Router za Airtel Unlimited Internet ina kikomo. 500GB baada ya hapo wanalimit speed vibaya sana!

Router za Airtel Unlimited Internet ina kikomo. 500GB baada ya hapo wanalimit speed vibaya sana!

Wapi huko kuna 6G???

Kama unaongelea hiyo wifi ni inaitwa WIFI 6 ambayo ni IEEE 802.11x technology ya wifi iliyoanza mwaka 2020 ambayo ina kasi kubwa zaidi ambayo inaweza fika 9.6Gbps....

Ndio mara ya kwanza unaona hilo mpare?
Ndio mkuu, huku upareni tuna 2G tuu nikadhan huko daslamu mpo kwenye 6G
 
Ila kweli bongo nyoso kila kitu ni shida.
Maji shida
umeme shida
Mafuta shida
Barabara shida
internet shida

SAsa sisi tuna afadhali kwenye nini?

Spot tofauti ya January mpaka 12 then from 17 mpaka sasa.

Na hii hapa ni sasa ..
View attachment 3630698
Naona Airtel now wameanza kurekebisha network yao. Nimefanya test this time baada ya kuhama kifurushi cha 70k kwenda 100k...

40Mbps inapatikana kwa sasa... Ngoja tuendelee kuona.
Pia hizi router zina tabia kuharibu settings so factory reset ni muhimu...
 
Attachments

  • Screenshot_20260806_070534_Speedtest.jpg
    Screenshot_20260806_070534_Speedtest.jpg
    144.3 KB · Views: 16
Naona Airtel now wameanza kurekebisha network yao. Nimefanya test this time baada ya kuhama kifurushi cha 70k kwenda 100k...

40Mbps inapatikana kwa sasa... Ngoja tuendelee kuona.
Pia hizi router zina tabia kuharibu settings so factory reset ni muhimu...
Kwani network yao ilikua na shida gani..?!
 
Kwani network yao ilikua na shida gani..?!
Transmission capacity ndogo na very poor perfomance.

Minara mingi ipo connected na Microwave dish insteady of fiber. Unapokua na 5G halafu transmission yako ni MW dish jua tu matumizi ya data yakiwa makubwa network itaelemewa unlike fiber.

Waendelee kufanya network upgrade kama washindani wao...
 
Technically upo sahihi microwave zina shida pia ya SINR na ukomo wa kubeba bandwidth kubwa unlike fiber connectivity inabeba Gigabits/Terabits of data.. hapa nilipo naona VODACOM wana vijana nguvu kazi wanachimbia fiber (FTTT) kutoka mnara wao upo jirani hapa kwenda mnara mwingine upo ng'ambo kidogo kwa ajili ya Redundancy.. na Airtel wanatumia mnara huohuo kama vile hawapo tu hawashughuliki na nahisi hizo Microwave Dishes ninazo ziona hapo juu ni za kwao 😂 wanazidiwa na HALOTEL kampuni iliyowakuta sokoni hapa TZ minara yao yote toka zamani wanaconnect na fiber.. Airtel wamekaa ki local sana upande mwingine..
 
Back
Top Bottom