Rostam Maelezo yake yamenyooka na yanaeleweka. Huenda Mtangazaji ndiye ameshindwa kumhoji

Hospitali ya Nkinga Imeanza Kazi Mwaka Gani Mkuu? Na Hospitali ya Ndala Imeanza Mwaka Gani? Mimi Naweza Kukuthibitishia Physically Kuwa Rostam ni Mkazi wa Maeneo Yale, Mimi ni Mkazi wa Nkinga, Wewe ni Mkazi wa Maeneo Gani Mkuu?
Soma vzr nmeandika ilianza lini..unakuwaje mkazi wa eneo halafu hufahamu unapoishi palianzaje.
 
Take everything with a grain of salt toka kwa Polepole or Rostam. Za kuambiwa changanya na zako.
 
Huu ni mjadala huru. Hongera kwa mchango wako.

Kwa nini mtanzania mwenzako akifanikiwa unamuita Fisadi, muuza madawa, mganga wa kienyeji, Freemason n.k.?

Kwa nini huamini kwamba kuna njia halali?

Tukirudi kwa Rostam, je hoja yake ipi amepotosha?
Au basi. Maanake nasikia simu moja unapotezwa.
 
Habari za Sabato!

Nimemsikia Rostam kwa umakini, amejieleza vizuri sana na yapo mambo kupitia Press yake yameniongezea kitu hasa katika utafutaji na biashara.

Kuhusu tuhuma zake, zote alizoulizwa amejibu kiufasaha kabisa na maelezo yake yamenyook na yenye kueleweka.
Tatizo nililoliona lipo kwa anayemhoji,
Tido Mhando ndiye ameonyesha upungufu mkubwa katika interview hiyo.
Ni kama anamhoji mtu kwa tahadhari kubwa, akiwa na hofu fulani na mara nyingi amekuwa upande wa Rostam kumkubalia kila hoja yake bila kumpa challenge kubwa.

Hoja ya Makaa ya Mawe na mgodi wa Almasi amejibu vizuri sana na kutupa uelewa mpta Wasikilizaji na watazamaji, ambao kimsingi tunasikia mambo haya kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii huku tukiwa katikati hatujui ukweli ni upi

Rostam amefanya vizuri kujitokeza na kujitetea na kujibu madai yanayoelekezwa kwake. Ili kuweka Mambo sawa.

Kitu kingine ambacho nimekigundua katika mahojiano haya ni kuwa, ukisoma Saikolojia ya Rostam kwa ndani kabisa anajaribu kujieleza na kutaka watanzania wamuone Kama mtanzania mwenzao.
Jambo hili kupitia matamshi yake hasa akijaribu kueleza uasili wake, kwamba yeye ni Mtanzania.

Saikolojia ya Watanzania wengi hasa wenye asili ya kibantu, huamini wao ndio Watanzania halisi na wanahaki kuliko Watanzania wa jamii zenye asili zingine kama Watanzania wenye asili ya uhindi, uarabu, usomali, na jamii zingine.

Ni katika mtazamo huohuo, ndio maana Rostam na watu wenye muonekano kama wake katika masimulizi yao lazima jambo hilo walitilie mkazo wa nguvu huu ni tofauti na wabantu wengine.

Watanzania wengi hawaamini Mtu kama Rostam au Mo Dewji na watu aina hiyo ni Watanzania wenzao ile yenyewe yenyewe. Ingawaje hili halisemwi waziwazi.
Na hii inatoa kazi kwa serikali kutafuta namna ya kuwaunganisha watanzania wote kuwa kitu kimoja na kuondoa hizo fikra za kikabila au races.
Fikra hizo hujitokeza zaidi katika masuala ya siasa na uchumi.
Tunaona hata kwenye uchaguzi katika ubunge kuna kauli kama huyu sio mzawa wa hapa, au huyu sio kabila la hapa, huo wote ni ukabila na ubaguzi ambao serikali inapaswa iuchukue kama homework.

Kwa hoja za Rostam, nasubiri Hoja za Polepole zijibu kwa nguvu na uthibitisho.

Hofu yangu ni kwamba, tusije unda mitazamo na falsafa za kuchukia wenye utajiri na wenye Mali kwa kutumia propaganda ambazo sio kweli.

Zaidi, serikali isijeikaungana na matajiri na wenye mali kukandamiza Maskini na wanyonge. Au tuseme Matajiri wasijeiteka serikali kukandamiza Maskini.
Kila mtu abaki kwenye nafasi yake, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Na sio mtu mmoja kula kwa kamba za wengine au kupunguza kamba za wengine kujinufaisha.

