Router za Airtel Unlimited Internet ina kikomo. 500GB baada ya hapo wanalimit speed vibaya sana!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Mara ya kwanza nilidhania router yangu mbovu. Mara ya pili nikajua mawingu na mvua iyo week. Ila sasa nimeconfirm.

Kama ni mtumiaji wa router za Airtel, ikivuka 500GB wana limit speed.

Mfano, mimi ni mtumiaji wa kifurushi cha 70k kwa mwezi ambayo niliahidiwa kupata 25Mbps ila Average uwa napata 15-20 Mbps. Ila sasa nimeshafikisha 500GB haivuki ata 5Mbps.
IMG_9159.jpeg

Hapo nimezima TV imebaki simu na kuangalia mpira tu tena in low resolution.

Mnaotumia fiber msitoke huko.

Pitia uzi wa mdau Arnold_webster aliandika: KERO - Airtel Router ni mradi wa kuwaibia wananchi? Kifurushi cha 70k 'Unlimited' kinaisha siku 11, Booster ya 30k inafutwa kinyemela!
 
Mimi rasmi TTCL wameshafika mtaani. Kwa bahati mbaya last sunday nililinua router ya Airtel nyingine kwa laki moja baada ya kwanza kuungua.

Nikiconnect na TV nikistream 1080p inakwama kwama ila kwa social networks haipo vibaya. Nasubiri hili bundle likate niwavute TTCL rasmi sasa Fiber.
 
Ni kweli mkuu wanazingua kinoma. Yangu ikifika siku 20 tu speed inashuka vibaya sana
 
Mimi rasmi TTCL wameshafika mtaani. Kwa bahati mbaya last sunday nililinua router ya Airtel nyingine kwa laki moja baada ya kwanza kuungua.

Nikiconnect na TV nikistream 1080p inakwama kwama ila kwa social networks haipo vibaya. Nasubiri hili bundle likate niwavute TTCL rasmi sasa Fiber.
Aisee! Naona unateseka sana na hao Airtel 😃😃 maana..... Hebu tuma dashboard yako hapa ya Airtel ya login portal nikusaidie kufix
 
waTZ hatujui biashara ,cosistency hatuna ndiyo maana biashara zinafeli ,zinaendeshwa kiujanja ujanja sana.

TZ customer's care ni 0.

Wamruhusu elon tu awapige za chembe akili ziwakae sawa.
Mkuu internet ya Elon ni watanzania wachache mno wata afford amini kwamba, kwanza bei tu ya kits zile ni imechangamka unanunua vifurushi vya fibers vya kati ya 50k-55k mwaka na hela ya maji unabakiza.. Kuna Fibers nyingi tu zinafanya vizuri kuliko kua na satellite 🛰️ 📡 internet ya Elon basi tu shida coverage, bado zinaji kongoja..
 
Mara ya kwanza nilidhania router yangu mbovu. Mara ya pili nikajua mawingu na mvua iyo week. Ila sasa nimeconfirm.

Kama ni mtumiaji wa router za Airtel, ikivuka 500GB wana limit speed.

Mfano, mimi ni mtumiaji wa kifurushi cha 70k kwa mwezi ambayo niliahidiwa kupata 25Mbps ila Average uwa napata 15-20 Mbps. Ila sasa nimeshafikisha 500GB haivuki ata 5Mbps.
View attachment 3612085
Hapo nimezima TV imebaki simu na kuangalia mpira tu tena in low resolution.

Mnaotumia fiber msitoke huko.

Pitia uzi wa mdau Arnold_webster aliandika: KERO - Airtel Router ni mradi wa kuwaibia wananchi? Kifurushi cha 70k 'Unlimited' kinaisha siku 11, Booster ya 30k inafutwa kinyemela!
Hilo RUNGU la ku capp speed linaitwa FUP (Fair Usage Policy) ni sera ni karibu mitandao yote hapa TZ na huko duniani kwa baadhi ya mobile networks lipo hata nchi zilizoendelea..

1. Airtel ndiyo hiyo 500gb sometimes mpaka 700gb.

2. Halotel wanayo kwenye 600gb.

3. Yas wanayo kila siku limit ya 36gb.

4. Vodacom hawana basi hata kama wanayo itakua limit point ipo mbali ambayo majority hatuifikii.

Mkuu minara ya simu vina ukomo wa uwezo wa kubeba data kwa wakati mmoja (bandwidth). Kama kusinge kuwepo na FUP, watumiaji wachache wanaodownload vitu vikubwa sana kwa mfululizo (kama video za 4K, torrents, au magemu makubwa) wanaweza kunyonya bandwidth yote na kusababisha mtandao kuwa mzito sana kwa watumiaji wengine walio kwenye mnara huo huo ndo maana kama wewe ni heavy user ni bora uhamie kwenye Fiber sababu hamna FUP, fibers hazitegemei mawimbi ya minara na zinabeba bandwidth kubwa kuliko mawimbi ya radio ya minara..

