Ndio mkuu, huku upareni tuna 2G tuu nikadhan huko daslamu mpo kwenye 6GWapi huko kuna 6G???
Kama unaongelea hiyo wifi ni inaitwa WIFI 6 ambayo ni IEEE 802.11x technology ya wifi iliyoanza mwaka 2020 ambayo ina kasi kubwa zaidi ambayo inaweza fika 9.6Gbps....
Ndio mara ya kwanza unaona hilo mpare?
Avae ambiere huko hatujafika tupo 5GNdio mkuu, huku upareni tuna 2G tuu nikadhan huko daslamu mpo kwenye 6G
Ah sikujua mkuu 🙌Avae ambiere huko hatujafika tupo 5G
Kwa mtu wa movie/series kuavarage movie 10 per month ni normal kabisa na hapo Bado wana hawajagongea gb500 ni ndogo sanaKwan hizo games Na movies unazipakua Kila siku?
Lets say mwezi huu umepakua hizo games na movies, kwan mwezi ujao utapakua tena?
Kwamba, ukilipia cha laki kwenda juu huwa hakuna kuminya kasi?.Kama unalipia kifurushi cha 70k mkuu lazima upate changamoto mkuu wangu.
kasi iko vizuri zaidi mkuu ndio natumia na aisumbui pia nimefunga ya out door.. sio ya kubeba.Kwamba, ukilipia cha laki kwenda juu huwa hakuna kuminya kasi?.
Kila kifurushi kina FUP mkuu sema kwa kifurushi cha LAKI kina FUP kwenye 1+TB tofauti na cha 70k ambapo rungu lipo karibu sana wengi tunawahi kulifikia 500+GBKwamba, ukilipia cha laki kwenda juu huwa hakuna kuminya kasi?.
Hawa tatizo wame ng'ang'ania Dar tu huku majiji mengine hawaji..Savannah
Uzi ufungweSavannah
Uzi ufungwe
Ukiona hivyo ujue kuna mafisadi/mwanasiasa mwenye nguvu sana anafanya sabotage kwa shirika.. take it or leave it sisiem ni washenzi sana..Hapana usifungwe. TTCL ndo baba wa fibre zote Tanzania. Ni vile tu serikali ya sisiem imeamua kuliua hili shirika lisisambaze miundombinu nchi nzima.
Naona Airtel now wameanza kurekebisha network yao. Nimefanya test this time baada ya kuhama kifurushi cha 70k kwenda 100k...Ila kweli bongo nyoso kila kitu ni shida.
Maji shida
umeme shida
Mafuta shida
Barabara shida
internet shida
SAsa sisi tuna afadhali kwenye nini?
Spot tofauti ya January mpaka 12 then from 17 mpaka sasa.
Na hii hapa ni sasa ..
View attachment 3630698
Niliwahi kutumia zaidi ya 2TB na sikuona kwa VodacomTerabyte kabisa 1.5TB hivi
Sema unapokaa ndo signal mbovu 😂Niliwahi kutumia zaidi ya 2TB na sikuona kwa Vodacom
Kwani network yao ilikua na shida gani..?!Naona Airtel now wameanza kurekebisha network yao. Nimefanya test this time baada ya kuhama kifurushi cha 70k kwenda 100k...
40Mbps inapatikana kwa sasa... Ngoja tuendelee kuona.
Pia hizi router zina tabia kuharibu settings so factory reset ni muhimu...
Transmission capacity ndogo na very poor perfomance.Kwani network yao ilikua na shida gani..?!
Habari mkuu, naomba msaada wa settings za routerKwani network yao ilikua na shida gani..?!
Technically upo sahihi microwave zina shida pia ya SINR na ukomo wa kubeba bandwidth kubwa unlike fiber connectivity inabeba Gigabits/Terabits of data.. hapa nilipo naona VODACOM wana vijana nguvu kazi wanachimbia fiber (FTTT) kutoka mnara wao upo jirani hapa kwenda mnara mwingine upo ng'ambo kidogo kwa ajili ya Redundancy.. na Airtel wanatumia mnara huohuo kama vile hawapo tu hawashughuliki na nahisi hizo Microwave Dishes ninazo ziona hapo juu ni za kwao 😂 wanazidiwa na HALOTEL kampuni iliyowakuta sokoni hapa TZ minara yao yote toka zamani wanaconnect na fiber.. Airtel wamekaa ki local sana upande mwingine..Transmission capacity ndogo na very poor perfomance.
Minara mingi ipo connected na Microwave dish insteady of fiber. Unapokua na 5G halafu transmission yako ni MW dish jua tu matumizi ya data yakiwa makubwa network itaelemewa unlike fiber.
Waendelee kufanya network upgrade kama washindani wao...