Block background usages za data na auto updates kwenye windows yako.. pia set connection ya internet yako iwe kwenye metered connection..Windows 10 na 11 zinakula sana data. 500GB ni chache sana kwa siku 28.
Ukikutwa na FUP hata usishangae. Leo kuna PC niki-sign-in microsoft account, ikatumia kama GB 1.5.