Rostam Maelezo yake yamenyooka na yanaeleweka. Huenda Mtangazaji ndiye ameshindwa kumhoji

inaunganisha watanzania wote kuwa kitu kimoja na kuondoa hizo fikra za kikabila au races.
Fikra hizo hujitokeza zaidi katika masuala ya siasa na uchumi.
Tunaona hata kwenye uchaguzi katika ubunge kuna kauli kama huyu sio mzawa wa hapa, au huyu sio kabila la hapa, huo wote ni ukabila na ubaguzi ambao serikali inapaswa iuchukue kama homework.
una udhaifu wa kupoteza kumbukumbu sometimes... huna msimamo kwenye baadhi ya hoja zako za msingi. uliwahi kuandika kuwa TISS ifanye namna Watanzania wenye asili ya India, Uajemi na rangi nyeupe kwa ujumla wasiwe matajiri kuzidi Watanzania wenye asili ya kibantu. Na ukatoa baadhi ya mifano.
 
Udhaifu huo sina.
Labda wewe ndio unaudhaifu wa kuelewa mambo kulingana na muktadha
 
Back
Top Bottom