Mkuu pia wameweka FUP ili kuzuia reselling ya hiyo internet yako kwa hotspots au internet cafe zile za kitaa ili mradi tu tuteseke 😃 ujue hata Starlink ya Elon Musk ina FUP? inazuia mtu mmoja au wawili kuhodhi mtandao mzima na kuwaumiza wengine wanaotaka tu kuperuzi kawaida, kusoma emails, au kuangalia video na kuchat....
 
mkuu samahani. Kwa upande wa Vodacom ushawahienda mpaka gb ngapi?
 
Ila kweli bongo nyoso kila kitu ni shida.
Maji shida
umeme shida
Mafuta shida
Barabara shida
internet shida

SAsa sisi tuna afadhali kwenye nini?

Spot tofauti ya January mpaka 12 then from 17 mpaka sasa.

Na hii hapa ni sasa ..
Screenshot_20260716_222049_Speedtest.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20260716_222024_Speedtest.jpg
    Screenshot_20260716_222024_Speedtest.jpg
    155.3 KB · Views: 22
Mkuu internet ya Elon ni watanzania wachache mno wata afford amini kwamba, kwanza bei tu ya kits zile ni imechangamka unanunua vifurushi vya fibers vya kati ya 50k-55k mwaka na hela ya maji unabakiza.. Kuna Fibers nyingi tu zinafanya vizuri kuliko kua na satellite 🛰️ 📡 internet ya Elon basi tu shida coverage, bado zinaji kongoja..
Wewe huijui starlink... usikinganushe na huu uchafu wa hapa..
 
Mara ya kwanza nilidhania router yangu mbovu. Mara ya pili nikajua mawingu na mvua iyo week. Ila sasa nimeconfirm.

Kama ni mtumiaji wa router za Airtel, ikivuka 500GB wana limit speed.

Mfano, mimi ni mtumiaji wa kifurushi cha 70k kwa mwezi ambayo niliahidiwa kupata 25Mbps ila Average uwa napata 15-20 Mbps. Ila sasa nimeshafikisha 500GB haivuki ata 5Mbps.
View attachment 3612085
Hapo nimezima TV imebaki simu na kuangalia mpira tu tena in low resolution.

Mnaotumia fiber msitoke huko.

Pitia uzi wa mdau Arnold_webster aliandika: KERO - Airtel Router ni mradi wa kuwaibia wananchi? Kifurushi cha 70k 'Unlimited' kinaisha siku 11, Booster ya 30k inafutwa kinyemela!

Mara ya kwanza nilidhania router yangu mbovu. Mara ya pili nikajua mawingu na mvua iyo week. Ila sasa nimeconfirm.

Kama ni mtumiaji wa router za Airtel, ikivuka 500GB wana limit speed.

Mfano, mimi ni mtumiaji wa kifurushi cha 70k kwa mwezi ambayo niliahidiwa kupata 25Mbps ila Average uwa napata 15-20 Mbps. Ila sasa nimeshafikisha 500GB haivuki ata 5Mbps.
View attachment 3612085
Hapo nimezima TV imebaki simu na kuangalia mpira tu tena in low resolution.

Mnaotumia fiber msitoke huko.

Pitia uzi wa mdau Arnold_webster aliandika: KERO - Airtel Router ni mradi wa kuwaibia wananchi? Kifurushi cha 70k 'Unlimited' kinaisha siku 11, Booster ya 30k inafutwa kinyemela!
How to the MB's na GB used?!
 
Wewe huijui starlink... usikinganushe na huu uchafu wa hapa..
Tuliwahi kuwa na huu mjadala mrefu hapa, sasa hivi Kenya
1. Marketshare imeporomoka wakati ule tuna discuss walikua na Asilimia 1.1 sasa hivi hata Asilimia moja haifiki ni 0.8-0.9
2. Speed imeporomoka average sasa hivi ni 37Mbps
Screenshot_2026-07-17-02-21-26-59_dc00545bd3b8828f033a02ac25b2d36d.jpg

Wateja wangapi hao? 25,000 Tu wameporomosha toka mamia ya Mbps mpaka 37, halafu mtudanganye humu na theory zenu.

Una nini cha kutetea? Technology haidanganyi mkuu.
 
500GB ili kuzimaliza unakuwa umedownload nini sasa file la Epstein na P. Diddy freak-off party au?
Video ya lisaa limoja YouTube ni GB15 mpaka 30 kwa quality kubwa 4K, kwa watoto wetu hawa wanaoshinda YouTube wanamaliza siku 2 Tu.

Speed ya 20-30mbps ni mbaya Sana Hasa kama huelewi na kuseti mwenyewe hizi streaming site, angalau chini ya 20mbps watakua direct kwenda 1080P quality ambayo inakula GB chache.
 
Back
Top Bottom