Mkuu,kumheshimu usiye mjua ni jambo jema sana kwenye maisha. Ungeweza kunijibu kwa kunielewesha unacho kijua badala ya kundika matusi. Nashkuru lakiniUnaijua vizuri London Stock Exchange? Au unabwata?
Ahsante mkuu.Kama unaona hajui, usiishie kumuulizq na kupayuka kama kasuku mweleweshe unapoona haelewi!
Huna capacity ya kum challenge Tido Mhando. He is professional, hayuko pale kufurahisha makundi bali kufanya journalism na kulinda integrity ya media yake. Adam siyo Manara TV au Millard AyoTido na uzoefu wake nilitegemea naye awe na utulivu na aendeshe mahojiano kwa namna ya kumbana Rostam ambaye mahojiano hayo yapo kwaajili ya yeye kujibu tuhuma. So kumuacha mtu ajitetee muda mrefu bila kumpa maswali magumu na tata ni kumpa nafasi jamaa awe shujaa
Kwa nini wewe keki ya Serikali hauioni?Hii inanikumbusha wimbo wa Fumbeni Macho..., Fumbeni Macho wakati Sadaka Zinaibiwa....
Tumejikita kwenye He Say / She Say badala ya Mizizi ya Fitina ambayo ni kweli Keki ya Taifa inafujwa na inafujwa sio kwa detriment kubwa ya Taifa... (Case in Point Serikali kupigia Chapuo Gesi ambayo ni gharama na ni kwa faida ya wachache, na hao wachache kukwamisha mchakato wa Bwawa);
By the way hizi za kujibishana through proxy kwanini wasitafutane na kujibishana wenyewe kwa wenyewe na sio kwa kutumia Script ?!!!
Jibu hoja yangu, ukoo wa huyu RA uko wapi ? Wanapitia changa moto sisi tunazo pitia?
kuna kipande anasema "tangu anunue mgodi wa makaa bado awaja maliza kukabiziana document kwahiyo bado ajaanza kuzalisha "icho kitu una akiamini?
Huna capacity ya kum challenge Tido Mhando. He is professional, hayuko pale kufurahisha makundi bali kufanya journalism na kulinda integrity ya media yake. Adam siyo Manara TV au Millard Ayo
Usitathmini jambo kwa base nyepesi km hizo ulizotumia na kusema rostam kajieleza kwa ufasaha bila kujali anayoeleza yana ukweli..? Kwa ufupi nikosoe utambulisho wake..kuonyesha si kweli anachosema..Habari za Sabato!
Nimemsikia Rostam kwa umakini, amejieleza vizuri sana na yapo mambo kupitia Press yake yameniongezea kitu hasa katika utafutaji na biashara.
Kuhusu tuhuma zake, zote alizoulizwa amejibu kiufasaha kabisa na maelezo yake yamenyook na yenye kueleweka.
Tatizo nililoliona lipo kwa anayemhoji,
Tido Mhando ndiye ameonyesha upungufu mkubwa katika interview hiyo.
Ni kama anamhoji mtu kwa tahadhari kubwa, akiwa na hofu fulani na mara nyingi amekuwa upande wa Rostam kumkubalia kila hoja yake bila kumpa challenge kubwa.
Hoja ya Makaa ya Mawe na mgodi wa Almasi amejibu vizuri sana na kutupa uelewa mpta Wasikilizaji na watazamaji, ambao kimsingi tunasikia mambo haya kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii huku tukiwa katikati hatujui ukweli ni upi
Rostam amefanya vizuri kujitokeza na kujitetea na kujibu madai yanayoelekezwa kwake. Ili kuweka Mambo sawa.
Kitu kingine ambacho nimekigundua katika mahojiano haya ni kuwa, ukisoma Saikolojia ya Rostam kwa ndani kabisa anajaribu kujieleza na kutaka watanzania wamuone Kama mtanzania mwenzao.
Jambo hili kupitia matamshi yake hasa akijaribu kueleza uasili wake, kwamba yeye ni Mtanzania.
Saikolojia ya Watanzania wengi hasa wenye asili ya kibantu, huamini wao ndio Watanzania halisi na wanahaki kuliko Watanzania wa jamii zenye asili zingine kama Watanzania wenye asili ya uhindi, uarabu, usomali, na jamii zingine.
Ni katika mtazamo huohuo, ndio maana Rostam na watu wenye muonekano kama wake katika masimulizi yao lazima jambo hilo walitilie mkazo wa nguvu huu ni tofauti na wabantu wengine.
Watanzania wengi hawaamini Mtu kama Rostam au Mo Dewji na watu aina hiyo ni Watanzania wenzao ile yenyewe yenyewe. Ingawaje hili halisemwi waziwazi.