Ni hayo tuu.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar wa salaam
Ubaguzi wa aina zote,Mwalimu Nyerere,alisha ziondoa.Mwalimu Nyerere,aliwapa mpaka uwaziri,na nafasi mbali mbali,watu wenye asili za uhindi,uarabu,usomall,uzungu,mwalimu hakuwa mkabila,tukumbuke hivyo.Kwa mfano mtanzania ,mwenye asili ya kiarabu,kihindi,kisomali,kizungu,ukifika ofisini kwake,na umetoka mkoani wenye kabila la kitanzania,atakuamkia kwa kabila la mkoa huo,na kukuita ni wa kabila hilo.Hili nilielezwa na mzee mmoja wa kiarabu.
 
Habari za Sabato!

Nimemsikia Rostam kwa umakini, amejieleza vizuri sana na yapo mambo kupitia Press yake yameniongezea kitu hasa katika utafutaji na biashara.

Kuhusu tuhuma zake, zote alizoulizwa amejibu kiufasaha kabisa na maelezo yake yamenyook na yenye kueleweka.
Tatizo nililoliona lipo kwa anayemhoji,
Tido Mhando ndiye ameonyesha upungufu mkubwa katika interview hiyo.
Ni kama anamhoji mtu kwa tahadhari kubwa, akiwa na hofu fulani na mara nyingi amekuwa upande wa Rostam kumkubalia kila hoja yake bila kumpa challenge kubwa.

Hoja ya Makaa ya Mawe na mgodi wa Almasi amejibu vizuri sana na kutupa uelewa mpta Wasikilizaji na watazamaji, ambao kimsingi tunasikia mambo haya kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii huku tukiwa katikati hatujui ukweli ni upi

Rostam amefanya vizuri kujitokeza na kujitetea na kujibu madai yanayoelekezwa kwake. Ili kuweka Mambo sawa.

Kitu kingine ambacho nimekigundua katika mahojiano haya ni kuwa, ukisoma Saikolojia ya Rostam kwa ndani kabisa anajaribu kujieleza na kutaka watanzania wamuone Kama mtanzania mwenzao.
Jambo hili kupitia matamshi yake hasa akijaribu kueleza uasili wake, kwamba yeye ni Mtanzania.

Saikolojia ya Watanzania wengi hasa wenye asili ya kibantu, huamini wao ndio Watanzania halisi na wanahaki kuliko Watanzania wa jamii zenye asili zingine kama Watanzania wenye asili ya uhindi, uarabu, usomali, na jamii zingine.

Ni katika mtazamo huohuo, ndio maana Rostam na watu wenye muonekano kama wake katika masimulizi yao lazima jambo hilo walitilie mkazo wa nguvu huu ni tofauti na wabantu wengine.

Watanzania wengi hawaamini Mtu kama Rostam au Mo Dewji na watu aina hiyo ni Watanzania wenzao ile yenyewe yenyewe. Ingawaje hili halisemwi waziwazi.
Na hii inatoa kazi kwa serikali kutafuta namna ya kuwaunganisha watanzania wote kuwa kitu kimoja na kuondoa hizo fikra za kikabila au races.
Fikra hizo hujitokeza zaidi katika masuala ya siasa na uchumi.
Tunaona hata kwenye uchaguzi katika ubunge kuna kauli kama huyu sio mzawa wa hapa, au huyu sio kabila la hapa, huo wote ni ukabila na ubaguzi ambao serikali inapaswa iuchukue kama homework.

Kwa hoja za Rostam, nasubiri Hoja za Polepole zijibu kwa nguvu na uthibitisho.

Hofu yangu ni kwamba, tusije unda mitazamo na falsafa za kuchukia wenye utajiri na wenye Mali kwa kutumia propaganda ambazo sio kweli.

Zaidi, serikali isijeikaungana na matajiri na wenye mali kukandamiza Maskini na wanyonge. Au tuseme Matajiri wasijeiteka serikali kukandamiza Maskini.
Kila mtu abaki kwenye nafasi yake, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Na sio mtu mmoja kula kwa kamba za wengine au kupunguza kamba za wengine kujinufaisha.

Ni hayo tuu.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar wa salaam
Kwanini kipindi hakikiwa live

Kwanini ajitokeze hivi sasa na sio wakati akielezwa ama kufanya haya aliyokuja kujibu
 
Kila rangi ya mwanadamu inapokuwa nyeusi zaidi (ubantu) ndivyo uwezo wake wa kufikiri unazidi kupungua..

