Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu hatari anayeimilika voda sasa hivi anaimiliki Tigo pia...Ukisikia nchi ina wenyewe ndiyo hao
Na mm ndivyo nilivyoelewa, huenda shareholders wako wengi ila yeye ndo kaweka mpunga wa kutosha.Hiyo bilioni 230 ni hisa zote 100% au ni sehemu kubwa ya hisa inayompa uhalali wa umiliki?
Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.
Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya, wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua Giza 25% kwa bilioni 480 , halafu Hisa zenyewe haziuziki. 1/4 ya Pesa hizo za asilimia 25 zimeenda kununua tiGO na machenchi kibao.
Kanunua Tigo na zantelHivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.