msonobali
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,521
- 1,607
Kesi ya ugaidi ya mbowe inatosha kuitangaza nchiMwacheni Rais wetu aitangaze nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi ya ugaidi ya mbowe inatosha kuitangaza nchiMwacheni Rais wetu aitangaze nchi
Watu binafsi waliwahi kuja tukaambiwa hayo hayo wanachangia sekta ya utalii lakini kilichofatia tuliona twiga wetu wakivaa tai na viatu kisha wakapanda boeing na kuelekea mashariki ya kati. Ndo maana watu makini wanahoji hapa pia juu ya hao watu binafsi, ni akina nani? Wako wapi, interest yao nini na watafaidikaje? Kwa vile pesa ni zao lakini ardhi na wanyama ni vya kwetu ni lazima tuhoji
Wapi imeandikwa mtu akichangia lazima anufaike?No! anayo hoja ya msingi, wachangiaji toka secta binafsi ni kina nani? Wako wangapi? Wametoa kiasi gani? Wananufaikaje?
Isijekuwa Raisi wetu anafadhiliwa na hela chafu ikapelekea kuweka mfukoni na hao sponsors?
Wapi imeandikwa kuwa lazima wafaidike na hiyo michango?Fedha za Sekta binafsi ndizo zinaendesha mipango ya maendeleo kwa TZ, Je ni mikopo au ni misaada? Kama kutakuwa na mafanikio serikali itapata mapato zaidi, je hao sekta binafsi watafaidikaje, sababu wametoa pesa zao + wanaendelea kulipa kodi.
Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa?
Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi.
Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi anategemea mapato/impacts ya kiasi gani kutokana na tour yake.
Kingine ni bunge lipi limepitisha matumizi ya hii tour, maana wakati wa bunge hatukusikia, tunakuja kusikia tu kama jambo la dharura? Tour ni dharura?
Walipa kodi tunahitaji kujua
Akili ndogo kabisa. Badala ya kufikiria namna ya kuokoa Chadema yenu inayokufa, unakuja na mambo haya ya kitoto kufuatilia gharama ya Safari za Mkuu wa Nchi ndani ya nchi yake. Eti hawa ndiyo wanajiita great thinkers wa Chadema!!!Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa?
Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi.
Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi anategemea mapato/impacts ya kiasi gani kutokana na tour yake.
Kingine ni bunge lipi limepitisha matumizi ya hii tour, maana wakati wa bunge hatukusikia, tunakuja kusikia tu kama jambo la dharura? Tour ni dharura?
Walipa kodi tunahitaji kujua
hili povu linatosha kufua nguo ngapi 😂😂😂Akili ndogo kabisa. Badala ya kufikiria namna ya kuokoa Chadema yenu inayokufa, unakuja na mambo haya ya kitoto kufuatilia gharama ya Safari za Mkuu wa Nchi ndani ya nchi yake. Eti hawa ndiyo wanajiita great thinkers wa Chadema!!!
Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa?
Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi.
Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi anategemea mapato/impacts ya kiasi gani kutokana na tour yake.
Kingine ni bunge lipi limepitisha matumizi ya hii tour, maana wakati wa bunge hatukusikia, tunakuja kusikia tu kama jambo la dharura? Tour ni dharura?
Walipa kodi tunahitaji kujua
Wapinzani Magufuli amewavuruga Medula kabisa! Kwanza wao wamesusia miamala, wamesusia kununua mafuta na bia waliambiana wasinywe, kwa maana hiyo hawachangii chochote, sasa wewe usiyechangia chochote unaulizaje matumizi yapoje? Matumizi watapewa wananchi wazalendo wanaolipa kodi! Tatizo lao walimchukulia Mother poa, anawanyoosha kwelikweli na mabeberu huwaambii kitu kumuhusu! Magu walikuwa wanamuonea, kitu kidogo wanamsemea kwa mabeberu, na kutokana na haiba yake mabeberu hawakumpenda wakawa wanamfinya!! Kwa sasa akina Sunzu wamekuwa wakiwa kabisa, hamna pa kukimbiliaWafuasi wa Upinzani Ndo mana kila siku mnazidi kudharaulika.
Nimegundua wengi hamfuatilii mambo ya nchi yenu ila ndo wa kwanza kuja kulalamika mitandaoni.
Jibu la Maswali uliyouliza hapa ni kuwa siku Rais ametangaza kufanyika kwa hii program takribani miezi 3 au 4 iliyopita alisema wazi kuwa program hii haitatumia fedha za Serikali bali michango kutoka sekta binafsi.
Unavyosema Leo kuwa Bunge halikuwai kupitisha fedha za program hii unaonesha ni kwa jinsi gani sio tu hufuatilii mambo ya nchi yako bali wewe ni kilaza ulietukuka
Wafuasi wa Upinzani Ndo mana kila siku mnazidi kudharaulika.
Nimegundua wengi hamfuatilii mambo ya nchi yenu ila ndo wa kwanza kuja kulalamika mitandaoni.
Jibu la Maswali uliyouliza hapa ni kuwa siku Rais ametangaza kufanyika kwa hii program takribani miezi 3 au 4 iliyopita alisema wazi kuwa program hii haitatumia fedha za Serikali bali michango kutoka sekta binafsi.
Unavyosema Leo kuwa Bunge halikuwai kupitisha fedha za program hii unaonesha ni kwa jinsi gani sio tu hufuatilii mambo ya nchi yako bali wewe ni kilaza ulietukuka
Ina maana wale jamaa per diem zao si zinalipwa na Mashirika binafsi si ndio?