Lkn dawa ya yote haya ni kuwa ma mfumo wa serikali za majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yake wenyewe..

Lkn tujiulize, iwapo wabantu wanajitambua kuwa ndio watanganyika halisi, lkn watu wa mchanganyiko na hasa wenye asili ya mwambao hawajitambui kuwa ni watanganyika. Na ukweli hawana utamaduni wa watanganyika. Wao kuwakaribisha wageni na kujichanganya nao haraka. Na kwa miaka ile ya uhuru waliweza kuwalea watu wa mlima na kuwafanya watoto wao. Wale waliokuja kwa malori.

Sasa ikiwa dar ndio inakusanya 90% ya total revenue ya nchi. Na ikiwa dar si Danganyika. Pindi watu wa mwambao watakapounga mkono chama Chenye sera za majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe, hivi wabantu zi watarudi kuwa watumwa huku mwambao
 
Watanzania wana uelewa mdogo sana wa mambo ya madini na migodi. Kama upo kwenye hii sekta utaelewa nazungumzia nini. Juzi nimeona mtangazaji wa habari akimuuliza mchimbaji mdogo wa dhahabu anapata tani ngapi kwa mwaka? Really?

Wabongo wanajua kilimo small scale na uchuuzi tu sio madini or anything else. Biashara kubwa wameachia ngozi nyeupe wafanye. Kama mnaona nyie hamuwezi msidhani na wenzenu hawawezi.
 
Ukienda Mahakamani ndipo utaelewa kwamba wahalifu wanajua kujieleza zaidi ya wenye haki.
 
Habari za Sabato!

Nimemsikia Rostam kwa umakini, amejieleza vizuri sana na yapo mambo kupitia Press yake yameniongezea kitu hasa katika utafutaji na biashara.

Kuhusu tuhuma zake, zote alizoulizwa amejibu kiufasaha kabisa na maelezo yake yamenyook na yenye kueleweka.
Tatizo nililoliona lipo kwa anayemhoji,
Tido Mhando ndiye ameonyesha upungufu mkubwa katika interview hiyo.
Ni kama anamhoji mtu kwa tahadhari kubwa, akiwa na hofu fulani na mara nyingi amekuwa upande wa Rostam kumkubalia kila hoja yake bila kumpa challenge kubwa.

Hoja ya Makaa ya Mawe na mgodi wa Almasi amejibu vizuri sana na kutupa uelewa mpta Wasikilizaji na watazamaji, ambao kimsingi tunasikia mambo haya kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii huku tukiwa katikati hatujui ukweli ni upi

Rostam amefanya vizuri kujitokeza na kujitetea na kujibu madai yanayoelekezwa kwake. Ili kuweka Mambo sawa.

Kitu kingine ambacho nimekigundua katika mahojiano haya ni kuwa, ukisoma Saikolojia ya Rostam kwa ndani kabisa anajaribu kujieleza na kutaka watanzania wamuone Kama mtanzania mwenzao.
Jambo hili kupitia matamshi yake hasa akijaribu kueleza uasili wake, kwamba yeye ni Mtanzania.

Saikolojia ya Watanzania wengi hasa wenye asili ya kibantu, huamini wao ndio Watanzania halisi na wanahaki kuliko Watanzania wa jamii zenye asili zingine kama Watanzania wenye asili ya uhindi, uarabu, usomali, na jamii zingine.

Ni katika mtazamo huohuo, ndio maana Rostam na watu wenye muonekano kama wake katika masimulizi yao lazima jambo hilo walitilie mkazo wa nguvu huu ni tofauti na wabantu wengine.

Watanzania wengi hawaamini Mtu kama Rostam au Mo Dewji na watu aina hiyo ni Watanzania wenzao ile yenyewe yenyewe. Ingawaje hili halisemwi waziwazi.
Na hii inatoa kazi kwa serikali kutafuta namna ya kuwaunganisha watanzania wote kuwa kitu kimoja na kuondoa hizo fikra za kikabila au races.
Fikra hizo hujitokeza zaidi katika masuala ya siasa na uchumi.
Tunaona hata kwenye uchaguzi katika ubunge kuna kauli kama huyu sio mzawa wa hapa, au huyu sio kabila la hapa, huo wote ni ukabila na ubaguzi ambao serikali inapaswa iuchukue kama homework.

Kwa hoja za Rostam, nasubiri Hoja za Polepole zijibu kwa nguvu na uthibitisho.

Hofu yangu ni kwamba, tusije unda mitazamo na falsafa za kuchukia wenye utajiri na wenye Mali kwa kutumia propaganda ambazo sio kweli.

