TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Mkuu nawe refusha kamba yako...!5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nawe refusha kamba yako...!5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.
We mtu naona umu malalamiko yako ni juu tu ya wamarekani kuhifaham hii filam sasa ni iv hii filam co tu kwa ajili ya marekan tu wajue vivutio vyetu bali ni dunia kiujumlaKama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita.
Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya.
Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu.
Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili kuitangaza filamu hiyo pamoja na Tanzania?
1. Kwa nini Hangaya na waigizaji wenzake hawajaenda na kwenye nchi zingine? Kwa nini wameenda Marekani tu?
2. Na huko Marekani walikoenda, ni nani hasa mwenye habari na hiyo filamu?
3. Matangazo ya hiyo filamu yako wapi? Sasa hivi kuna playoffs za ligi mbili kubwa, NBA na NHL, mbona matangazo ya hiyo filamu hayapo kwenye chaneli za TNT, TBS, ABC, wala ESPN?
Michezo hii ya playoffs huangaliwa na watu wengi sana. Hapo ndo ilikuwa pazuri pa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake.
Lakini hamna kitu. Sasa Mmarekani atajuaje kuhusu hiyo filamu?
4. Hiyo filamu ina kipi kipya ambacho hakijulikani kuhusu Tanzania hadi kumshawishi Mmarekani aje?
Documentaries zote kuhusu vivutio vya Tanzania ambazo zimewahi kuonyeshwa na PBS, National Geographic, A&E, YouTube, n.k., zina tofauti gani na Royal Tour?
5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.
Na kama ilivyo jadi yetu Watanzania, tushaanza kuisahau na ndani ya muda mfupi tutaisahau kabisa na hakuna hata mmoja wetu atayekuja kuuliza mafanikio yake huko mbeleni.
6. Ni nani atayekuja kumhoji Samia juu ya mafanikio ya hiyo filamu ifikapo 2024, kwa mfano?
Sisi ni watu wa ajabu kweli.
AmkaBillion Saba imepotea kinyemela mam afikishwe mahakama za kifisadi kujibu tuhuma zianzomkabili za kusababishia hasara wananchi ya billion Saba huku akijuwa kuwa kufanya hvyo Ni ufisadi na Ni kutojali pesa za wafuja jasho la taifa hili
Ikiwa atadhibitika atakwenda jela moja kwa moja na kwa kifungo Cha miaka 27 bila dhamana
Hahaha ila nyieHello Pirraaaaaa,
Yeah me tooooo.
Mama yenu ana vituko 😂
Kunifunza kwa magufuli ni kujifunza roho mbaya na ukatili hilo tumesamehe mamaWote pale wamestuck. Mwanzoni nilimpa Samia benefit of doubt kwamba kwa vile alifanya kazi na Magufuli atakuwa alijifunza mbili tatu fulani hivi za msingi kutoka kwake (na pengine kujifunza kwa yale yanayoitwa "mabaya" ya Magufuli) ili awe the best president wa Tanzania kuwahi kutokea.
Na vile alivyoanza kukusanya zile tozo na kuja na idea ya kuboresha barabara za mitaa, na vituo vya afya vya mtaani kwa kutegemea uwezo wa ndani, na huku reports zikitolewa kila mwezi kuhusu nini kimefanyika nilianza kuhamasika nae.
I thought hiyo ndiyo blueprint ya nchi inayotaka kujijenga.
Boy, I was wrong!
Kumbe ni Kikwete through and through , actually the worst version of Kikwete.
Ni wakala mwaminifu wa ubeberu nchini Tanzania asiye hata na maono binafsi hata moja kuhusu nchi yake.
Tumepigwa!
Reality. Mara nyingi tumeshuhudia yaliyoandikwa yakikiukwa - with impunity - na sioni Rais akihojiwa face to face. Unaweza kuweka mfano wa hayo mahojiano ya kila siku.Wapi pameandikwa Rais wa JMT, hahojiwi?. Kilichopo ni Rais wa JMT, wakati akiwa ni Rais, hawezi kushitakiwa mahakamani, ila anaweza kushitakiwa Bunge.
Na hilo la rais kuhojiwa, kila siku tunakutana na rais na kumhoji.
P
Wewe finyu kweli kweli. Lengo la Royal tour ni nini?Kama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita.
Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya.
Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu.
Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili kuitangaza filamu hiyo pamoja na Tanzania?
1. Kwa nini Hangaya na waigizaji wenzake hawajaenda na kwenye nchi zingine? Kwa nini wameenda Marekani tu?
2. Na huko Marekani walikoenda, ni nani hasa mwenye habari na hiyo filamu?
3. Matangazo ya hiyo filamu yako wapi? Sasa hivi kuna playoffs za ligi mbili kubwa, NBA na NHL, mbona matangazo ya hiyo filamu hayapo kwenye chaneli za TNT, TBS, ABC, wala ESPN?
