Tatizo ni mfumo, ndo mbovu kabisaaaHuyu mtu hadi mwendazake alipata shida kumdhibiti. Kuna tatizo kubwa sana.
He is super intelligent, I wish he could us his brain to eradicate poverty but he is using it for his own benefits.Ooh yes
Jamaa ni balaa kila akinusa Dili ni lazima liwe lake
Tangu atoke Igunga yeye ni kuzitafuta tu
Very sad 😔He is super intelligent, I wish he could us his brain to eradicate poverty but he is using it for his own benefits.
Kwa ardhi tuliyonayo tungeweza kutengeneza ekari 50 kila mkoa na kufanya ufugaji wa biashara. Makange mabanda ya either ng’ombe, kuku, nguruwe au kondoo na mbuzi. Unalima kuliko cha umwagiliaji hivyo kila baada ya miezi mitatu imagine nafaka ya kulisha mifugo.Very sad 😔
Exceptional intelligence kama kila Musk huyu
Ila amechagua kwenda upande mwingine
Kwa kweli watu kama hawa wangeamini kwenye kuijenga nchi
Kwa kweli hata kodi nyingi tungesamehewa
Kwanini nchi tajiri, wafanyabiashara wao wanazidi vizuri?
Ni kwa sababu wamesamehewa kodi nyingi kwenye mauzo yao
Hebu Angalia hata 🇬🇧 tu
Vyakula kodi 0
Nguo za watoto na viatu 0
Vitabu, magazeti 0
Vifaa vya Matibabu hakuna kodi
Hebu imagine tungekuwa huko kwa uchumi wetu
Ila hawa watu ndio wanasabisha mpaka mama ntilie atozwe kodi
Kila kitu kodi kwa sababu serikali ndio imetaka hivyo, ikiwa imewabeba hawa watu
Hebu fikiria kina Bill Gates kwanini wanatoa mabilioni kusaidia Climate change?
Kwa sababu kodi zao ni rafiki sana na wanazidi kuwa matajiri halali kwa nchi zao
Sisi tutabaki masikini maisha kama hatutabadili mifumo hii
Kilio
The late professorWapi makengeza Chenge!
Naam nimekumbuka, Mwaka 2005 hapo nilikutana na mzee mmoja Ambaye ametangulia mbele ya haki, aliniambia hivi
“MAFIGA MATATU HAYO SI MASAFI JAPO YAMEPEWA NCHI”
MWISHO wa kunukuu, ilikuwa hotel Marriot London
Huyo mzee Alioa mwanamke mzungu Toka Ulaya Mashariki , Ana watoto mmoja machachari sana wengine silent
Britanicca
He is super intelligent, I wish he could us his brain to eradicate poverty but he is using it for his own benefits.
Alidhibitiwa kipindi cha mwendazake, kama ulimsikiliza vizuri clip ya karibuni ya Polepole aliongelea, Rostam alitegewa mtego wa kukamatwa ndugu yake ili aje mezani kurudisha vitu alivyokwapua vya chama na serikali.Huyu mtu hadi mwendazake alipata shida kumdhibiti. Kuna tatizo kubwa sana.
Baba Maria Sarungi? Ah Watz bana hawaoni. Wanaona dining, misaada so acha wapigwe. Wakitandikwa vizuri watalia na sauti zao zitafika mbinguni. Tatizo jibu la Mungu ni tofauti na tuombacho. Anaweza kujibu kwamba Nataka muondoke hapo muende sehemu fulani wakati tumeomba kubadilishiawa mazingira tu.Wapi makengeza Chenge!
Naam nimekumbuka, Mwaka 2005 hapo nilikutana na mzee mmoja Ambaye ametangulia mbele ya haki, aliniambia hivi
“MAFIGA MATATU HAYO SI MASAFI JAPO YAMEPEWA NCHI”
MWISHO wa kunukuu, ilikuwa hotel Marriot London
Huyo mzee Alioa mwanamke mzungu Toka Ulaya Mashariki , Ana watoto mmoja machachari sana wengine silent
Britanicca
Sasa kakutana na hao wa digiri ya uigizaji ( performing arts) sio ya uchumi au injiniaringi kama wachina.He is super intelligent, I wish he could us his brain to eradicate poverty but he is using it for his own benefits.