Rostam kanunua tiGO kwa Tzs Bil 230, wakati thamani ya 25% ya kampuni ya Voda ni TZS Bil 470, so thamani ya Voda ni mara 20 ya tiGO?

Hiyo bilioni 230 ni hisa zote 100% au ni sehemu kubwa ya hisa inayompa uhalali wa umiliki?
Na mm ndivyo nilivyoelewa, huenda shareholders wako wengi ila yeye ndo kaweka mpunga wa kutosha.

Kusema tigo ina thamani ya 230B huo ni uongo hata ukifikilia kwa akili ndogo tu.
 
Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.

Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya, wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua Giza 25% kwa bilioni 480 , halafu Hisa zenyewe haziuziki. 1/4 ya Pesa hizo za asilimia 25 zimeenda kununua tiGO na machenchi kibao.

Epusha ukoo wako na aibu ndogo ndogo mkuu… kama hujui uliza..
 
Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.

Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya, wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua Giza 25% kwa bilioni 480 , halafu Hisa zenyewe haziuziki. 1/4 ya Pesa hizo za asilimia 25 zimeenda kununua tiGO na machenchi kibao.
Kanunua Tigo na zantel
 
Back
Top Bottom