Na hii inatoa kazi kwa serikali kutafuta namna ya kuwaunganisha watanzania wote kuwa kitu kimoja na kuondoa hizo fikra za kikabila au races.
Fikra hizo hujitokeza zaidi katika masuala ya siasa na uchumi.
Tunaona hata kwenye uchaguzi katika ubunge kuna kauli kama huyu sio mzawa wa hapa, au huyu sio kabila la hapa, huo wote ni ukabila na ubaguzi ambao serikali inapaswa iuchukue kama homework.
Kwa hoja za Rostam, nasubiri Hoja za Polepole zijibu kwa nguvu na uthibitisho.
Hofu yangu ni kwamba, tusije unda mitazamo na falsafa za kuchukia wenye utajiri na wenye Mali kwa kutumia propaganda ambazo sio kweli.
Zaidi, serikali isijeikaungana na matajiri na wenye mali kukandamiza Maskini na wanyonge. Au tuseme Matajiri wasijeiteka serikali kukandamiza Maskini.
Kila mtu abaki kwenye nafasi yake, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Na sio mtu mmoja kula kwa kamba za wengine au kupunguza kamba za wengine kujinufaisha.
Ni hayo tuu.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar wa salaam
Aminata Buganzi Ruhinda njoo pande hii uone usiyoyajua kuhusu RA
Polepole alisema walikamata Fukushima dogo tu la Almasi likiwa na thamani B62 lakni yeye kauziwa mgodi mzima kwa B 30 hayo maswali kaulizwa?
Amekuangusha u ilipangwa? hujiulizi kwanini kahojiwa na Tido? Tido kwasasa anafanya kazi katika Media gani? Azam alishastaafu, ila kwasasa nafikiri ni Bodi ya ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) Yaani Tido ndiye anaongoza ile kitu imewaengua wakina Massoud Kipanya, Ceaser, DJ Fet, Maulidi Kitenge, Zembwela na wengine ambao walikuwa wanajifanya wanajua kuhoji.Tido kwa kiasi fulani ametuangusha.
Serikali ina Keki kutoka wapi ?Kwa nini wewe keki ya Serikali hauioni?
Kumbana kivipi?!..hoja dhidi ya rostam ni migodi na mtandao,kaulizwa na kajibu
Todo alimhoji idd Amin 2003/4/5 sijumbuki vizuri,napo utadai hakumbana..kisa mahojiano hayakwenda utakavyo
Hata wewe ni migrant tu aidha kutoka Nile au South Africa au Congo desert. Wazawa wa Tanzania ambao hawaku migrate from anywhere ni Wasonjo wa Ngorongoro tu. Huu ubaguzi wa namna hii ndiyo unawachelewesha maendeleo.Akuna mzawa mwenye asili ya kihindi au tofauti na bara la africa nenda south africa utaona wazungu wanagombana na wa south ,
Iko hivi mtoto usiye mzaa sio wako siku akionyeshwa wazazi wake ataondoka na kuwajali kwa kuwapa kila kitu wewe utaishia kusema ni mwanao ndicho rostam anacho kifanya watanzania hatuwezi jivunia yeye ni bora wale wawekezaji wanao kuja tunajua direct siku wakizingia tuna wafukuza ila huyu anataondoka kwenda uko kwao na atawafaidisha watu wawo
Rostam ana akili mingi sana. Tido ni kama hayuko sawa hata kiafya... kakaa kiuoga na sauti yake ikipata kigugumizi. POLEPOLE ni mtu wa kupuuzwa.
Akuna mzawa mwenye asili ya kihindi au tofauti na bara la africa nenda south africa utaona wazungu wanagombana na wa south ,
Iko hivi mtoto usiye mzaa sio wako siku akionyeshwa wazazi wake ataondoka na kuwajali kwa kuwapa kila kitu wewe utaishia kusema ni mwanao ndicho rostam anacho kifanya watanzania hatuwezi jivunia yeye ni bora wale wawekezaji wanao kuja tunajua direct siku wakizingia tuna wafukuza ila huyu anataondoka kwenda uko kwao na atawafaidisha watu wawo
Ndio maana hawakwenda live, kwa sababu kuna cut ✂️ nyingi sana, mengi yamekatwa kwa faida ya upande mmoja.Tido na uzoefu wake nilitegemea naye awe na utulivu na aendeshe mahojiano kwa namna ya kumbana Rostam ambaye mahojiano hayo yapo kwaajili ya yeye kujibu tuhuma. So kumuacha mtu ajitetee muda mrefu bila kumpa maswali magumu na tata ni kumpa nafasi jamaa awe shujaa