Router za Airtel Unlimited Internet ina kikomo. 500GB baada ya hapo wanalimit speed vibaya sana!

Poleni sana watu wa mikoani hii speed kwa Savannah Fibre tunaipata for only 49k.
 
60mbps kwa 55K TTCL na Halotel,
Acheck na GoFiber mikoani wameenda kimya kimya na P2P na Net Solution/Netso baadhi ya mikoa wana P2P kama huku Mwanza wanatumia P2P iko vizuri though ping ipo juu kiasi mpaka 20ms-50ms kama ni mtu wa gaming au live streaming haitamfaa ila kwingine inapiga fresh.. na Netso price zao sini humo humo 49k mpaka 40mbps... Thou kwa HALOTEL ni best option kama wapo karibu yake.
 
Tanga huku Tuna Halotel, TTCL na wengine wanaresale internet ya Tigo, hao wanao resale nao ping Yao kubwa hivyo hivyo japo Wana supply kwa fiber.

Wilayani ndio bado fiber changamoto.
 
Bahati mbaya sina hela ya kununua router ya Voda, ila 70k ya Airtel inaniuma. Kama leo,nimeshinda hata X kuingia ni shida,websites za kawaida,shida. Na natumia laptop na simu tuuuuu. Ni nadra sana mi kuingia youtube. Lakini kunabwakati nanunua,baada ya siku moja, speed ni kama 200Kbps!!!!!!! Airtel, Airtel. Bora tu safari hii ninunue portable ndogo kama Voda wanazo aise. Airtel sirudii
 
Leo Airtel wamenipigia wamesema wanafunga FIBER yao kwa 70k ila wanatoa 100mbps. Nikawaambia kwa sasa natumia TTCL, vipi mliowahi kutumia FIBER yao hiyo speed ni ya kweli au ya matangazo tu?
 
duu ungeniwahi ningekupa ruta ya voda kuna jamaa kibeba apa kwa 100k tu nimebless liruta la 400k uko
Hakuna namna. Kuna wakati nalazimika kutafuta ya kulipia na huku nina bundle eti unlimited!!!
duu ungeniwahi ningekupa ruta ya voda kuna jamaa kibeba apa kwa 100k tu nimebless lir, deuta la 40
duu ungeniwahi ningekupa ruta ya voda kuna jamaa kibeba apa kwa 100k tu nimebless liruta la 400k uko
 
Leo Airtel wamenipigia wamesema wanafunga FIBER yao kwa 70k ila wanatoa 100mbps. Nikawaambia kwa sasa natumia TTCL, vipi mliowahi kutumia FIBER yao hiyo speed ni ya kweli au ya matangazo tu?
Imekuaje kuaje yaani Airtel wenyewe namba 100 wamekupigia na kukupa hizo habari au ni agents wao..?!
 
Imekuaje kuaje yaani Airtel wenyewe namba 100 wamekupigia na kukupa hizo habari au ni agents wao..?!
ndio mkuu itakuwa ni wao, nilipochukua zile router zao za ODU nlisajili kwenye form niliweka namba zangu za voda.
 
Na hali inaendelea hivi hivi. Me nimelia sana nimelipia 25 Mbps naishia 0.5 Mbps.
 
ndio mkuu itakuwa ni wao, nilipochukua zile router zao za ODU nlisajili kwenye form niliweka namba zangu za voda.
Ata me waliwahi nipigia kwa 100 kwenye Namba yangu ya Halotel. Ila walikua wanauliza kama feedback tu kuhusu mtandao wao.
 
Na hali inaendelea hivi hivi. Me nimelia sana nimelipia 25 Mbps naishia 0.5 Mbps.
Mkuu umegonga limit yao ya FUP? Kama bado hamisha router sehemu tofauti tofauti huku unatest wapi turbo inafunguka pia lock band moja ya mtandao iache kuhama hama.
 

Unawezaje tumia 500 Gb a month for a home wifi? Of 80,000/-
 
Ata me waliwahi nipigia kwa 100 kwenye Namba yangu ya Halotel. Ila walikua wanauliza kama feedback tu kuhusu mtandao wao.
Wamejitahidi, mimi wameniambia kwamba eneo nilipo wamefunga FIBER yao kwahiyo kama mtumiaji wao wa UNLIMITED wananitangazia kuhusu hiyo FIBER. Wakauliza je naona nguzo zenye nembo yao ya Airtel? Nikawaambia NO. Airtel wana bei ya 70k ila wanatoa speed ya 100Mbps.
 
Mkuu umegonga limit yao ya FUP? Kama bado hamisha router sehemu tofauti tofauti huku unatest wapi turbo inafunguka pia lock band moja ya mtandao iache kuhama hama.
Nililipia 22 August, speed imekata juzi jumamosi 05 September. Sidhani kama nimeshafikisha 0.5TB kwasababu mara nyingi uwa nafikisha tar 20 hivi. Matumizi Yale Yale TV (Netflix na YT), simu mbili na PC moja, no downloads.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…