Zaidi, serikali isijeikaungana na matajiri na wenye mali kukandamiza Maskini na wanyonge. Au tuseme Matajiri wasijeiteka serikali kukandamiza Maskini.
Kila mtu abaki kwenye nafasi yake, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Na sio mtu mmoja kula kwa kamba za wengine au kupunguza kamba za wengine kujinufaisha.

Ni hayo tuu.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar wa salaam
Hamna kitu hapo. Kwanza, elewa kwamba ile interview iliandaliwa siku kadhaa kabla na haikuwa live. Imefanyiwa editing ya kutosha, ikafanyiwa ‘cleaning’ kubwa ili kubakiza tu content safi ya kutumika kama propaganda. Ukweli ni kwamba interview yote imeandaliwa na Rostam kupitia yule mstaafu mwenye production firm yake binafsi. Azam TV wao waliletwa mkanda tu wa kurusha kwenye vituo vyao, hivyo ni staged kabisa. Kwa hali hiyo, interview ilibidi iwe live ili tupime mizani vizuri kati ya Polepole na Rostam. Lakini kwa namna ilivyokuwa, hamna cha maana, mnatujazia server za JF kwa ‘plain facts’ zisizo na uzito wowote.
 
Watanzania wana uelewa mdogo sana wa mambo ya madini na migodi. Kama upo kwenye hii sekta utaelewa nazungumzia nini. Juzi nimeona mtangazaji wa habari akimuuliza mchimbaji mdogo wa dhahabu anapata tani ngapi kwa mwaka? Really?

Wabongo wanajua kilimo small scale na uchuuzi tu sio madini or anything else. Biashara kubwa wameachia ngozi nyeupe wafanye. Kama mnaona nyie hamuwezi msidhani na wenzenu hawawezi.

nina wasiwasi hata na hicho kilimo chenyewe kama tunajua pia.

Safarini Tandika Tanzania.
 
Habari za Sabato!

Nimemsikia Rostam kwa umakini, amejieleza vizuri sana na yapo mambo kupitia Press yake yameniongezea kitu hasa katika utafutaji na biashara.

Kuhusu tuhuma zake, zote alizoulizwa amejibu kiufasaha kabisa na maelezo yake yamenyook na yenye kueleweka.
Tatizo nililoliona lipo kwa anayemhoji,
Tido Mhando ndiye ameonyesha upungufu mkubwa katika interview hiyo.
Ni kama anamhoji mtu kwa tahadhari kubwa, akiwa na hofu fulani na mara nyingi amekuwa upande wa Rostam kumkubalia kila hoja yake bila kumpa challenge kubwa.

Hoja ya Makaa ya Mawe na mgodi wa Almasi amejibu vizuri sana na kutupa uelewa mpta Wasikilizaji na watazamaji, ambao kimsingi tunasikia mambo haya kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii huku tukiwa katikati hatujui ukweli ni upi

Rostam amefanya vizuri kujitokeza na kujitetea na kujibu madai yanayoelekezwa kwake. Ili kuweka Mambo sawa.

Kitu kingine ambacho nimekigundua katika mahojiano haya ni kuwa, ukisoma Saikolojia ya Rostam kwa ndani kabisa anajaribu kujieleza na kutaka watanzania wamuone Kama mtanzania mwenzao.
Jambo hili kupitia matamshi yake hasa akijaribu kueleza uasili wake, kwamba yeye ni Mtanzania.

Saikolojia ya Watanzania wengi hasa wenye asili ya kibantu, huamini wao ndio Watanzania halisi na wanahaki kuliko Watanzania wa jamii zenye asili zingine kama Watanzania wenye asili ya uhindi, uarabu, usomali, na jamii zingine.

Ni katika mtazamo huohuo, ndio maana Rostam na watu wenye muonekano kama wake katika masimulizi yao lazima jambo hilo walitilie mkazo wa nguvu huu ni tofauti na wabantu wengine.

Watanzania wengi hawaamini Mtu kama Rostam au Mo Dewji na watu aina hiyo ni Watanzania wenzao ile yenyewe yenyewe. Ingawaje hili halisemwi waziwazi.
Na hii inatoa kazi kwa serikali kutafuta namna ya kuwaunganisha watanzania wote kuwa kitu kimoja na kuondoa hizo fikra za kikabila au races.
Fikra hizo hujitokeza zaidi katika masuala ya siasa na uchumi.
Tunaona hata kwenye uchaguzi katika ubunge kuna kauli kama huyu sio mzawa wa hapa, au huyu sio kabila la hapa, huo wote ni ukabila na ubaguzi ambao serikali inapaswa iuchukue kama homework.

