Royal Tour: Serikali itoe mchanganuo wa gharama

Royal Tour: Serikali itoe mchanganuo wa gharama

Watu binafsi waliwahi kuja tukaambiwa hayo hayo wanachangia sekta ya utalii lakini kilichofatia tuliona twiga wetu wakivaa tai na viatu kisha wakapanda boeing na kuelekea mashariki ya kati. Ndo maana watu makini wanahoji hapa pia juu ya hao watu binafsi, ni akina nani? Wako wapi, interest yao nini na watafaidikaje? Kwa vile pesa ni zao lakini ardhi na wanyama ni vya kwetu ni lazima tuhoji
 
Kina Nani walikuja na walichangia nini alafu wakachukua twiga wako? Weka ushahidi hapa!

Wapi imeandikwa mtu akitoa mchango sehemu lazima afaidike?

Wewe kama ungekuwa umechangia ungekuwa una haki ya kuhoji! Kuchangia hujachangia Kwa nini unakuwa mpiga ramli kuwawekea wenzako mawazo yako?
Watu binafsi waliwahi kuja tukaambiwa hayo hayo wanachangia sekta ya utalii lakini kilichofatia tuliona twiga wetu wakivaa tai na viatu kisha wakapanda boeing na kuelekea mashariki ya kati. Ndo maana watu makini wanahoji hapa pia juu ya hao watu binafsi, ni akina nani? Wako wapi, interest yao nini na watafaidikaje? Kwa vile pesa ni zao lakini ardhi na wanyama ni vya kwetu ni lazima tuhoji
 
No! anayo hoja ya msingi, wachangiaji toka secta binafsi ni kina nani? Wako wangapi? Wametoa kiasi gani? Wananufaikaje?

Isijekuwa Raisi wetu anafadhiliwa na hela chafu ikapelekea kuweka mfukoni na hao sponsors?
Wapi imeandikwa mtu akichangia lazima anufaike?

Wewe unataka kujua wako wangapi ili iweje? Umechangia?

Kwanza izo hela zinazochangwa zinachangwa kwa shughuli binafsi ya Rais au kwa Program ya kuitangaza nchi yako?
 
Fedha za Sekta binafsi ndizo zinaendesha mipango ya maendeleo kwa TZ, Je ni mikopo au ni misaada? Kama kutakuwa na mafanikio serikali itapata mapato zaidi, je hao sekta binafsi watafaidikaje, sababu wametoa pesa zao + wanaendelea kulipa kodi.
Wapi imeandikwa kuwa lazima wafaidike na hiyo michango?
 
Lord denning, unaelewa vizuri nini maana ya kuwa raisi wa nchi dhidi ya kuwa raisi wa akudo? Huyu raisi unayemwona hapo anawajibika kwangu moja kwa moja na hivyo kwa raia wa nchi hii. Lijue hilo, alafu tambua hii tour si moja ya siri za nchi hivyo linatakiwa kuwa wazi to the minimum. Kutujibu kwako kwa kupanic hakutusumbui sisi hata ukitaka tukana poa tu, labda sasa tukuombe tuletee document harisi tusome tujue nini ikulu inafanya kwa niaba yetu watz na hao clients wenu.
 
Muafrika hana jema hana zuri linalofanyika kwa faida ya kizazi chake. Kulalamika ndio hulka yake ya asili.
 
Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa?

Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi.

Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi anategemea mapato/impacts ya kiasi gani kutokana na tour yake.

Kingine ni bunge lipi limepitisha matumizi ya hii tour, maana wakati wa bunge hatukusikia, tunakuja kusikia tu kama jambo la dharura? Tour ni dharura?

Walipa kodi tunahitaji kujua

Mkuu ila huyu mwamba:

IMG_20210906_175550_845.jpg

akikusikia mwito wako kwa maneno tu hali masikio yakiwa makavu, mrejesho wako itapendeza zaidi.
 
Tanzania hatuna role Models ambao wana mikono misafi na wanaheshimika zaidi duniani??? I would have used someone like the Zambian New President. But someone from ccm no!!
 
Rais anajaribu kujua nchi kama Generali alivyosema haijui hii nchi!!
 