Michezo hii ya playoffs huangaliwa na watu wengi sana. Hapo ndo ilikuwa pazuri pa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake.
Lakini hamna kitu. Sasa Mmarekani atajuaje kuhusu hiyo filamu?
4. Hiyo filamu ina kipi kipya ambacho hakijulikani kuhusu Tanzania hadi kumshawishi Mmarekani aje?
Documentaries zote kuhusu vivutio vya Tanzania ambazo zimewahi kuonyeshwa na PBS, National Geographic, A&E, YouTube, n.k., zina tofauti gani na Royal Tour?
5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.
Na kama ilivyo jadi yetu Watanzania, tushaanza kuisahau na ndani ya muda mfupi tutaisahau kabisa na hakuna hata mmoja wetu atayekuja kuuliza mafanikio yake huko mbeleni.
6. Ni nani atayekuja kumhoji Samia juu ya mafanikio ya hiyo filamu ifikapo 2024, kwa mfano?
Sisi ni watu wa ajabu kweli.
Royal tour imegaharimu Billion 7 na tena siyo za serikali, ni wafanya biashara walioiona hiyo fursa wakawekeza na umewaona wakiwa USA na mama wakitumia fursa zilizoibuka. Au una mcacho lakini hayaoni? Una msikio lakini hayasikii?Tunaliwa uku tukikunywa kuna maboma mengi izo ela za roya 2a zingeingia kwenye miradi iliyo simama
Ni ujinga wa hali ya juu kukaa kungoja usaidiwe. Anza kwa kujisaidia mwenyewe, kukaa kungoja kusaidiwa ndio watu wanajisaidia mpaka mdomoni mwako. Jisaidie mwenyewe akusaidie nani? Pambaf kabisa.Inamsaidia nini mtanzania wa kawaida anayeangaika na kupanda bei kwa kila kitu ovyo kabisa awa viongozi wa sasa
Kwani umelazimishwa kuangalia?Kweli hawa viongozi wqnatuchukulia sisi poa sana, yaani niache kuangalia mambo yangu ya maana nishupalie huu upuuzi??
C ni heri nikaangalia ugonvi wa mbwa, khaa sisi sio mafala akseh
AjuzaWewe kaa kuponda tu, wenzako tumeshaanza kuziona fursa za Royal Toir na tumeshaanza kuzifanyia kazi na sasa na zimeshaanza kuwa mafanikio. Kalaga-baho.
Hata Haji Manara kaziona fursa kaanza kuvaa Kimasai, hata kama alikosea kavaa kike, lakini kukosea ndio kujifunza. Publicity aliyoipata tu kweye kufanya vile ni mafanikio makubwa sana kwa kazi zake na kuipaisha brand yake.
Wewe endeleza tu ujuha wa kuwa negative kwa kila jambo. Nafahamu si wewe, ni ujinga (ignorant" tu, uliokujaa.
Acha ufala, kabla ya royal tour watu walikuwa wakifanya hizo tour guideKangoje watalii uwe tour guide, hukuona mama kaonesha mfano wa chini kabisa kwenye uwekezaji wa utalii? Rais wa nchi kakuonesha mfano kwa kucheza part ya "tour guide" kwenye ile filamu.
Huna fikra, basi hata macho huna?
Nnauhakika hata pakuanzia kuzitumia fursa za Royal Tour, japo kuwa "tour guide" huna. Ngoja nikusaidie.
Nenda wizara inayo husika na utalii, waulize ni kina nani wenye makampuni yanayoshughulikia watalii, uksihayajuwa, nenda kaombe kazi huko za u tourguide. Au kaombe kazi yoyote uijuayo, watahitajika huko wa kila fani. Kama hiyo haitoshi, nenda kwenye hoteli za kitalii. Hutokosa cha kufanya, ukikosa kazi utapata japo fikra za ufanye nini.
Hakuna attention yoyote, imeshafeliWakati leo wanaizindua kwa dar
Ova
Endelea na ujuha tu, kwani coca-cola wanapofanya "promotion" za kila siku watu walikuwa hawanywi coca-cola?Acha ufala, kabla ya royal tour watu walikuwa wakifanya hizo tour guide
Watakwambia hizo fursa za tour guide zimeletwa na royal tour hazikuwahi kuwepo, watu wasipokuwa makini,namba ya watalii waliokuwa wakiitembelea Tanzania kabla ya RT zitashushwa makusudi ili baadae kuanzia mwaka huu zianze kusomwa namba za juu ili kuonesha mafanikio ya RT. Na kwa kuwa hatuna kumbukumbu nzuri,itabidi tukubaliAcha ufala, kabla ya royal tour watu walikuwa wakifanya hizo tour guide
Haina mafanikio wakati watu waliowekeza wameshaopoa mikataba kibao? Ulitaka mafanikio yepi zaidi?Hakuna attention yoyote, imeshafeli