Kwa hoja za Rostam, nasubiri Hoja za Polepole zijibu kwa nguvu na uthibitisho.

Hofu yangu ni kwamba, tusije unda mitazamo na falsafa za kuchukia wenye utajiri na wenye Mali kwa kutumia propaganda ambazo sio kweli.

Zaidi, serikali isijeikaungana na matajiri na wenye mali kukandamiza Maskini na wanyonge. Au tuseme Matajiri wasijeiteka serikali kukandamiza Maskini.
Kila mtu abaki kwenye nafasi yake, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Na sio mtu mmoja kula kwa kamba za wengine au kupunguza kamba za wengine kujinufaisha.

Ni hayo tuu.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar wa salaam
Kwani Rostam amekuwekea kiasi gani kwenye Bank A/C yako?🤣
 
Maelezo meengiiiiii, unamaliza miti tuu. Unaleta jangwaaaaa.
 
Kingine nimegundua hauwezi ukawa tajiri pasipo kuwa smart kichwani. Jamaa yupo smart sana. Anapangilia hoja zake bila papara ila Tido kwa kiasi fulani ametuangusha.
Smart kwako mtu mwenye upeo mdogo wa kupembua mambo.
 
Mkuu haya mambo mimi na wewe hatuyajui vyema zaidi ya kuyasikia tuu mtandaoni na kwenye media.

Swali ambalo niliona Tido kauliza lenye nguvu ni lile alilomuuliza, Rostam anawezaje kuwa na kujenga ukaribu na viongozi wakuu ingawaje Rostam alikuwa akilikwepa

Hakuna mfanyabiashara giant ambaye Hana ukaribu na viongozi kuanzia USA to Msumbiji.

Hatuwezi kumchagulia RA marafiki eti kwasababu Sisi hatutaki awe na urafiki na viongozi.

Kosa tunalolifanya ni kushindwa kujifunza Kwa hawa jamaa namna ya kugenerate generation wealthy, maana hawa watu toka babu zao huko ni wafanya biashara na wako connected na dunia.
Hawa waburushi, Wahindi na waarabu babu zao walivyokuja Tanzania walikwenda kuishi mapolini maana walijua wanafuata nini huko.
Sio hawa waasia tu, hata wakoloni wazungu walikwenda mapolini huko.

Leo hii kijana mtanzania Graduate anataka aishi Dar ili afanye starehe, akilipwa 1m kwa mwezi basi kila weekend ni fujo, halafu unataka mtu kama huyu awe na utajiri wa kizazi na kizazi.
Unataka Marehemu Manji asiwe tajiri ilihali Babu yake ndio mtu wa kwanza kuanza kutengeneza mabodi ya Magari Tanzania.
Unataka Mo Dewji asiwe Tajiri wakati ametoka kwenye ukoo wa matajiri toka 1970 huko.

Hawa watu wako connected kabla ya mtanzania kujua nini anafanya, RA ameanza kufanya biashara na makampuni giant ya migodi toka 1990 huko kuanzia pale Resolute Nzega, Anglo Geita na Barrick kuanzia Buly, Buzwagi, mpaka North Mara, huyo RA ni rafiki wa karibu na CEO wa Barrick Mark Bristol.
Hawa watu wanafanya hunting and safaris toka 80:s to 90's na wateja wao ni kutoka USA na Europe.

Nigerians wako aggressive Sana ndio maana hakuna mhindi wala Muarabu anayedominate maana indigenous community iko aggressive inapambana kila mahala kuanzia mining, oil and gas nk.
Kwenye Oil and gas Nigeria, Nigerians wamekwama usukani kwenye service companies nk na hata stow way wakinigeria huwezi kufanya na stow wa Kitanzania maana wako full equiped na wengine wanastow way na mpaka $100k -$200k.

Safarini Tandika Tanzania.
 
Zaidi, serikali isijeikaungana na matajiri na wenye mali kukandamiza Maskini na wanyonge. Au tuseme Matajiri wasijeiteka serikali kukandamiza Maskini.
Na hapa ndipo machafuko makubwa yatakapotokea na kuliangamiza hili taifa. Wacha wajilimbikizie mali sasa, ila majuto ni mjukuu watakapoona vizazi vyao vinateketezwa na mali kuachwa wakila wengine. Historia daima hujirudia, mwenye akili na aelewe hili
 
Back
Top Bottom