Pamoja na kwamba hii ziara inafadhiliwa na watu BINAFSI,lakini kwa vyovyote vile,Gharama TU za ulinzi wa Rais na ujumbe wake kwenye hii ziara Lazima Ni kubwa Sana.Na gharama hizi za ulinzi Lazima zinagaramiwa na Serikali.gharama zake Ni Kama TU gharama za campaign za U-Rais Wakati wa uchaguzi mkuu.Kwa Hiyo Sisi tunaokatwa tozo za miamala tuna HAKI ya kuuliza maswali.Kama tulivyoshauri toka mwanzo,HIVI ILIKUWA NI LAZIMA TOUR HII YA KUPIGA PICHA TU ZA KUTANGAZA UTALII ZIFANYWE NA MHESHIMIWA RAIS ?
 
Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa?

Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi.

Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi anategemea mapato/impacts ya kiasi gani kutokana na tour yake.

Kingine ni bunge lipi limepitisha matumizi ya hii tour, maana wakati wa bunge hatukusikia, tunakuja kusikia tu kama jambo la dharura? Tour ni dharura?

Walipa kodi tunahitaji kujua
Akili ndogo kabisa. Badala ya kufikiria namna ya kuokoa Chadema yenu inayokufa, unakuja na mambo haya ya kitoto kufuatilia gharama ya Safari za Mkuu wa Nchi ndani ya nchi yake. Eti hawa ndiyo wanajiita great thinkers wa Chadema!!!
 
hili povu linatosha kufua nguo ngapi 😂😂😂
 
Gharama halisi kisha wanaongeza 4 times ya gharama halisi majizi haya. Na gharama za huu upuuzi ziliidhinishwa na Bunge au msimu wa kujichotea umeanza tena rasmi?
6A8FEE9D-7AEE-46E1-A93F-47194BD3494D.jpeg

Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa?

Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi.

Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi anategemea mapato/impacts ya kiasi gani kutokana na tour yake.

Kingine ni bunge lipi limepitisha matumizi ya hii tour, maana wakati wa bunge hatukusikia, tunakuja kusikia tu kama jambo la dharura? Tour ni dharura?

Walipa kodi tunahitaji kujua
 
Wafuasi wa Upinzani Ndo mana kila siku mnazidi kudharaulika.

Nimegundua wengi hamfuatilii mambo ya nchi yenu ila ndo wa kwanza kuja kulalamika mitandaoni.

Jibu la Maswali uliyouliza hapa ni kuwa siku Rais ametangaza kufanyika kwa hii program takribani miezi 3 au 4 iliyopita alisema wazi kuwa program hii haitatumia fedha za Serikali bali michango kutoka sekta binafsi.

Unavyosema Leo kuwa Bunge halikuwai kupitisha fedha za program hii unaonesha ni kwa jinsi gani sio tu hufuatilii mambo ya nchi yako bali wewe ni kilaza ulietukuka
Wapinzani Magufuli amewavuruga Medula kabisa! Kwanza wao wamesusia miamala, wamesusia kununua mafuta na bia waliambiana wasinywe, kwa maana hiyo hawachangii chochote, sasa wewe usiyechangia chochote unaulizaje matumizi yapoje? Matumizi watapewa wananchi wazalendo wanaolipa kodi! Tatizo lao walimchukulia Mother poa, anawanyoosha kwelikweli na mabeberu huwaambii kitu kumuhusu! Magu walikuwa wanamuonea, kitu kidogo wanamsemea kwa mabeberu, na kutokana na haiba yake mabeberu hawakumpenda wakawa wanamfinya!! Kwa sasa akina Sunzu wamekuwa wakiwa kabisa, hamna pa kukimbilia
 
Unaiamini hii Serikali iliyojaa waongo? Waweke hadharani majina ya hao wa sekta binafsi na kiasi kilichochangwa na kila mmoja ná gharama halisi za huu upuuzi? Unapromote utalii wakati dunia nzima imekumbwa na COVID-19 na nchi inaficha idadi ya new cases na vifo vya kila siku. Wa KUDEMKA KAKURUPUKA!!!

Back
Top Bottom