Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Tutumie nini mkuu500GB ili kuzimaliza unakuwa umedownload nini sasa file la Epstein na P. Diddy freak-off party au?
Halafu kwa mtu mwenye akili tasilimu, Airtel sio kampuni ya kuwafanya ISP kwaajiri ya shughuli zako muhimu.
Vodacom, tigo, halotel au zuku. Airtel ni takatakaTutumie nini mkuu
Inapatikanaje mkuu au unaweza kunisaidia namba ya wakalaWeka fiber ya ttcl mkuu. Mimi nalipia ile ya chini kabisa 55k, internet Ina speed nzuri na hakuna limit. Watu wanashinda ig na TikTok
Hizo 500gb ni sawa na movie 8-10 ambazo no 4k remux , happen mtu ajadownload games , YouTube etc etc500GB ili kuzimaliza unakuwa umedownload nini sasa file la Epstein na P. Diddy freak-off party au?
Halafu kwa mtu mwenye akili tasilimu, Airtel sio kampuni ya kuwafanya ISP kwaajiri ya shughuli zako muhimu.
Jamaa amesema complete installation + packages gharama yake ni kubwa kwa Watanzania wa kawaida kuafford.Wewe huijui starlink... usikinganushe na huu uchafu wa hapa..
Mimi nimetumia hiyo Airtel, kwa matumizi ya kawaida tu ya Instagram, kudownload Movies kadhaa, tiktok, kustream youtube nk inatosha kabisa.500GB ili kuzimaliza unakuwa umedownload nini sasa file la Epstein na P. Diddy freak-off party au?
Halafu kwa mtu mwenye akili tasilimu, Airtel sio kampuni ya kuwafanya ISP kwaajiri ya shughuli zako muhimu.
Hakikisha wameweka miundombinu karibu na wewe ulipo, mbali na hapo unawatafutia lawama tu.Inapatikanaje mkuu au unaweza kunisaidia namba ya wakala
Sawa wewe unae ijua vizuri..Wewe huijui starlink... usikinganushe na huu uchafu wa hapa..
Movies mkuu tena HD sio 360p au 480p at least 1080p na zaidi, online tasks kadhaa, kuwatch documentaries huko YouTube na Tutorials kadhaa za mafunzo, kustream ball online wengine kulipia ving'amuzi tusha sahau maana karibu ving'amuzi vyote vina apps ambazo unaweka namba za kadi huko mchezo unaisha, mzigo unakata mapema tu kama hivyo hapo[emoji116] nipo nachezea 3Mbps saiv..500GB ili kuzimaliza unakuwa umedownload nini sasa file la Epstein na P. Diddy freak-off party au?
Halafu kwa mtu mwenye akili tasilimu, Airtel sio kampuni ya kuwafanya ISP kwaajiri ya shughuli zako muhimu.
Yangu mtaani sijaweka password. Kwaio yeyote anayejisikia anakuja na kutumiaWeka fiber ya ttcl mkuu. Mimi nalipia ile ya chini kabisa 55k, internet Ina speed nzuri na hakuna limit. Watu wanashinda ig na TikTok
Haiwi overwhelmed? Au unalipia speed kubwa sana kiasi cha ku handle devices nyingi!Yangu mtaani sijaweka password. Kwaio yeyote anayejisikia anakuja na kutumia
Mkuu umesema unatumia TTCL, vipi umekutana na FUP..?! Is it real? Thou jamaa anadai imeanza mwezi huu..Yangu mtaani sijaweka password. Kwaio yeyote anayejisikia anakuja na kutumia
Yes wakiwa karibu hata watu 50 wanatumiaYangu mtaani sijaweka password. Kwaio yeyote anayejisikia anakuja na kutumia
GoodYangu mtaani sijaweka password. Kwaio yeyote anayejisikia anakuja na kutumia
Dooh, CAP wameweka ngapi?Movies mkuu tena HD sio 360p au 480p at least 1080p na zaidi, online tasks kadhaa, kuwatch documentaries huko YouTube na Tutorials kadhaa za mafunzo, kustream ball online wengine kulipia ving'amuzi tusha sahau maana karibu ving'amuzi vyote vina apps ambazo unaweka namba za kadi huko mchezo unaisha, mzigo unakata mapema tu kama hivyo hapo[emoji116] nipo nachezea 3Mbps saiv..
View attachment 3632127
6G au sioIla kweli bongo nyoso kila kitu ni shida.
Maji shida
umeme shida
Mafuta shida
Barabara shida
internet shida
SAsa sisi tuna afadhali kwenye nini?
Spot tofauti ya January mpaka 12 then from 17 mpaka sasa.
Na hii hapa ni sasa ..
View attachment 3630698
Kwan hizo games Na movies unazipakua Kila siku?Hizo 500gb ni sawa na movie 8-10 ambazo no 4k remux , happen mtu ajadownload games , YouTube etc etc
Wapi huko kuna 6G???6G au sio
Engineer soma hiyo!! 🙌🙌Wapi huko kuna 6G???
Kama unaongelea hiyo wifi ni inaitwa WIFI 6 ambayo ni IEEE 802.11x technology ya wifi iliyoanza mwaka 2020 ambayo ina kasi kubwa zaidi ambayo inaweza fika 9.6Gbps....
Ndio mara ya kwanza unaona hilo mpare?