ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Rostam Aziz ndiye dalali wa madini yetu na siku hizi mbia wake ni Abdul
Wananchi wenyewe hatueleweki, kipindi magufuri anadeal na hao wezi baadhi ya watu hata humu walimlaumu na kumuita muonevu anabana sana sijui anazuia pesa za watu, kumbe wangejuaHuyu mtu hadi mwendazake alipata shida kumdhibiti. Kuna tatizo kubwa sana.
Mwishoni akaungana nae ikawa kilichobaki ni Istoria 😂😂Huyu mtu hadi mwendazake alipata shida kumdhibiti. Kuna tatizo kubwa sana.
Anamiliki rasilimali karibu zote pia mitandao ya simu.Bandari ni ya nani? Muarabu wa Dubei au wa kule kwa wabulushi?
SarungiWapi makengeza Chenge!
Naam nimekumbuka, Mwaka 2005 hapo nilikutana na mzee mmoja Ambaye ametangulia mbele ya haki, aliniambia hivi
“MAFIGA MATATU HAYO SI MASAFI JAPO YAMEPEWA NCHI”
MWISHO wa kunukuu, ilikuwa hotel Marriot London
Huyo mzee Alioa mwanamke mzungu Toka Ulaya Mashariki , Ana watoto mmoja machachari sana wengine silent
Britanicca
Tajiri dalaliSiongei sana, maneno mafupi tu. Kampuni Ya Richmond ilianzishwa na Rostam akiwa na back up ya Kikwete Raisi, Na Lowasa Waziri Mkuu.
Lowasa alitoa maelekezo makali Kwa Mkurugenzi wa TANESCO wa wakati huo, pamoja na Tenda bodi ya TANESCO ndani ya Ikulu ya Magogoni, akitoa mkwara mzito kweli, Kuwa TANESCO isifanye mchezo na ihakikishe kampuni ya Richmond/rostam inapewa tenda hiyo na mchakato wa dharura ufanyike isipewe kampuni nyingine. Na kuwa hakuna mtu anaruhusiwa kuhoji kwani ni maelekezo kutoka Juu yaani Kwa kikwete.
Baada ya hapo ndo ufisadi wa Richmond wa kuchota pesa za TANESCO ukaanza.
Hii ni moja ya madili ya mtandao. Kiuhalisia Rostam yupo kwenye dili zote kubwa za Serikali na kiukweli ndo tajiri namba moja Kwa mbali sana nchi hii, yupo Dili ya sgr, miradi ya kikwete bomba la gesi, mitambo ya gesi kinyerezi, every where
Mzee wa chenjiWapi makengeza Chenge!
Naam nimekumbuka, Mwaka 2005 hapo nilikutana na mzee mmoja Ambaye ametangulia mbele ya haki, aliniambia hivi
“MAFIGA MATATU HAYO SI MASAFI JAPO YAMEPEWA NCHI”
MWISHO wa kunukuu, ilikuwa hotel Marriot London
Huyo mzee Alioa mwanamke mzungu Toka Ulaya Mashariki , Ana watoto mmoja machachari sana wengine silent
Britanicca
Huyu mtoto machachari ni mwana harakati, ninaota tu!Wapi makengeza Chenge!
Naam nimekumbuka, Mwaka 2005 hapo nilikutana na mzee mmoja Ambaye ametangulia mbele ya haki, aliniambia hivi
“MAFIGA MATATU HAYO SI MASAFI JAPO YAMEPEWA NCHI”
MWISHO wa kunukuu, ilikuwa hotel Marriot London
Huyo mzee Alioa mwanamke mzungu Toka Ulaya Mashariki , Ana watoto mmoja machachari sana wengine silent
Britanicca
He is a millionaire in any currency.Kiuhalisia jamaa ni billionaire
Ana makampuni yanayofika 30
Mpaka nje ana makampuni kuanzia Dubai, Mauritius na British virgin island
Yaani huyu ni Tycoon
Ooh yesHe is a millionaire in any currency.