iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,214
- 10,169
Naam mkuu unatumia ODU au zile box za indoor?Habari mkuu, naomba msaada wa settings za router
Naam mkuu unatumia ODU au zile box za indoor?Habari mkuu, naomba msaada wa settings za router
Natumia za box zile za kuhamishikaNaam mkuu unatumia ODU au zile box za indoor?
Poleni sana watu wa mikoani hii speed kwa Savannah Fibre tunaipata for only 49k.Naona Airtel now wameanza kurekebisha network yao. Nimefanya test this time baada ya kuhama kifurushi cha 70k kwenda 100k...
40Mbps inapatikana kwa sasa... Ngoja tuendelee kuona.
Pia hizi router zina tabia kuharibu settings so factory reset ni muhimu...
Mikoani pia kuna Fiber labda kama unamaanisha wilayaniPoleni sana watu wa mikoani hii speed kwa Savannah Fibre tunaipata for only 49k.
Chief, I am curious Ukitoa Dodoma wapi unapata 40Mbps kwa 49,000 ?Mikoani pia kuna Fiber labda kama unamaanisha wilayani
60mbps kwa 55K TTCL na Halotel,Chief, I am curious Ukitoa Dodoma wapi unapata 40Mbps kwa 49,000 ?
mbaga Usangi pale wanakula 4G safi na walifungiwa 5G kipindi cha msiba wa Msuya sizan kama waliitoaNdio mkuu, huku upareni tuna 2G tuu nikadhan huko daslamu mpo kwenye 6G
Acheck na GoFiber mikoani wameenda kimya kimya na P2P na Net Solution/Netso baadhi ya mikoa wana P2P kama huku Mwanza wanatumia P2P iko vizuri though ping ipo juu kiasi mpaka 20ms-50ms kama ni mtu wa gaming au live streaming haitamfaa ila kwingine inapiga fresh.. na Netso price zao sini humo humo 49k mpaka 40mbps... Thou kwa HALOTEL ni best option kama wapo karibu yake.60mbps kwa 55K TTCL na Halotel,
Tanga huku Tuna Halotel, TTCL na wengine wanaresale internet ya Tigo, hao wanao resale nao ping Yao kubwa hivyo hivyo japo Wana supply kwa fiber.Acheck na GoFiber mikoani wameenda kimya kimya na P2P na Net Solution/Netso baadhi ya mikoa wana P2P kama huku Mwanza wanatumia P2P iko vizuri though ping ipo juu kiasi mpaka 20ms-50ms kama ni mtu wa gaming au live streaming haitamfaa ila kwingine inapiga fresh.. na Netso price zao sini humo humo 49k mpaka 40mbps... Thou kwa HALOTEL ni best option kama wapo karibu yake.
Hakuna namna. Kuna wakati nalazimika kutafuta ya kulipia na huku nina bundle eti unlimited!!!duu ungeniwahi ningekupa ruta ya voda kuna jamaa kibeba apa kwa 100k tu nimebless liruta la 400k uko
duu ungeniwahi ningekupa ruta ya voda kuna jamaa kibeba apa kwa 100k tu nimebless lir, deuta la 40
duu ungeniwahi ningekupa ruta ya voda kuna jamaa kibeba apa kwa 100k tu nimebless liruta la 400k uko
Imekuaje kuaje yaani Airtel wenyewe namba 100 wamekupigia na kukupa hizo habari au ni agents wao..?!Leo Airtel wamenipigia wamesema wanafunga FIBER yao kwa 70k ila wanatoa 100mbps. Nikawaambia kwa sasa natumia TTCL, vipi mliowahi kutumia FIBER yao hiyo speed ni ya kweli au ya matangazo tu?
ndio mkuu itakuwa ni wao, nilipochukua zile router zao za ODU nlisajili kwenye form niliweka namba zangu za voda.Imekuaje kuaje yaani Airtel wenyewe namba 100 wamekupigia na kukupa hizo habari au ni agents wao..?!
Na hali inaendelea hivi hivi. Me nimelia sana nimelipia 25 Mbps naishia 0.5 Mbps.Bahati mbaya sina hela ya kununua router ya Voda, ila 70k ya Airtel inaniuma. Kama leo,nimeshinda hata X kuingia ni shida,websites za kawaida,shida. Na natumia laptop na simu tuuuuu. Ni nadra sana mi kuingia youtube. Lakini kunabwakati nanunua,baada ya siku moja, speed ni kama 200Kbps!!!!!!! Airtel, Airtel. Bora tu safari hii ninunue portable ndogo kama Voda wanazo aise. Airtel sirudii
Ata me waliwahi nipigia kwa 100 kwenye Namba yangu ya Halotel. Ila walikua wanauliza kama feedback tu kuhusu mtandao wao.ndio mkuu itakuwa ni wao, nilipochukua zile router zao za ODU nlisajili kwenye form niliweka namba zangu za voda.
Mkuu umegonga limit yao ya FUP? Kama bado hamisha router sehemu tofauti tofauti huku unatest wapi turbo inafunguka pia lock band moja ya mtandao iache kuhama hama.Na hali inaendelea hivi hivi. Me nimelia sana nimelipia 25 Mbps naishia 0.5 Mbps.
Mara ya kwanza nilidhania router yangu mbovu. Mara ya pili nikajua mawingu na mvua iyo week. Ila sasa nimeconfirm.
Kama ni mtumiaji wa router za Airtel, ikivuka 500GB wana limit speed.
Mfano, mimi ni mtumiaji wa kifurushi cha 70k kwa mwezi ambayo niliahidiwa kupata 25Mbps ila Average uwa napata 15-20 Mbps. Ila sasa nimeshafikisha 500GB haivuki ata 5Mbps.
View attachment 3612085
Hapo nimezima TV imebaki simu na kuangalia mpira tu tena in low resolution.
Mnaotumia fiber msitoke huko.
Pitia uzi wa mdau Arnold_webster aliandika: KERO - Airtel Router ni mradi wa kuwaibia wananchi? Kifurushi cha 70k 'Unlimited' kinaisha siku 11, Booster ya 30k inafutwa kinyemela!
Wamejitahidi, mimi wameniambia kwamba eneo nilipo wamefunga FIBER yao kwahiyo kama mtumiaji wao wa UNLIMITED wananitangazia kuhusu hiyo FIBER. Wakauliza je naona nguzo zenye nembo yao ya Airtel? Nikawaambia NO. Airtel wana bei ya 70k ila wanatoa speed ya 100Mbps.Ata me waliwahi nipigia kwa 100 kwenye Namba yangu ya Halotel. Ila walikua wanauliza kama feedback tu kuhusu mtandao wao.
Nililipia 22 August, speed imekata juzi jumamosi 05 September. Sidhani kama nimeshafikisha 0.5TB kwasababu mara nyingi uwa nafikisha tar 20 hivi. Matumizi Yale Yale TV (Netflix na YT), simu mbili na PC moja, no downloads.Mkuu umegonga limit yao ya FUP? Kama bado hamisha router sehemu tofauti tofauti huku unatest wapi turbo inafunguka pia lock band moja ya mtandao iache kuhama hama.