadilishana na hela kidogoSasa mkuu kama 25% ya kampuni ni 470B, inakuwaje thamani ya kampuni nzima iwe 2000B?, thamani ya kampuni nzima inatakiwa iwe 1880B. Na kwa mantiki hiyo thamani ya Vodacom itakuwa mara 8 ya thamani ya tIGO, na siyo mara 10 wala mara 20. Lasivyo urekebishe data zako Mkuu.
Kiuchumi kawaida sana hio kuna parameters zinakubali vizuri tu voda iko juuHivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.
Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya , wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua Giza 25% kwa bilioni 480 , halafu Hisa zenyewe haziuziki. 1/4 ya Pesa hizo za asilimia 25 zimeenda kununua tiGO na machenchi kibao